...bora ange...huyu mwingine...simtaji naamni mmenielewa
Ngoja akupe mimba ndo utatia akili
Tangu wamekanusha ya kigoda na kombani siwaamini tena , ni bora nikae bila taarifa yoyote.
Nditolo katika ujinga wako
Hahahahahaaa hii nimejaribu kuangalia kama DuppyConqueror kajibu lakini sijaona.
Leo umemuweza.
Utakufa wewe, soon.
Kwa nini matukio ya kusemwa kuzusha yameongezeka hivi??
Kunaweza kuwa na kitu under the Sea