Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,195
Sawa ngoja tuone kama atakanusha tena!!Amekanusha taarifa za kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa
Sawa ngoja tuone kama atakanusha tena!!Amekanusha taarifa za kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa
Angekua hajaonekana hadharani tungewaza hiviAaaaa usikute alikufa kweli
kama wewe huoni kosa hapa basi wewe nawe ni mjinga sana, mna mock mtu aliyefariki..siwezi kua katikati ya watu wajinga.
hii ndio hoja yako? sina stress wala nini, nawashangaa nyie, nakushangaa na wewe, unaniambia nitulie , means na wewe u mmoja wa wapumbavuh na wasiojielewa kwamba kuna thread inayoonesha kicha cha habari kikiwa bolded kwa maandishi meusi kua kanusho la rais mpendwa mzee mkapa hajafariki sasa jamii forums inasomwa na wengi, je kwa akili zako fupi hio ni sawa? huoni inaleta mkanganyiko na zaidi sio heshima kwa marehemu...kwanini wahusika wasifunge hii thread au kuitoa kabisa .. mna mmock maiti ?? this is foolish, na kama wewe unasapoti nawe you are foolish
Hivi sio kwamba Rais akifa mkewe anaendelea kulipwa hadi kifo chake?Na leo wakanushe tuone!
Si wanatuambiaga dua la kuku halimpati mwewe!
Malofa yanaselebreti.
Angalau mzigo wa pensheni ya mstaafu mmoja umetutoka.
Mkuu kila mtu anabeba akili zake ndani ya kichwa chake, yaani ni hivi wapo wengi tu humu duniani wanafurahia fulani kufikwa na matatizo. Hatuwezi kufosi akili zao zifanane na za wengine.moderators mnakosa credibility kabisa this is nonsense kabisa ...hamuheshimu hata mtu aliyekufa tena rais wa taifa hili...?? pathetic kabisa
hii ndio hoja yako? sina stress wala nini, nawashangaa nyie, nakushangaa na wewe, unaniambia nitulie , means na wewe u mmoja wa wapumbavuh na wasiojielewa kwamba kuna thread inayoonesha kicha cha habari kikiwa bolded kwa maandishi meusi kua kanusho la rais mpendwa mzee mkapa hajafariki sasa jamii forums inasomwa na wengi, je kwa akili zako fupi hio ni sawa? huoni inaleta mkanganyiko na zaidi sio heshima kwa marehemu...kwanini wahusika wasifunge hii thread au kuitoa kabisa .. mna mmock maiti ?? this is foolish, na kama wewe unasapoti nawe you are foolish
"Upuuzih" ndo chakula unachopendelea kula au?huna hoja ndio mana hata hueleweki unachoongea, hauni suala la msingi sababu akili zako fupi..ngoja niku block mana wajingah wote hua nawablock nisisome upuuzih.
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Sema wewe..Uzi unamiaka dahari Leo anakuja kuleta mikamasi yake hapaWewe nimekuwa unatoa maoni kwenye Uzi wa 2015 alafu unawalaum mods ili Iweje ebu tuwe tunaenda ukubwani tujalibu kuzibust na akili zetu zikuwe
Mkewe ataendelea kula pensheni ya mume, hata mama Maria anakula pensheni ya babu, if that's what made you celebrate, BTW we are all celebrating BWM's life.(well, some of us)Na leo wakanushe tuone!
Si wanatuambiaga dua la kuku halimpati mwewe!
Malofa yanaselebreti.
Angalau mzigo wa pensheni ya mstaafu mmoja umetutoka.
Mnaofukua makaburi mnatuvuruga!
Anna Akacheze vikoba tu, hatuna mkataba na mjane.Hivi sio kwamba Rais akifa mkewe anaendelea kulipwa hadi kifo chake?
Maana kama Wajane wa marais hawalipwi je, wanajikimu VIP?
Mke wa rais sio rais.Mkewe ataendelea kula pensheni ya mume, hata mama Maria anakula pensheni ya babu, if that's what made you celebrate, BTW we are all celebrating BWM's life.(well, some of us)
Jogi leo umenifanya nicheke bila kutaka ujue🤣🤣! Aje tumuunge vikobaAnna Akacheze vikoba tu, hatuna mkataba na mjane.
Ndio maana Salma anaupambania ubunge.
Walikuwa chanzo cha mabaya kwa wenzao.Mkuu kila mtu anabeba akili zake ndani ya kichwa chake, yaani ni hivi wapo wengi tu humu duniani wanafurahia fulani kufikwa na matatizo. Hatuwezi kufosi akili zao zifanane na za wengine.
Unaweza kushangaa mtu kufurahia kifo cha mwingine as if yeye na wa kwake wapo salama katika hili. Tuombeane, tupendane, tofauti za itikadi zisitoe ufahamu, hekima na busara ambazo naamini kila mtu amepewa na muumba.
Mungu awape faraja familia ya mzee Mkapa na taifa kwa ujumla. Death is inevitable.
Aone utamu wa marejesho.Jogi leo umenifanya nicheke bila kutaka ujue🤣🤣! Aje tumuunge vikoba
Kwani wewe utaishia wape?Lisemwalo lipo mda si mrefu atakufa na atatuachia nchi yetu.
hangaikia matatizo yako bro usitukenulie hapa. hujioni fala vile Mods wamekupuuza. sasa hapo wewe na mimi nani mjinga? Huna mamlaka ya kutupangia cha kusema kama hatujavunja sheria. wapi nime mock marehemukama wewe huoni kosa hapa basi wewe nawe ni mjinga sana, mna mock mtu aliyefariki..siwezi kua katikati ya watu wajinga.