Serikali yatoa Tumaini Mahakama ya Kadhi

Jamani hii nchi haina dini!!!! Kwanini Watanzania walipe kodi kusupport mahakama ya kadhi na huku hii nchi sio ya kidini? Au hii kodi itakuwa inakusanywa kutoka kwa waislamu pekee au ndo mwanzo wa mpasuko wa nchi? Acheni ushabiki! Kama mnataka mahakama ya kidini then mko kwenye wrong country!




:A S cry:
 
We unaijua vizuri TZ au unasikia tu. Tokea lini Bakhresa akawa No. 1 Tax payer?? Go do your home work correct, then nd'o uje hapa. Sio unakuja kichwa kichwa tu kisa Bakhresa inamilikiwa na muislam. For your information, Bakhresa are way behind leading Tax Payer in TZ. Now go find out who leads.. Nyambafu kakabisa.

Nani number one taxpayer? acha uzushi huo kama huna point kaa kimya sio kutuchafulia na mipumba yako sio lazima kila kitu ucomment
 
Jamani hii nchi haina dini!!!! Kwanini Watanzania walipe kodi kusupport mahakama ya kadhi na huku hii nchi sio ya kidini? Au hii kodi itakuwa inakusanywa kutoka kwa waislamu pekee au ndo mwanzo wa mpasuko wa nchi? Acheni ushabiki! Kama mnataka mahakama ya kidini then mko kwenye wrong country!




:A S cry:

Nimesoma post zote katika thread hii kama zilizopita hakuna pointi yeyote zaidi ya kulia lia tu anyway nawatakia kila kheri ila Tanzania ya watanzania wote waislamu na wakristo mahakama ya kadhi ya sehemu ya maisha ya muislamu it is here to stay wazee nilikuwapo katika thread hii!!!
 
Kama zitaendeshwa kwa kodi zao wenyewe, it is up to them. Walililia hijab wakaambiwa wavae. Wamekuwa wakilalamika kuonewa na wakristo wakati wa Nyrere. Sasa wako busy na kujenga Misikiti mikubwa (Dodoma, Kinondoni) wakati Wakristo tuna St, Augustine, St John, Theofilo Kisanji, Arusha University etc. Na sasa Dodoma patajengwa Chuo kipya na Ma Jesuits. Waruhusiwe kwa sana hizo mahakama, wataendelea kulalamika kuonewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.................................
 
Kaka tupo pamoja hizi tactics za baadhi ya watu kudhani eti tanzania ya kikiristo zinaniboa sana. In fact kwa statistics waislamu ni wengi kuliko madhehebu mengine yote. Lakini kwakuwa jamaa walihodhi madaraka tangia enzi za nyerere wanataka kutufanya waislamu tuwe underdogs kila siku kuleta mada zenye kuchafua tu hali ya hewa. Tutaumana humu ndani mpaka kieleweke hii karne ni nyengine wazee.


Kwa data zipi unaongelea kuwa waislam ni wengi, kuliko wakristo. Kama mmekosa kujadili vitu vya msingi hebu tuanzaishe mada zingine, HIVI UNGUJA NA PEMBA ZILIUNGANA LINI?
 
kama zitaendeshwa kwa kodi zao wenyewe, it is up to them. Walililia hijab wakaambiwa wavae. Wamekuwa wakilalamika kuonewa na wakristo wakati wa nyrere. Sasa wako busy na kujenga misikiti mikubwa (dodoma, kinondoni) wakati wakristo tuna st, augustine, st john, theofilo kisanji, arusha university etc. Na sasa dodoma patajengwa chuo kipya na ma jesuits. Waruhusiwe kwa sana hizo mahakama, wataendelea kulalamika kuonewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.................................

