Impaired sightMbna mradi wa JNHPP unatosha sana au ni upigaji huu
Si Prof. Muongo alisema eti sasa hivi ushamba kuwekeza kwenye umeme wa maji?Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa mkopo wa dola za Marekani Milioni 140 (Tshs Bilioni 323) kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB) kwa ajili ya kugharamia Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa Mto Malagalasi Mkoani Kigoma.
Mkataba huo wa mkopo umesainiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba na Mkurugenzi Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa AFDB Nnenna Nwabufo.
Mabeberu wanatubambikia tu madeni haoHahaha ila deni lilikuwa linazidi kupaa...labda kuna chuma ulete
Wakope tu kwakweli... Kigoma kuna adha ya umeme sanaAt least mikopo ya sasa inawekwa wazi
Hii Nchi tajiri kweli kweli, na mabeberu, wanyonge sijui, yale mambo ya kishambaUle wimbo wa nchi tajiri umefia wapi?
Kaondoka navyo diktetaHii Nchi tajiri kweli kweli, na mabeberu, wanyonge sijui, yale mambo ya kishamba
Sio hivyo tu Na mitumba kupeleka Ulayadah situliambiwa ss nimatajir tuanze kukopesha
Kwani huu wa Rufiji hautoshi?
Kila mwezi ni kama bilioni 600, zinatumika kulipia mikopo hiyo mkuu!!hao TRA, wanapokwambia makusanyo ni trilioni 1.2 kwa mwezi husika jua kuwa bilioni 600, zinatumika kulipia hayo madeni, ni hatariiHii mikopo tunaambiwa wakati wa kukopa tu wakati wa kulipa au hata kupunguza deni hatuambiwi
Barabara zenyewe kuangalia mpaka saivi mashimo tupu Uneza fugia na samakiUnajua dhambi hiyo? kumsingizia marehemu! labda hujui historia ya marehemu tukukumbushe,mwendazake aliwahi kushusha bei ya kujenga barabara za lami chipping kutoka bilioni 1.2 hadi moja kwa miaka mingi bei ikaendelea kuwa ileile aliokoa shilingi ngapi hadi leo kwa nini asingechukua hongo kama wenzake tukaendelea kupigwa.
Mwendazake aliwashusha waturuki kujenga reli mpaka wakenya wakataka kushikiana bunduki baada ya kupigwa na wachina kwa kujengewa reli SGR isiyotumia umeme kwa bei kubwa kuliko ya kwetu ya umeme lakini kwa bei ndogo kuliko wao, kuhusu upigaji mwendazake mtamuonea.
Asante Mkuu kwa kunipa ufahamuKila mwezi ni kama bilioni 600, zinatumika kulipia mikopo hiyo mkuu!!hao TRA, wanapokwambia makusanyo ni trilioni 1.2 kwa mwezi husika jua kuwa bilioni 600, zinatumika kulipia hayo madeni, ni hatarii
mzee alikuwa muwongo sana yule