kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,066
Mkuu sipo ofisini ninge-attach salary circular hapa,tena sasa huo ni wa TGSE,kuna wale wanaoanza kazi(bila kujali ana masters, wala CPA) anaanza na TGSD SHS.625,000 Basic na net ya 507,450!huu ndo mshahara wa wahasibu na wakaguzi(including ofisi ya CAG) wote serikalini isipokuwa mashirika ya umma na TRA
Ndo maana wanaiba!