Serikali Yashindwa Kulipa Mishahara ya December

Huwezi kuamini wafanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 2 hawajalipwa mishahara. Nimeombwa na rafiki zangu wawili kuwakopesha kwa vile mishahara haijatoka nikazungumza na jamaa yangu wa hazina anasema mishahara bado waliolipwa ni wajeshi na taasisi baadhi zimelipa kupitia OC. Huu ndio ukweli , kama serikali inashindwa kulipa mishahara kwa wakati tunarudi kama wakati wa Mwinyi mishahara tarehe 7. Kaserikali dhaifu! Vyama vya wafanyakazi vipo wapi au kazi yao kukusanya ada tu?

Mpaka leo bado hujapata mshahara wako?!
 
Mi kitu kimeshamaliza, nyie isjekuwa mko kwenye payrol za wajindi the mnasinhizia serikali.
 
Huwezi kuamini wafanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 2 hawajalipwa mishahara. Nimeombwa na rafiki zangu wawili kuwakopesha kwa vile mishahara haijatoka nikazungumza na jamaa yangu wa hazina anasema mishahara bado waliolipwa ni wajeshi na taasisi baadhi zimelipa kupitia OC. Huu ndio ukweli , kama serikali inashindwa kulipa mishahara kwa wakati tunarudi kama wakati wa Mwinyi mishahara tarehe 7. Kaserikali dhaifu! Vyama vya wafanyakazi vipo wapi au kazi yao kukusanya ada tu?

ukisikia unafiki na majungu ndo huu kama kweli unajua kuwa serikali hawajalipa mishahara si ungetaja tu ni taasisi gani ili tujue? mimi mwenyewe nipo serikalini tena chini ya hazina mshahara wa Dec 2013 nimeshamaliza! unapokuwa unatoa taarifa msipende kumungunya maneno na ndo maana tunakuwa na watu duni sana katika maamuzi na maongozi maana watu hamko wazi mnaongea kinafiki nafiki ili mradi nanyi mmepost jf!
 
Wanaostaili kulipwa kwa wakati ni Walimu, Polisi na Manesi maana hao hawana semina na vikao feki vya posho. The rest hata mkikosa sawa
Kweli wewe ni ka(kende), tena kadogo kadooogo kalichowahi kuugua ngiri.
 
Mbugi unataka ushahidi gani? Mie sijalipwa na nianafanya Shirika la Umma na Leo Ni trh 2

yani mm shida yangu ni hapo tu, kwa nini usitaje hilo shirika ili kama kuna wadau humu wanaojua waseme ni kweli au sio? ama sivyo unyamaze maana hutapata msaada kwa kukaa kimya!
 
hela zimeshalipwa ila zimeingia mapema tokea 24.12.2013.wengu wa watu wamejisahau na kuzitumia katika mkesha wa x.mass bila kujali kwamba hela iliyoingia ni mshahara wa mwez wa 12.kama unataka ulipwe mshahara mwengine subiria tarehe 31.01.2014.kwa muda huu mgumu.watoto wanataka ada ya shule,deni la mwaka mpya yote hayo jiandae kisaikolojia hadi tarehe iliyotajwa.
 
Nikisoma comments za watu uwa na smile...yani watu hawajuhi kuwa serikali ina taasisi nyingi...mtu kulipwa yeye ana assume basi kila mtu kalipwa...

Mbona nyie mliolipwa hamkulipwa tarehe sawa (moja); mwingine anasema kalipwa tarehe 24, nmwingine tarehe 27, mwingine tarehe 30...sasa mnashangaa nini wenzenu wakisema hawajalipwa mpaka leo tarehe 3????? Wanalipa kwa awamu that is my deductive conclusion.

'Aloshiba hawezi kumjua mwenye njaa'

Mimi ni mwalimu pale udsm. mshahara mpaka leo bado. uliza mwalim yeyote wa udsm hakuna aliyepata mshahara. chuo wanadai check bado.
 
ukisikia unafiki na majungu ndo huu kama kweli unajua kuwa serikali hawajalipa mishahara si ungetaja tu ni taasisi gani ili tujue? mimi mwenyewe nipo serikalini tena chini ya hazina mshahara wa Dec 2013 nimeshamaliza! unapokuwa unatoa taarifa msipende kumungunya maneno na ndo maana tunakuwa na watu duni sana katika maamuzi na maongozi maana watu hamko wazi mnaongea kinafiki nafiki ili mradi nanyi mmepost jf!

yani mm shida yangu ni hapo tu, kwa nini usitaje hilo shirika ili kama kuna wadau humu wanaojua waseme ni kweli au sio? ama sivyo unyamaze maana hutapata msaada kwa kukaa kimya!

