Serikali yakanusha taarifa za Kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa

Serikali yakanusha taarifa za Kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa

Sidhani kama nitakuwa na huruma ya kumfikilia mtu anayeingia jela kwa makosa ya kutumia mitandao ya kijamii kwa kuzushazusha. Habari zilitapakaa kuwa Rais wa awamu ya tatu amefariki na leo anaonekana ni mwenye afya nzuri tu maana anapanda ngazi kama anashuka.

TCRA FANYENI KAZI YENU ME NAWAUNGA MKONO, MIGUU, KICHWA MPAKA KIWILIWILI.
 
hatakiwi afe haraka huyo..
anatakiwa aonje matunda ya matendo yake hapa duniani kama anavyoonja muuaji mwenzake,Salmini Amuri.
 
Back
Top Bottom