kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
wakatoliki wataitoa wapi na hawana mwongozo huo!..labda kwa padri kimaro!
Jamani hii nchi haina dini!!!! Kwanini Watanzania walipe kodi kusupport mahakama ya kadhi na huku hii nchi sio ya kidini? Au hii kodi itakuwa inakusanywa kutoka kwa waislamu pekee au ndo mwanzo wa mpasuko wa nchi? Acheni ushabiki! Kama mnataka mahakama ya kidini then mko kwenye wrong country!
wacha kasumba hizo hakatwi mtu mikono wala miguu. ulize zanzibar kama kuna mtu ameshawahi kukatwa.hii ni mahakama ya mambo matatu tu; 1. MIRATHI 2. NDOA . 3. TALAKA. usiogope kaka!!!!Duh washikaji wanataka wakatane mikono na miguu maana magerezani wao ndio wengi which logical ni watata saaaaaaaaaaaaaaaaaana :doh:
Ubaguzi wa kidini huo na kama ni hivyo wakristo nao wadai mahakama yao kwani TZ ina dini siku hizi?
Kwa faida yako tu wewe mdau. Mahakama ya kazi kazi yake ni kusimamia mirathi, ndoa na matatizo mengine ya kiuslamu kama uslamu unavyoelekeza na itawahusu waislamu tu sasa udini uko wapi? Isitoshe ilikuwepo zamani kabla na baada ya uhuru na pia waislamu wenyewe ndio wataigharamia
Source: Mwananchi
Uzuri wa hawa jamaa 'project' yao hata ikae miaka 100 huwa hawaachi wala kukata tamaa
LAZIMA Tanzania iingizwe kwenye sheria katili na baguzi za kiarabu.
Wacha nichape kazi nijenge nchi yangu masikini.
Kwa faida yako tu wewe mdau. Mahakama ya kazi kazi yake ni kusimamia mirathi, ndoa na matatizo mengine ya kiuslamu kama uslamu unavyoelekeza na itawahusu waislamu tu sasa udini uko wapi? Isitoshe ilikuwepo zamani kabla na baada ya uhuru na pia waislamu wenyewe ndio wataigharamia
MoU je si udini!!!!!!
je kwanini sensa ya tanzania, hawahesabu watu kwa kuangalia dini au makabira....?
kuna siri kubwa hapa