Serikali Yashindwa Kulipa Mishahara ya December

Serikali Yashindwa Kulipa Mishahara ya December

Hela zenu wamezitumia kumpa Zitto aisambaratishe Cdm, na nyingine wanamlipa Msando kuendeshea kesi ya Zitto na Cdm. Poleni sana, hiyo ndio serikali ya ccm
 
poleni sana wafanyakazi wa serikalini, hasa ndugu zangu waalimu, naamini ipo siku jasho lenu litalipwa, lakini ndo funzo kuchagua viongozi na watawala
 
pole mkuu achana nae huyo yupo hapa kuspin mada, kiukweli serikali iko taabani dhoofu hali!

Ni kweli mishahara imechelewa lakini ni kwa sababu za msingi sana. Kwanza msiba wa Madiba, rais wetu mpendwa alienda mara mbili, halafu kutokana na safari nyingi akabidi aende kuchekiwa afya yake marekani. sasa wanaolalamika kutokuipwa mshahara wakumbuke rais kwanza mengine baadaye. CCM juuuuuuuuuuuu
 
Ckia we sungura cmanishi nikitaja kuingia Bank bac ni mjengo wa bank kwani unapopita mitaa ukaingia ATM ni ATM za Bar au.....?? Au hata hiyo cm yako ufunguapo huduma ya kutoa au kuweka pesa ni ya kibox chako au ni huduma za kibenk? Soma ujumbe wa mtu vyema co kukurupuka man!!
 
Ni kweli mishahara imechelewa lakini ni kwa sababu za msingi sana. Kwanza msiba wa Madiba, rais wetu mpendwa alienda mara mbili, halafu kutokana na safari nyingi akabidi aende kuchekiwa afya yake marekani. sasa wanaolalamika kutokuipwa mshahara wakumbuke rais kwanza mengine baadaye. CCM juuuuuuuuuuuu
Umenichekesha kweli. Hadi leo tarehe 5 watu hawajalipwa
 
Wizara ya fedha haitakiwi kuwa na waziri mwenye maadili kama marehemu Mgimwa, pale panatakiwa majambazi kama Mustapha Mkullo wanaoiba mchana kweupe kama wachawi wanaowanga!!!
 
Furahi mimi niko Serikalini na mshahara nshaumaliza duuuu labda tuna payroll tofauti sijui.
Muwe wakweli jamani.

Hivi mnajua mngejua ni kiasi gani mnavyoprovoke hasira za wa2 msingeponda hii mada! Mimi nina sababu gani ya kusema uongo? Kwani haiwezi kutokea baadhi ya taasisi zikalipwa na zingine zikachelewa? Au nyie ni wageni wa vituko vya nchi hii? Na kama umelipwa ulizia vizuri hiyo pesa ilipotoka kama hujaambiwa imekopwa kutoka kwenye account ya taasisi.
Mimi nikikwambia ofv yetu haijapata OC sinc October utaamini? Au bado utasema naongopa? Kwanza ninyamaze nisijetukana m2 sa hizi
 
Serikali ya JK imevunja record nyingi, mojawapo ya record ni kuchelewesha mishahara ya watumishi wa Umma. Wafanyakazi wa umma wanaingia tarehe 6 hawana mishahara. Serikali kama mwajiri kama imeshindwa kulipa mishahara iseme ili watu watafute kazi sekta binafsi.

Poleni sisi wa sekta " nyeti" yetu Kama kawaida...advance tarehe 15 na tarehe 28 maximum mishahara inaingia...ikifika mwisho wa Mwezi haijaingia wanaujuwa miziki ambayo ilifanyika Enzi Za Mzee wetu ruksa.....saa 9 Gari zetu zinapaki pale Long room tunajibebea wenyewe ...mabox ya pesa Za Kodi ili sekta nyeti zipate mishahara.....
 
Alishasema hataki kura za wafanyakazi, sasa hapo wafanyakazi munataka nini tena. Aliyetoa pesa kapewa cheni feki lakini pia nae alitoa pesa feki, hakili za kuambiwa changanya na zako mbayuwai.
 
Nikisoma comments za watu uwa na smile...yani watu hawajuhi kuwa serikali ina taasisi nyingi...mtu kulipwa yeye ana assume basi kila mtu kalipwa...

Mbona nyie mliolipwa hamkulipwa tarehe sawa (moja); mwingine anasema kalipwa tarehe 24, nmwingine tarehe 27, mwingine tarehe 30...sasa mnashangaa nini wenzenu wakisema hawajalipwa mpaka leo tarehe 3????? Wanalipa kwa awamu that is my deductive conclusion.

