PPM
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 838
- 230
Mzee wa kuyumba kama mwanayumba, muweweseko wa nini? Mwisho wa reli ni Kigoma, mwisho utafika tuu, tujipange kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo na siyo hizo fujo za matamanio makubwa ya kutaka madaraka kuliko kutumikia. Mnapenda sana kutumikiwa ndiyo maana mnahaha sana. Mhaho wa nini? kama mnajiamini ombeni ridhaaa siyo kushinikiza watu kwa vururu vururu zenu hapa. Ebo!
Kweli wacheza bao wanashangaza. Ten years unanfunga mtu viatu then unaona sawa. Ua ni wazungu wanaita brainwash. Kweli kazi ipo na watu wa Pwani. Watanzania wezangu tumewapa nchi hawa jamaa for ten years, nafikiri kila mtu anajua tulipo sasa, Please Please tusifanye kosa, No third term, No uncle, No project jumba kuu aka Membe