Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,975
Maui,Anna Akacheze vikoba tu, hatuna mkataba na mjane.
Ndio maana Salma anaupambania ubunge.
Kwahiyo Mana Maria Nyerere, yeye anajikimu vipi?
Maui,Anna Akacheze vikoba tu, hatuna mkataba na mjane.
Ndio maana Salma anaupambania ubunge.
Inasikitisha lakini tujifunze kitu!!
Ni vizuri tukaishi maisha ya kuheshimu watu bila kujali hali na nafasi zetu katika jamii ili tukiondoka tusiache kishindo cha kutukejeli nyuma. Naiomba jamii iliyoambiwa "malofa" isamehe maana hakuna namna Nyingine! Msamaha huleta amani na kutokusamehe hakuleti tuja yoyote!!
Hahahaha, thread ya zamani hiiMbona mnatuchanganya jamani mara kafa Mara hajafa tushike lipi
Makongoro linamuhusu!Maui,
Kwahiyo Mana Maria Nyerere, yeye anajikimu vipi?
Ndo muujue ujuha wenu, Punda halazimishwi kunywa maji.nitatulia ila naona kama unafurahia kifo cha mzee mkapa
basi sawa mfurahi vyema.
HahahahaMALOFA anatuachaje sasa.?
Zee lilikua katili na lenye roho mbaya sana.
Burundi hawana hamu nae.
Mpigie simu akipokea leta mrejesho.Mbona mnatuchanganya jamani mara kafa Mara hajafa tushike lipi
Ww binti upoMbona mnatuchanganya jamani mara kafa Mara hajafa tushike lipi
Du walianza siku nyingiMsemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, amesema maandalizi ya kumuapisha rais wa awamu ya tano hapo kesho, yamekamilika na kila kitu kinaenda vizuri na baadhi ya marais waalikwa wameanza kuwasili kwa ajili ya kushiriki zoezi hilo.
![]()
Mwambene ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, ametumia nafasi hiyo kutoa pongezi kwa vyombo vya habari kwa kufanyakazi kubwa na nzuri ya kuripoti habari za uchaguzi bila kuwagawa Watanzania na kusisitiza amani na kusaidia uchaguzi kufanyika katika mazingira ya amani na utulivu.
Amekanusha taarifa za kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa, kwa kusema kuwa rais huyo mstaafu ni mzima wa afya na kesho atahudhuria shughuli ya kumuapisha rais wa awamu ya tano.
Soma zaidi =>Mkapa kushiriki sherehe za kumuapisha Dkt. Magufuli
Aliwafanyaje Burundi mkuu?MALOFA anatuachaje sasa.?
Zee lilikua katili na lenye roho mbaya sana.
Burundi hawana hamu nae.
Kwanini juzi au mwezi uliopita hakuonekana huu uzi?Wewe nimekuwa unatoa maoni kwenye Uzi wa 2015 alafu unawalaum mods ili Iweje ebu tuwe tunaenda ukubwani tujalibu kuzibust na akili zetu zikuwe
Nini sasa utafanya baada ya miaka mitano ya maombi yako!!Mimi natamani angekufa kwel. Yaani simtaki huyu mzee kiasi kwamba nilichinja mbuzi wangu pekee jana baada ya kusikia tetesi hizi!!!! Basi tena ndo ng'ombe wa masikini hazai.
Acha kukurupuka,this time amekufa kweli...UZI HUU WA 2015 NDIO ALISINGIZIWA KUFA....Mbona mnatuchanganya jamani mara kafa Mara hajafa tushike lipi
Kwanini juzi au mwezi uliopita hakuonekana huu uzi?