Serikali Yashindwa Kulipa Mishahara ya December

Serikali Yashindwa Kulipa Mishahara ya December

Bajeti ya Serikali ya miezi 12 kuanzia July 2013 mpaka June 2014 ilitangazwa June 2013, leo Serikali haina pesa ya kulipa mishahara, ndani ya miezi sita!!!! Na hii trend ya kushindwa kulipa mishahara baada ya miezi michache tu yangu bajeti itangazwe rasmi huu ni mwaka wa nne sasa. 2009 au 2010 walianza kuchelewesha mishahara hadi tarehe 45 mpaka tarehe 50 kuanzia August/September ya mwaka huo. Huu ni ushahidi mwingine tosha wa Serikali hii dhalimu kuendelea kujikanyagakanyaga kwenye utendaji wake wa kila siku.
 
Tupishe huko na Ndg nyumba kubwa! Mtu akisema kalipwa trh 24, 27, 30.... C kwamba ndio mishahara ilitolewa hivyo hizo tarehe ni kila mtu anaingia bank kwa wkt wake kisha anakutana na bingo yake. Sasa we usiojua Malipo ya kupitia Bank yakoje unadhani bado dirishani km Enzi za Mwalim Pooooole!!
 
Mkuu nimi ni mmoja wa wahanga wa kutolipwa mshahara.

Nilipost hii habari hapa jukwaani kuna watu wakaniona mimi mzushi.Bora na wewe umesema.

Jamani waandishi wa habari mtusaidie katika hili!
kwa hiyo walianza kukupatia salary slip kabla ya mshahara?
 
sasa 2015 tutaeleana, sio tunasema maisha magumu wengine wanacheka, my govt ebu iyo salary lipa tar20 ili hawa wae wamedaiwa bill mpya ya umeme, karo ya watoto, unga na mchele vimeisha tar5...apo kidogo tukiambiwa tuwe serious kwenye sanduku la kura tutaelewana tu....asante kwa kuichagua vodac..aah no kuichagua cc...aah basi bhana!
 
Hadi leo muda huu wafanyakazi wanaganga njaa wakat wenzao wenye fursa wameandika posho tangu jana na wamepata. Dah maisha ya mfanyakazi bongo ni sawa na ombaomba tu!
 
inategemea serikalini idara gani,kama hazina umhimu kwa maslahi ya taifa mtasubiri sana,wakati mnafursa ya kugoma,anzisheni mgomo wa nchi nzima, sisiwengine hakuna sheria inayoturuhusu kufanya mgoma
weka picha mkuu tutililike
 
Te te te...kwa maana hiyo ukichukua ela kwenye ATM huwezi jua zimeingia lini? Poye

Tupishe huko na Ndg nyumba kubwa! Mtu akisema kalipwa trh 24, 27, 30.... C kwamba ndio mishahara ilitolewa hivyo hizo tarehe ni kila mtu anaingia bank kwa wkt wake kisha anakutana na bingo yake. Sasa we usiojua Malipo ya kupitia Bank yakoje unadhani bado dirishani km Enzi za Mwalim Pooooole!!
 
Kuanzia 25 dec secta zote washapataga hela, sas cjui n kina nani hao
samahani mods naomba ruhusa nitukane mtu kidogo....leo jioni nimepita pale UDSM kuna tangazo linasema laabda leo jioni ndo wanaweza kulipa mshahara kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao, watu wengine wanaleta u.s.u.huzi hapa. Unafikiri idara zote huwa zuinalipwa siku moja? Au mfanyakazi wa serikali ni wewe pekee yako?
 
Labda na sisi kwenye taasisi yetu tutalipwa sasa.

Kwakweli ni majanga!
 
sioni haja yakumshambulia mtoa mada, kama wewe umepata mshahara wengine hawajapata labda kwa sababu mbalimbali. unapopinga na kusema sio kweli kisa tu wewe ulipata tangu tarehe 7/12/2013 hizo ni akili mlalo. hapo ndio tunashindwana hata wakati wakufanya maamuzi magumu, mtu kwa vile umepewa kitshart na kofia na ka elfu 10 basi anasahau hata future yake na ya watoto wake. shida zote anaona amemaliza.
suala la mishahara kuchelewa lipo tena sana wala sio lakufumbiwa macho, hata nyie mnaosema mmewahishiwa mwezi huu naamini mara nyingi sana hamjapata kwa wakati. acheni ushabiki
 