Mimi ni mwalimu pale udsm. mshahara mpaka leo bado. uliza mwalim yeyote wa udsm hakuna aliyepata mshahara. chuo wanadai check bado.

Nadhani mnaotaka mashirika na wizara mfano huo hapo.Ni kweli kumekuwa na uchelewaji wa mishahara kwa baadhi ya sekta za serikali,hata mimi ni mfanyakazi wa serikali (ingawa sio UDSM) na hadi sasa sijapata mshahara!
 
Hoja ni dhaifu sana kwani haina utafiti wa kutosha !!!!
Mimi mwenyewe niko serikali kuu na huo mshahara sijauona mpaka leo. Mpaka bosi wetu ameamua kumpa kila mfanyakazi pesa ndogo ya kujikimu..!!
 
Hivi jamani mnafikiri m2 anaweza kukurupuka tu kuandika hajapata mshahara? Ili iweje? Navyojua kuna taasisi zimeshapata lakini kuna wengine bado hatujapata na tuko chini ya wizara. Yani hadi leo tuko ofcn hakuna kilichotoka huko hazina
 
Kuanzia 25 dec secta zote washapataga hela, sas cjui n kina nani hao

Si kweli ndugu. Mm nipo hapa naandika sijauona mshahara hata leo nimetoka benk. Hasa wa Taasisi za elimu ya juu.
 
Hela na mafweza yoote yameishia kwenye safari za ki-Vasco da Gama. Anapoenda kutafuta vitunguu saumu vya kupikia pilau. Kwani hujamskia tarehe 31 Desemba 2013? Kasema safari zake zimefanikiwa mno maana tumepata "mdalasini, vitunguu maji, iliki, nyanya chungu, nk." kwa wingi kabisa kutokana na safari hizo utafikiri hatuna hivyo viungo hadi tugeuke matonya wa dunia nzima. Tume kuwa kama mwanamke mbea kila uchao ni kiguu na njia kwenye majumba ya watu.,
kuna mdau aliniambia ikulu iliagiza zichukuliwe bilioni 13 kutoka benki flani hivi ilikufanikisha safari ya vasco da gama kwenda ughaibuni yani majanga baada ya wiki mbili tena ikaagiza billioni 12 . mpaka 2015 govt debt itafikia 50 trillion kwani 2012 ilikuwa 23 trillion.
 
Si kweli ndugu. Mm nipo hapa naandika sijauona mshahara hata leo nimetoka benk. Hasa wa Taasisi za elimu ya juu.
... wengine wamemaliza salary ya Disemba wengine wanalalama; tena inasikitisha wanaolalama wengi ni watumishi elimu ya juu... vipi Serikali dhaifu imeamua kuwachezea kidole-na-jicho?
 
Mbugi unataka ushahidi gani? Mie sijalipwa na nianafanya Shirika la Umma na Leo Ni trh 2

Bado CCM na serikali yao hawajauza Pembe za ndovu na Sembe inayolevya huko Uchina. Wabunge na Wananchi si wamejidai kuchachamaa kuzuia Biashara ya Ndovu na Unga sasa subirini muone cha moto!

Chezea serikali ya CCM weye??
 
Furahi mimi niko Serikalini na mshahara nshaumaliza duuuu labda tuna payroll tofauti sijui.
Muwe wakweli jamani.
 
Nimependa majibu yako Ndg. Jicho Tai mana mtu anakurupuka tu yeye yuko kwenye Taasisi yenye kujipangia taratibu za salary zao anajumuisha na cc wa wizara zetu tuliojilia visent vyetu vya Desemba kitaambooo hapa tunaota jua kusubiri cha Januari tutese tena kwa Ubwabwa Maharage na Kachumbali, labda ndo tutakutana na ninyi mliyoukosa wa Desemba na pengine Epic9 imewaruka, Mtajibeba c mlikibilia mishahara minono kwenye Vitaacc vyetu? Sasa sageni chupa mmeze!!!
 
Back
Top Bottom