Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Hiyo october ndio utajikuta peke yako una akili za kinyesi.
And still upo hapa unabishana na mwenye akili ya kinyesi?

Utakua na akili ya kinyesi zaidi kama unatumia muda wako kubishana na unaemwita ana akili ya kinyesi to begin with!

Fvck whatever you say!
 
Sasa Kenya wakileta ndege zao Tz jamani si zitatoka na covid? Ni afadhali wasizilete. Maana huku si wamesema tunakufa ovyo mitaani? Ndege zao zisije pakaa covid bure. Wakae kwao
 
Wakifanya hivyo basi walimu uchwara maelfu kwa maelfu toka Kenya watafungashwa virago
 
Sasa Kenya wakileta ndege zao Tz jamani si zitatoka na covid? Ni afadhali wasizilete. Maana huku si wamesema tunakufa ovyo mitaani? Ndege zao zisije pakaa covid bure. Wakae kwao
Wana nia ovu nasi kama, tajiri Bill gates.
Wana kiu na hamu ya kuona Watanzania wanakufa na Covidi.
Maelfu na maelfu, ndio furaha yao wanayo ingojea kwa hamu kubwa.
Na waseme
"tuliwaambia ninyi, mlikuwa na kiburi"

Wanasahau sisi sote ni Wana wa Mungu.
Mungu humvika taji anaye mtaka.
Na sio wanaowataka Wakenya.

Wakenya wangekuwa na maamuzi, chaguo lao la kwanza ni kuwaangamiza watanzania Wote. Ili wabaki na Swahiba zao Waganda na Wanyarwanda.

Hata sijui tuliwakoseaga nini Wakenya

Hadi sasa hivi wamekaa kitako wakisubiri watanzania wafe na Kovidi.

Yaani wapo katika Primitive Age.
 
Mbn mnesanda kwendeni zenu huko kujiona USA! Km hamhitaji bongo mbona mnalialia
 
Sisi hatutegemei Kenya kama hao uliowataja. Tuna rasirimali za kutosha na tumewashitukia baada ya kugundua kuwa siku zote mmekuwa mkishirikiana na wahindi kutuibia madini yetu kama Tanzanite
 
Naomba niurudishe huu uzi Mana Kuna watu Ni warahisi kula matapishi yao.

Tujadilini Kama tulivyojadili miezi kadhaa hapo nyuma
 
Tuwe makini na wakenya, hawaaminiki.
Kweli wale jamaa ukizubaa unaachwa feri na kwa akili za ndugu zangu wanavyopenda mapenzi nanstori za umbea mbaya zaid akiwa na hela ya kula basi analala kabisa Hawa jamaa waliza wengi hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…