figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,924
- 63,655
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, amesema maandalizi ya kumuapisha rais wa awamu ya tano hapo kesho, yamekamilika na kila kitu kinaenda vizuri na baadhi ya marais waalikwa wameanza kuwasili kwa ajili ya kushiriki zoezi hilo.
Mwambene ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, ametumia nafasi hiyo kutoa pongezi kwa vyombo vya habari kwa kufanyakazi kubwa na nzuri ya kuripoti habari za uchaguzi bila kuwagawa Watanzania na kusisitiza amani na kusaidia uchaguzi kufanyika katika mazingira ya amani na utulivu.
Amekanusha taarifa za kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa, kwa kusema kuwa rais huyo mstaafu ni mzima wa afya na kesho atahudhuria shughuli ya kumuapisha rais wa awamu ya tano.
Soma zaidi =>Mkapa kushiriki sherehe za kumuapisha Dkt. Magufuli