sioni haja yakumshambulia mtoa mada, kama wewe umepata mshahara wengine hawajapata labda kwa sababu mbalimbali. unapopinga na kusema sio kweli kisa tu wewe ulipata tangu tarehe 7/12/2013 hizo ni akili mlalo. hapo ndio tunashindwana hata wakati wakufanya maamuzi magumu, mtu kwa vile umepewa kitshart na kofia na ka elfu 10 basi anasahau hata future yake na ya watoto wake. shida zote anaona amemaliza.
suala la mishahara kuchelewa lipo tena sana wala sio lakufumbiwa macho, hata nyie mnaosema mmewahishiwa mwezi huu naamini mara nyingi sana hamjapata kwa wakati. acheni ushabiki wa KIJINGAAAA:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Tupishe huko na Ndg nyumba kubwa! Mtu akisema kalipwa trh 24, 27, 30.... C kwamba ndio mishahara ilitolewa hivyo hizo tarehe ni kila mtu anaingia bank kwa wkt wake kisha anakutana na bingo yake. Sasa we usiojua Malipo ya kupitia Bank yakoje unadhani bado dirishani km Enzi za Mwalim Pooooole!!

Duhh uko dunia gani mkuu?Siku hizi popote ulipo ilimradi tu uwe na simu ya mkononi,hela zimeingizwa kwenye akaunti yako muda huo huo unapata meseji kupitia simu yako ya mkononi.Sio kweli eti wanaolalamika ni kwa sababu hawajaenda bank,kwa taarifa yako hata kuweka hela siku hizi haulazimiki kwenda bank!Teknolojia mkuu,
 
Huwezi kuamini wafanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 2 hawajalipwa mishahara. Nimeombwa na rafiki zangu wawili kuwakopesha kwa vile mishahara haijatoka nikazungumza na jamaa yangu wa hazina anasema mishahara bado waliolipwa ni wajeshi na taasisi baadhi zimelipa kupitia OC. Huu ndio ukweli , kama serikali inashindwa kulipa mishahara kwa wakati tunarudi kama wakati wa Mwinyi mishahara tarehe 7. Kaserikali dhaifu! Vyama vya wafanyakazi vipo wapi au kazi yao kukusanya ada tu?

Lushoto DC tumepata mzigo kitambo sana tangu dec 24....
 
Huwezi kuamini wafanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 2 hawajalipwa mishahara. Nimeombwa na rafiki zangu wawili kuwakopesha kwa vile mishahara haijatoka nikazungumza na jamaa yangu wa hazina anasema mishahara bado waliolipwa ni wajeshi na taasisi baadhi zimelipa kupitia OC. Huu ndio ukweli , kama serikali inashindwa kulipa mishahara kwa wakati tunarudi kama wakati wa Mwinyi mishahara tarehe 7. Kaserikali dhaifu! Vyama vya wafanyakazi vipo wapi au kazi yao kukusanya ada tu?
Mwafanya hujuma TRA, Hazina, Bandari, TANAPA, na ktka kila taasisi ya serikali ili msingizie serikali dhaifu. Miaka fulani kundi fulani lilikuwa likijidai wao ndiyo wasomi na kwamba kundi jingine la watu katika jamii hawajaso. Sasa na usomi wetu sisi tunaodai "the educated" tumeifanyia nini nchi zaidi ya ufisadi na sisi sasa ndityo tunalalamika. Tunaifilisi nchi kwa kujichumi kisha tunalalamika wenyewe. Huu ndiyo ukweli ulivyo kwenye maofisi ya umma.
truth (14).jpg
 
kuna mdau aliniambia ikulu iliagiza zichukuliwe bilioni 13 kutoka benki flani hivi ilikufanikisha safari ya vasco da gama kwenda ughaibuni yani majanga baada ya wiki mbili tena ikaagiza billioni 12 . Mpaka 2015 govt debt itafikia 50 trillion kwani 2012 ilikuwa 23 trillion.

watazitapika wakiwa hai au makaburi yao, wee ngoja utaona!
 
Mimi wangenicheleweshea ningemfuata naibu waziri wa fedha kale kadada nikabebe juu juu kakanisongee ugali na kunipepea nipate upepo na usingizi maana hata hela ya umeme nisingekuwa nayo na feni ningezima sasa majasho yangenitoka kama niko jehanam.hilo nisingekubali lazima kale kanaibu kangenibembeleza kwa lazima.

MY TAKE: kama mtu kapewa madaraka pale hazina na anachelewesha au anaona kazi ni kubwa sana aachie ngazi kiroho safi waachine wanaofanya kazi usiku na mchana kama akina mwakwembe.nchii hii ni kubwa hatukutegemea hilo kusikia tena msimu wa sikukuu! poleni sana wafanyakazi wa umma
 
Serikali ya JK imevunja record nyingi, mojawapo ya record ni kuchelewesha mishahara ya watumishi wa Umma. Wafanyakazi wa umma wanaingia tarehe 6 hawana mishahara. Serikali kama mwajiri kama imeshindwa kulipa mishahara iseme ili watu watafute kazi sekta binafsi.
 
Back
Top Bottom