LazaroSMtindi
Senior Member
- May 6, 2008
- 100
- 5
Uamuzi wa Serikali kupeleka chakula cha msaada wilayani Kyela kwa ajili ya waathirika wa mafuriko makubwa yaliyotokea wilayani humo, unamuumbua RC wa Mbeya ambaye kwa mwezi mzima sasa amekuwa akidai kuwa hakuna maafa Kyela na mafuriko yaliyotokea ni ya kawaida tu!
Ingekuwa nchi zingine, kiongozi wa aina hii angefukuzwa kazi kwa kuzuia misaada na kuihujumu Serikali kwa wapiga kura.
Tatizo la Mwakipesile ni kuwa katika miaka 10 ya ubunge wake yametokea mafuriko mengi Kyela na hakuwahi kugawa hata kilo moja ya mchicha kwa walioathirika. Hivyo ameamua kumvurugia Mbunge wa Kyela, Dk. H. Mwakyembe ambaye alipambana naye kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Kyela mwaka 2005, Mwakipesile akashindwa vibaya na sasa anatumia nafasi yake ya ukuu wa mkoa kumrudi mbaya wake.
Lazaros

Mkuu,
Hii si kweli kwani mkuu wa mkoa Mwakipesile ameshiriki ipasavyo kutoa misaada ya maafa kule Kyela.
Labda tofauti tu Mwakipesile hajaenda kwenye TZ au radio kutamba katoa nini au kasimamia nini.
Kama unataka naweza kukupatia simu ya mkuu wa wilaya ya Kyela ambaye ndiye anasimamia misaada yote na ukapata ukweli.
tumekushtukia na wewe.....hakuna lolote tupatie namba za sim za wananchi walioathirika ili tuwapigie kwa mahojiano na utafiti wa kina...siasa ya kyela hakuna asie ijua bwana...tafadhari mkuu watu wanakufa kule tuache ubinafsi na chuki
Ukinishutukia mimi wala hainipi shida wala kuninyima usingizi. Nimekuambia ninachojua na wala hata sihitaji mtu wa kuniamini.
Kama unaelewa Kyela kuna njaa basi peleka misaada na wengine ndivyo tulivyofanya. Na sio kuleta maneno ya bure na siasa hapa.
Misaada yote inasimamiwa na mkuu wa wilaya, sasa unataka simu za walioathirika zitakusaidia nini? Uongozi wote pamoja na watu wa Kyela wanajua Kyela kuna maafa na wanahitaji kila aina ya misaada.
Hili la kwamba mkuu wa mkoa anakwamisha ni uongo mkubwa. Mimi sina mapenzi
yoyote na Mwakipesile lakini pia siko tayari kumchafua mtu kwasababu tu simpendi. Mnaotaka hizo siasa endeleeni nazo.
Ukitaka simu za viongozi wa wilaya nitakupatia wakiwemo Mbunge, mkuu wa wilaya na hata DAS. Vinginevyo mimi simo.
Tatizo la Mwakipesile ni kuwa katika miaka 10 ya ubunge wake yametokea mafuriko mengi Kyela na hakuwahi kugawa hata kilo moja ya mchicha kwa walioathirika. Hivyo ameamua kumvurugia Mbunge wa Kyela, Dk. H. Mwakyembe ambaye alipambana naye kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Kyela mwaka 2005, Mwakipesile akashindwa vibaya na sasa anatumia nafasi yake ya ukuu wa mkoa kumrudi mbaya wake.
Lazaros
Ama kweli nyani haoni kundule.... Hivi wewe staili yako ya kuchangia mada hapa JF unaijua? Posti zako zote zimekaa kijazba na kichuki, ukifahamishwa unakimbilia kulia lia..Acha jazba jaribu kua mtaratibu, by the way mie pia nimetoa mtazamo wangu so hakuna haja ya kubishana lakini.....ukweli unaumwa+messege sent
Hivi ni mkoa gani mwingine ambapo Mkuu wake wa Mkoa ni mwenyeji wa mkoa ule ule?
Ama kweli nyani haoni kundule.... Hivi wewe staili yako ya kuchangia mada hapa JF unaijua? Posti zako zote zimekaa kijazba na kichuki, ukifahamishwa unakimbilia kulia lia..