Serikali yashindwa kulipa mishahara mwezi Mei

Status
Not open for further replies.
Haki na wajibu!!!teh teh umeshatoroka kazini mara ngapi ndani ya mwezi huu!!

Hawa vijana ndo mafisadi anadai mshahara umechelewa toka ameingia ofisini asubuhi hajafanya kazi yoyote ni kushinda kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia Internet ya Mwajiri wake,Anaingia JF na kutukana viongozi hawawajibiki.
Vijana kama hawa ni Mizigo Mizigo Mizigo kwa taifa.
 
Mtasema mengi mwaka huu. Hakuna hela za Escrow au Jumba kuu. Watanznia please NZo with Team Membe and third term to this 4th Regime. Nchi imefilisika kwa ajilinya hawa jamaa, then bila aibu wanataka third term

Unauhakika na uanchosema wewe? Nchi imefilisika? Yaulize mataifa yaliyofilisika yanahali gani. Unajua kufilisika wewe au unaruka kama jagoo wako hao?
 
Wewe naona huko unakoelekea siko na unakaribia kufa mtumishi wa umma teh teh
 
mwalimu utaendelea kuchagua CCM?

Ataendelea kuichagua, maana bwana EL kakimbilia kwenye udhaifu wa walimu kutangaza kipaumbele cha elimu, maana anajua walimu ni wasaulifu na waoga hivo watampigia chapuo, hapo kawapata
  • wanafunzi wa vyuo
  • wazazi
  • wakiongozwa na nawalimu wa tz.
 
kuna tetesi ati kuwa mshahara umetoka, jamani nithibitishieni nipo kijijini kwenda mpaka mjini nauli 30000/= kwenda tu bado kulala geust na nauli ya kurudia.

Mshahara wangu ni laki nne kasoro mimi mwalimu shule ya msingi!

umetoka kwa walimu wakuu kuu wapya bado
 
Unauhakika na uanchosema wewe? Nchi imefilisika? Yaulize mataifa yaliyofilisika yanahali gani. Unajua kufilisika wewe au unaruka kama jagoo wako hao?
Baada ya wizi wa eskroo, donors walijitoa kwny kuisapoti budget. Rejea lawama za Kikwete dhidi yao
 
Unauhakika na uanchosema wewe? Nchi imefilisika? Yaulize mataifa yaliyofilisika yanahali gani. Unajua kufilisika wewe au unaruka kama jagoo wako hao?

Ziwezi bishana na mtu anayefikiria kutumia masaburi. Au wewe ndiyo wale wa tamthilia za South America na haungalii vyombo vyenye Authority kama Bunge la JMT. Au wewe ndiyo ulibeba vile viroba vya Escrow unavwasiwasi wa kunyea debe. Watanzania wenzangu please! Please! No to third term NO to Membe project
 
Mtasema mengi mwaka huu. Hakuna hela za Escrow au Jumba kuu. Watanznia please NZo with Team Membe and third term to this 4th Regime. Nchi imefilisika kwa ajilinya hawa jamaa, then bila aibu wanataka third term

Wapenda fujo utawaona tu. Maneno, mienendo na matendo yao yote ni vururunvururu. Avatar yako ndiyo kazi yako ee. Unataka watu wakufuate huko? Aaka! Hayo maisha mnayajua wenyewe kurukiana siyo Wtz.
 
Hawa vijana ndo mafisadi anadai mshahara umechelewa toka ameingia ofisini asubuhi hajafanya kazi yoyote ni kushinda kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia Internet ya Mwajiri wake,Anaingia JF na kutukana viongozi hawawajibiki.
Vijana kama hawa ni Mizigo Mizigo Mizigo kwa taifa.
nilijua tu utakuja kichwa kichwa.JF ntaingia 24/7 na lawama ntatoa regarding asaiment zangu zote nazifanya kwa wakati
 
Wapenda fujo utawaona tu. Maneno, mienendo na matendo yao yote ni vururunvururu. Avatar yako ndiyo kazi yako ee. Unataka watu wakufuate huko? Aaka! Hayo maisha mnayajua wenyewe kurukiana siyo Wtz.
No No No to third term. Kama mlitaka mle kwa kazi za kujuana mmeliwa. Mkuu utawala ujao utabaki hapo ulipo au utapanda juu kwa qualification na bidii yako tu. Kujuana na prince haitakuwa hojabtena Watanzania wenzang please please no to third term, No to ucle No to Project Membe
 
Kama kupoteza kura walishapoteza zamani, you can't 'cheat/trick', hawa watoto wa chuo siku hizi.

Sasa ngoja uje uone watu watakavyokuwa slow huko kazini wakiichelewesha zaidi hiyo mishahara. Halafu ndiyo wanawasubiri vizuri October.

Siku zote watanganyika ni watu wa kudanganywa tu.
 
Unauhakika na uanchosema wewe? Nchi imefilisika? Yaulize mataifa yaliyofilisika yanahali gani. Unajua kufilisika wewe au unaruka kama jagoo wako hao?

Sasa tuambie wewe mpaka leo tarehe29 hakuna mtu amelipwa?tel us the reason behind
 
No No No to third term. Kama mlitaka mle kwa kazi za kujuana mmeliwa. Mkuu utawala ujao utabaki hapo ulipo au utapanda juu kwa qualification na bidii yako tu. Kujuana na prince haitakuwa hojabtena Watanzania wenzang please please no to third term, No to ucle No to Project Membe

Mzee wa kuyumba kama mwanayumba, muweweseko wa nini? Mwisho wa reli ni Kigoma, mwisho utafika tuu, tujipange kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo na siyo hizo fujo za matamanio makubwa ya kutaka madaraka kuliko kutumikia. Mnapenda sana kutumikiwa ndiyo maana mnahaha sana. Mhaho wa nini? kama mnajiamini ombeni ridhaaa siyo kushinikiza watu kwa vururu vururu zenu hapa. Ebo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom