watu kama nyie mnakera sana.huu ni ukweli kuwa mpaka leo tarehe 02/012014 hatujalipwa mshahara wa mwezi december na serikali iko kimya kabisa.
Mpaka habari hizi ziende kwenye media ndio serikali itashituka na kuona aibu.
mshahara wa mwezi wa kumi na mbili?,ina maana wa mwezi wa kumi na moja umemaliza? Ndio maana rafiki wako wa hazina kakutajia oc ,ili usiendelee kumsumbua!
Jina Lako lenyewe Bawa inaonyesha ni kiac gani uko kwapani kisha unatandika mkeka wa kimbea uone wangapi watakaa? Wewe sema upo wizara gani ambayo hujalipwa mshahara hadi Leo Kama co ustawisha genge upate utakao saidiana nao kuisema nchi yk Mimi niko wizara ya serikali na mshahara nimechukua tarehe 30/12/2013 bank ya CRDB ATM ya Oil Com mbezi beach chini! Tutafute mada nyingine ya kupoteza cku io futa bana!
Mimi ni mwalimu pale udsm. mshahara mpaka leo bado. uliza mwalim yeyote wa udsm hakuna aliyepata mshahara. chuo wanadai check bado.Jina Lako lenyewe Bawa inaonyesha ni kiac gani uko kwapani kisha unatandika mkeka wa kimbea uone wangapi watakaa? Wewe sema upo wizara gani ambayo hujalipwa mshahara hadi Leo Kama co ustawisha genge upate utakao saidiana nao kuisema nchi yk Mimi niko wizara ya serikali na mshahara nimechukua tarehe 30/12/2013 bank ya CRDB ATM ya Oil Com mbezi beach chini! Tutafute mada nyingine ya kupoteza cku io futa bana!
Wanaostaili kulipwa kwa wakati ni Walimu, Polisi na Manesi maana hao hawana semina na vikao feki vya posho. The rest hata mkikosa sawa
Utasikia makusanyo ya kodi mwezi huu tumevuka malengo, huku watu wanalia hawajalipwa mshahara, usanii huu uwe na mwisho. Lkn na ninyi wafanyakazi mlimpa kura za nini na yeye alisema hataki kura zenu! wezi wakubwa ninyi mnaikumbatia ccm kwa kuruhusu muwaibie WADANGANYIKA.
Hoja ni dhaifu sana kwani haina utafiti wa kutosha !!!!
Huwezi kuamini wafanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 2 hawajalipwa mishahara. Nimeombwa na rafiki zangu wawili kuwakopesha kwa vile mishahara haijatoka nikazungumza na jamaa yangu wa hazina anasema mishahara bado waliolipwa ni wajeshi na taasisi baadhi zimelipa kupitia OC. Huu ndio ukweli , kama serikali inashindwa kulipa mishahara kwa wakati tunarudi kama wakati wa Mwinyi mishahara tarehe 7. Kaserikali dhaifu! Vyama vya wafanyakazi vipo wapi au kazi yao kukusanya ada tu?
Hoja ni dhaifu sana kwani haina utafiti wa kutosha !!!!
Hili ni taifa lililoshindwa kwa kila kitu,kila mara nasema na nitarudia kusema.Kama taifa tumeanguka na hakuna wa kutuinua.Utasikia makusanyo ya kodi mwezi huu tumevuka malengo, huku watu wanalia hawajalipwa mshahara, usanii huu uwe na mwisho. Lkn na ninyi wafanyakazi mlimpa kura za nini na yeye alisema hataki kura zenu! wezi wakubwa ninyi mnaikumbatia ccm kwa kuruhusu muwaibie WADANGANYIKA.