Serikali yaagiza mikataba ya wafanyakazi kukaguliwa upya ndani ya mwezi mmoja!

Nadhani wanalengwa wageni!

Hapana...
Hapa Mkuu natofautiana na wewe kabisa 100%
Wageni hawawezigusws...
Hawajawahi kuguswa!
Watu walishalalamika sana sana kuhusu wageni Kuoewa Mikataba ya Kazi ambazo Watanzania wanaweza kufanya..
Utakuta Mgeni ana renewed tuu Mkataba kwa Vyeo tofauti tofauti hadi Miaka 10plus!
Angalia Makampuni ya Bia,Simu,Cement,Migodini,Nishati!Ujenzi nk nk!
 
Ohoooo! Fagio hilo la chuma baada ya uchumi kuporomoka kwa kasi ya kutisha. Maelfu kufukuzwa kazi kwa mikataba “isiyo na tija” kwa serikali hii haramu.
Huwezi kupima tija ya mfanyakazi ndani ya mwezi mmoja
Au neno miradi ya kimkakati kwenu ni msamiati Mpya? Mnakimbilia kukosoa bila kuelewa hoja! You need to change
 
Twende ukajibu hoja yangu ya barabara ya Bagamoyo, hapa nilikuwa nakuchokonoa tu. Barabara inajengwa na JICA mipumbavu mnajisifia eti ni nyie mnajenga.

Mmeshindwa kujenga vyoo vya mashule, madarasa, maabara na maktaba na nyumba za walimu, mtawezaje kujenga Bagamoyo road?
Hapa JICA walifika tu nchini na kuanza kujenga hiyo barabara?

Au chadema ndiyo wamewaleta kujenga hiyo barabara, iko siku utapinga kuwa wewe siyo wewe.

Kwahiyo JICA wakimaliza kujenga wataondoka nayo hiyo barabara wakaitumie Japan eti?
 
Ohoooo! Fagio hilo la chuma baada ya uchumi kuporomoka kwa kasi ya kutisha. Maelfu kufukuzwa kazi kwa mikataba “isiyo na tija” kwa serikali hii haramu.
Nyerere aliita kasuku nilikuwa mdogo kipindi hicho ila hii kasuku naikumbuka
 
Back
Top Bottom