Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,972
- 30,154
Kwani leo tarehe ngapi???makubaliano yako na mwajiri wako ni tarehe ngapi??
Kama ilivyo makubaliano mwisho wa Mwaka ni July basi ndivyo ilivyo tunalipana tarehe 26
Kwani leo tarehe ngapi???makubaliano yako na mwajiri wako ni tarehe ngapi??
Mkuu jiunge na mobile -internet banking utaweza kuangalia salio mahala popote.
Ww itabidi uaminikeNi kweli kabisa mishahara bado mpaka leo hii!
Kama ilivyo makubaliano mwisho wa Mwaka ni July basi ndivyo ilivyo tunalipana tarehe 26
Ww itabidi uaminike
serikali ya ccm iko dhohofu ile hali...
serikali ya ccm iko dhohofu ile hali...
Pia wanataman hata uchaguzi uwe kesho ili wapumzike maana ni soo ila Mwigulu Nchemba naibu Waziri yeye wala hajaliona hili angalau hata alitolee ufafanuzi. Na kwa nimjuavyo atadanganya kuna system ya ulipaji hazina imekorofisha ila hela zipo mark ma word
Nimeshafanya kazi,nawataka leo leo mlinipe Shs.630,000 zangu.sio ombi ni lazima.ikifika j3 ntaenda kufungua kesi
Pia wanataman hata uchaguzi uwe kesho ili wapumzike maana ni soo ila Mwigulu Nchemba naibu Waziri yeye wala hajaliona hili angalau hata alitolee ufafanuzi. Na kwa nimjuavyo atadanganya kuna system ya ulipaji hazina imekorofisha ila hela zipo mark ma word
sisi ofisini kwetu hata Salary Slip hazijatoka wakati huwa zinatoka mapema tu!Ni kweli kabisa mishahara bado mpaka leo hii!
sasa unanilaumu mimi au serikali yako kubana mishahara wahasibu?Yaani na ujanja wako wote unalipwa hela ya maandazi sh. laki sita? Pole sana
mwalimu utaendelea kuchagua CCM?
Kuna tetesi ati kuwa mshahara umetoka, jamani nithibitishieni nipo kijijini kwenda mpaka mjini nauli 30000/= kwenda tu bado kulala geust na nauli ya kurudia.
Mshahara wangu ni laki nne kasoro mimi mwalimu shule ya msingi!
sasa unanilaumu mimi au serikali yako kubana mishahara wahasibu?
Mkuu sipo ofisini ninge-attach salary circular hapa,tena sasa huo ni wa TGSE,kuna wale wanaoanza kazi(bila kujali ana masters, wala CPA) anaanza na TGSD SHS.625,000 Basic na net ya 507,450!huu ndo mshahara wa wahasibu na wakaguzi(including ofisi ya CAG) wote serikalini isipokuwa mashirika ya umma na TRAMkuu taasisi gani ya serikali inalipa huo mshahara mhasibu,halmashauri au wapi,aisee kweli serikali inaonea watuu.
Mkuu sipo ofisini ninge-attach salary circular hapa,tena sasa huo ni wa TGSE,kuna wale wanaoanza kazi(bila kujali ana masters, wala CPA) anaanza na TGSD SHS.625,000 Basic na net ya 507,450!huu ndo mshahara wa wahasibu na wakaguzi(including ofisi ya CAG) wote serikalini isipokuwa mashirika ya umma na TRA
sisi ofisini kwetu hata Salary Slip hazijatoka wakati huwa zinatoka mapema tu!