ni lazima mahakama za kadhi zitaendeshwa kwa gharama za serikali kwa sababu makadhi watateuliwa na serikali kwa kushauriana na mufti wa tanzania na hata wakristo huwa wanapata ruzuku toka serikalini kwa kuendesha shule zao pale walipoingia mkataba na serikali mwaka 1992 kwa kile kinachoitwa "memorundum of understanding" huu ni mkataba maalum uliosainiwa na edward lowasa waziri ktk ofisi ya waziri mkuu 1992 na jumuiya ya muungano wa makanisa tanzania!!

sasa hakuna ubaya wowote kwa waislamu kuwa na mahakama zao za kadhi ambazo zitawahusu wao waislamu ktk kuamua kesi za mirathi, ndoa na tamaduni zao na hakuna haja ya wakristo kuwa na woga kwa mahakama hii!!

tanzania ni ya wakristo na waislamu hivyo tunaweza kuishi pamoja kwa kuvumiliana ili mradi kila mtu anafuata sheria!!
 
RICHMOND imezimwa, lakini MAHAKAM YA KADHI bado inang'ang'aniwa kama kupe.

Na kwa nini serikali ndio iunde au isimamie kuanzishwa kwake?

Huu mjadala hauna tija kwa taifa ni kupoteza muda wa kujadili mambo muhimu ya maendeleo ya Taifa na kuanza kujadili mahakama.

Ni sawa na nchi kujipanga kujenga MAGEREZA hili halina tija cha msingi ni kupunguza uhalifu.

Wale wanaotaka mahakama ya Kadhi basi waende au wapeleke kesi zao Zanzibar maana ipo mahakama km hiyo na ZNZ bado ni Tanzania ile ile tu.
 
Mahakama ya kadhi ndio itakayoizika Serikali ya CCM. Na najua ndio chanzo cha kelele za msanii Kiwete.
 
ni lazima mahakama za kadhi zitaendeshwa kwa gharama za serikali kwa sababu makadhi watateuliwa na serikali kwa kushauriana na mufti wa tanzania na hata wakristo huwa wanapata ruzuku toka serikalini kwa kuendesha shule zao pale walipoingia mkataba na serikali mwaka 1992 kwa kile kinachoitwa "memorundum of understanding" huu ni mkataba maalum uliosainiwa na edward lowasa waziri ktk ofisi ya waziri mkuu 1992 na jumuiya ya muungano wa makanisa tanzania!!

sasa hakuna ubaya wowote kwa waislamu kuwa na mahakama zao za kadhi ambazo zitawahusu wao waislamu ktk kuamua kesi za mirathi, ndoa na tamaduni zao na hakuna haja ya wakristo kuwa na woga kwa mahakama hii!!

tanzania ni ya wakristo na waislamu hivyo tunaweza kuishi pamoja kwa kuvumiliana ili mradi kila mtu anafuata sheria!!

Ur dreaming & this is worst nightmare u had, think..!!!! think...!!! utindio wa medula yako is full of mgando, jua JF is not a place to dump ur ignorance, instead unaweza kujifunza hapa, but i dought ukilaza wako mkubwa mno, Watanzania wote tunapinga hii Mah. ya Kadhi ww unaongea ndotoni, unajua jina tu wala hujui ni nini, kamwe it won't happen
 
ur dreaming & this is worst nightmare u had, think..!!!! Think...!!! Utindio wa medula yako is full of mgando, jua jf is not a place to dump ur ignorance, instead unaweza kujifunza hapa, but i dought ukilaza wako mkubwa mno, watanzania wote tunapinga hii mah. Ya kadhi ww unaongea ndotoni, unajua jina tu wala hujui ni nini, kamwe it won't happen

matusi hayajengi toa hoja kupinga au kuunga mkono mahakama za kadhi kwani ni haki yako kupinga au kuunga mkono lakini matusi na dharau ni ishara ya kupoteza kinga ya kuvumiliana!!!!
 
Good point sio kila group likianzisha mahakama zitakuwa ni mkanganyiko. Tatizo sheria za sasa za tanzania asili yake ni dini ya kikristo (Canon and Common Laws (from UK and Germany (Anglican and Lutheran Church)). Sasa baadhi ya sheria zinakinzana na matakwa ya waislamu na hapo ndio mgongano huanza. Kama wahaya na wachaga nao wataanzisha basi zitakuwa mahakama za kikabila but at the moment in the mind of many muslims mahakama za tanzania ni mahakama za kikristo since they favors christians than muslims and that is the contradiction inapoanza.

Kama hoja zenyewe ndio hizi, basi hata hiyo mahakama pekee haitawatosha na hawataishia hapo, next wataomba pia polisi wa Kii-slam, askari magereza wakii-slam, jela za kii-slam, prosecutor wa kii-slam na hata jaji mkuu na mwanasheria mkuu wa kii-slam...the whole idea is :evil:
 
Please kwanini tunaacha kujadili mambo ya maana huku tunajadili udini! huu udini huu tukiuendekeza utakuja kutuchoma moyo tena hapa hapa duniani hata kabla ya kwenda huko kusikojulikana after kifo..!

hey me sioni hili ni la msingi kulijadili huku caz sidhani kama mahakama ya kadhi kuwepo ama kutokuwepo kutatufanya sisi wakrististo na wasio na dini kushindwa kwenda kwenye nyumba zetu za ibada kusali like kwendakanisani, kuoa, kubariki ama kutou vipaimara kwa watoto wetu caz hiyo mahaka ya kadhi itadeel tuu na waislam, na ni katika kusolve mambo yao ya ndoa na mirathi sasa kwanini tunaipiga vita? itatuzuiaje sisi kutekeleza ibada zetu?

kwanini kama tunaona hatujafanyiwa fair tujenge hoja na sie tuanzishe mahakama yetu kwa ajili ya kusolve ishu zetu..! tusijaribu ku create chuki kwa mambo madogo kama haya. vita ya dini hamna atakaeiweza humu ndani wote mtakimbilia ughaibuni muwaache ndugu zenu wakichinjana kama kuku, nyie ongeeni tu kama kasuku..:A S angry:

tuzungumze mambo ya kimaendeleo humu jamani yatakayo tujenga na kutupa maendeleo na kutufanya tuwe wamoja. udini hauna maana, utatufikisha pabaya...! ohooo:nono:
 
Nikiwa kama mtu ambaye niliwapa Chadema kura ya udiwani na ubunge nikidhani kwamba majukumu hayo wanayaweza (urais sikuwapa)

I am very very very dissapointed.:A S angry:
jaribu kufikiri upya, utagundua kuwa wamefanya jambo la muhimu na kuanzisha mchakato muhimu wa kuelekea kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, yanayotokea leo kwa CUF zanzibar yalikuwa hivi hivi. faida yake huwezi kuiona leo.
 
hili la mahakama ya kadhi ni upuuzi mtupu hatuihitaji, haiwezekani wakatumia kodi yetu kuendesha taasisi zao za kidini. udini huu kauanzisha kikwete na sasa yeye ni wa kwanza kuulalamikia. leo viongozi top Bara na visiwani wote ni waislamu. swali: JE ZANZIBAR HAKUNA WAKRISTO? Kikwete ni mdini namba moja.
 
mi nilifikiri hili jambo lilishafutwa, kumbu kumbu zangu zinaniambia Msekwa alitoa tamko lililokuwa limetenganisha mahakama hii na serkali
 
Duh washikaji wanataka wakatane mikono na miguu maana magerezani wao ndio wengi which logical ni watata saaaaaaaaaaaaaaaaaana :doh:
 
Mahakama ya kazi ni shida sasa itakuwa inawahukumu watu wa dini zote au wenyewe tu, tatizo bongo kila kitu ni deal unakuta hiyo ni deal ya watu tu.
Hapo kwenye nyekundu unapoteza maana, ni "kadhi" na siyo kazi" napita tu
 
Back
Top Bottom