'Aloshiba hawezi kumjua mwenye njaa'

Ndio lazima tuwachanganye kuwalipa kwa mafungu ili mkose umoja....uliewaishiwa Leo unajiona una bahati na unaona ukienda mana au kulalamika unatulia ...Mwezi ujao tunakucheleweshea kidogo..utavumilia ukijuwa ukitoa Sauti utakosa kabisa.....devide and rule....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pamoja na kuwa Serikali ina taasisi mbali mbali lakini mishahara inatakiwa ilipwe siku moja bila taasisi moja kuwahi kulipwa kabla ya nyingine au kucheleweshwa. Mahitaji ya Wafanyakazi wa Serikali ni yale yale wanalipa kodi kwa wapangaji, bills za umeme, kununua chakula, kulipia gharama za usafiri, kulipia karo za shule katika wakati muafaka hivyo haihusu kitu wengine walipwe mapema na wengine wacheleweshwe.

Nikisoma comments za watu uwa na smile...yani watu hawajuhi kuwa serikali ina taasisi nyingi...mtu kulipwa yeye ana assume basi kila mtu kalipwa...

Mbona nyie mliolipwa hamkulipwa tarehe sawa (moja); mwingine anasema kalipwa tarehe 24, nmwingine tarehe 27, mwingine tarehe 30...sasa mnashangaa nini wenzenu wakisema hawajalipwa mpaka leo tarehe 3????? Wanalipa kwa awamu that is my deductive conclusion.

'Aloshiba hawezi kumjua mwenye njaa'
 
Mwafanya hujuma TRA, Hazina, Bandari, TANAPA, na ktka kila taasisi ya serikali ili msingizie serikali dhaifu. Miaka fulani kundi fulani lilikuwa likijidai wao ndiyo wasomi na kwamba kundi jingine la watu katika jamii hawajaso. Sasa na usomi wetu sisi tunaodai "the educated" tumeifanyia nini nchi zaidi ya ufisadi na sisi sasa ndityo tunalalamika. Tunaifilisi nchi kwa kujichumi kisha tunalalamika wenyewe. Huu ndiyo ukweli ulivyo kwenye maofisi ya umma.
View attachment 130008
Siku nyingine fikiria kabla hujaandika
 
Ndio lazima tuwachanganye kuwalipa kwa mafungu ili mkose umoja....uliewaishiwa Leo unajiona una bahati na unaona ukienda mana au kulalamika unatulia ...Mwezi ujao tunakucheleweshea kidogo..utavumilia ukijuwa ukitoa Sauti utakosa kabisa.....devide and rule....
Sijui vyama vya wafanyakazi Tanzania wana kazi gani. hadi leo watu hawajalipwa vyama kimya
 
Hoja ni dhaifu sana kwani haina utafiti wa kutosha !!!!

Usiwe kama kasuku. Si kila kitu kinahitaji utafiti. Wahusika wanasema hawajalipwa mishahara. Je hilo linataka utafiti gani? Serikali hii itakumbukwa kwa jinsi wafanyajazi wanavyoteseka. Tumerudi enzi za Mwinyi tarehe ya mshahara haijulikani lakini hela za kuzurura na ujumbe mkubwa usio na tija hela ipo. 2015 seems to be a very long way. Hivi jamaa mkuu wa nyumba analijua hili tatizo.
Tunaambiwa kodi inaongezeka lakini mishahara inapatikana kwa mbinde.
Ndio eti tuna serikali sikivu. Anawalipa wanajeshi tu. Hivi hao wanajeshi hawana ndugu katika idara nyingine za serikali?
Kwani Mkapa alikuwa anatumia mbinu gani?
 
Mimi mpaka lei tarehe 5 sijapata mshahara. Halafu eti wafanyakazi wengine wa Umma wamepata tangu tarehe 22 mbaya sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dah!!!! Yaani tofauti ya zaidi ya wiki mbili na si ajabu hali hii inaweza kuendelea kwa wiki nyingine nzima!!!!! Hii si haki kabisa!!!!

Mimi mpaka lei tarehe 5 sijapata mshahara. Halafu eti wafanyakazi wengine wa Umma wamepata tangu tarehe 22 mbaya sana.
 
Dah!!!! Yaani tofauti ya zaidi ya wiki mbili na si ajabu hali hii inaweza kuendelea kwa wiki nyingine nzima!!!!! Hii si haki kabisa!!!![/QUOTE

Mbaya sana, kama huna pesa nyingine unategemea mshahara ni hatari hasa kwa january kama sasa ambapo watoto wanarudi shule kesho.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom