Mkuu you might be right, Jana usiku kipindi cha Bunge, nilimsikia Mh. Joseph Mbilinyi aka Sugu Waziri Kivuli wa Habari vijana na michezo, akisema kwamba Watumishi wote wa serikali na Taaisisi zake hadi jana walikuwa hawajalipwa mishahara yao.
Hakuna waziri aliyekanusha taarifa hiyo Sugu, kuashiria kwamba ilikuwa kweli. Kama hii serikali imeanza kuchechemea kulipa mishahara ya wafanyakazi wake May, Je ikifika Mwezi September na October kweli itaweza kulipa mishahara ya Wafanyakazi wake.
I can see mambo yakizidi kuwa mabaya kadri tunavyoikaribia October 2015
Ni kweli kabisa mishahara bado mpaka leo hii!
taja taasisi yakoMbona mshahara umetoka jana?
Kwani mshahara ukitoka unapitia bungeni?si kwenye akaunti za watu sasa wewe na huyo mwenzako mtueleze mko taasisi gani nyie ili mpate za kwenu pengine mmeshafukuzwa kazi!
Mbona mshahara umetoka jana?
Kwann asiutegemee si hela yake? we unategemea ufisad nn?wewe unategemea mshahara?....ndorobooooo wewe
wewe unategemea mshahara?....ndorobooooo wewe
Wewe nani mbona watumishi wa serikali wote wamepata mishahara , naona wewe utakuwa mwalimu tu wewe,
wewe unategemea mshahara?....ndorobooooo wewe
Haina haja ya kujua taasisi na pia soma bandiko juu linasemaje. Tulivyowaambia mmechoka na mmeshindwa kuongoza hii nchi mlizan tunamaanisha nini. Na cjui nani katuloga watanzania tunashindwa kutambua baya yaan miaka yote hii na shida zote hizi bado unaona ni halali yako kweli ni akili hii. We unaambiwa mishahara haijaingia mpk leo