Serikali ya Tanzania yakopa Dola Milioni 140 kujenga mradi wa kufua umeme wa Mto Malagarasi

Safi tutakuwa na vyanzo vingi vya umeme. Kidato, Hale, Rufiji na Malagalasi ni hatua nyingine.

Nimewaza tu. Mwendazake mradi Kama huu ungegharimu mara tatu ya hii gharama alafu tungeambiwa tunajenga kwa fedha zetu tutembee kifua 'mbere'
Unajua dhambi hiyo? kumsingizia marehemu! labda hujui historia ya marehemu tukukumbushe,mwendazake aliwahi kushusha bei ya kujenga barabara za lami chipping kutoka bilioni 1.2 hadi moja kwa miaka mingi bei ikaendelea kuwa ileile aliokoa shilingi ngapi hadi leo kwa nini asingechukua hongo kama wenzake tukaendelea kupigwa.
Mwendazake aliwashusha waturuki kujenga reli mpaka wakenya wakataka kushikiana bunduki baada ya kupigwa na wachina kwa kujengewa reli SGR isiyotumia umeme kwa bei kubwa kuliko ya kwetu ya umeme lakini kwa bei ndogo kuliko wao, kuhusu upigaji mwendazake mtamuonea.
 
Mahitaji ya umeme nchi nzima bwawa la nyerere kukamilika tunabakiwa na ziada tutauza kwa majirani

Malagarasi ya nini Tena?ikiwa nyerere dam haijakamilika?tukamilishe rufiji ikiwa hautishi tutatafakari muda ukifika hiyo peas ya mikopo........
kUMBUKA KUNA MRADI MWINGINE WA UMEME WA MTO LUMAKALYA MEGAWAT 232.
 
Unajua dhambi hiyo? kumsingizia marehemu! labda hujui historia ya marehemu tukukumbushe,mwendazake aliwahi kushusha bei ya kujenga barabara za lami chipping kutoka bilioni 1.2 hadi moja kwa miaka mingi bei ikaendelea kuwa ileile aliokoa shilingi ngapi hadi leo kwa nini asingechukua hongo kama wenzake tukaendelea kupigwa.
Mwendazake aliwashusha waturuki kujenga reli mpaka wakenya wakataka kushikiana bunduki baada ya kupigwa na wachina kwa kujengewa reli SGR isiyotumia umeme kwa bei kubwa kuliko ya kwetu ya umeme lakini kwa bei ndogo kuliko wao, kuhusu upigaji mwendazake mtamuonea.
Wa kumtetea hayati JPM hawatakuja kupungua hata siku moja.
 
Mbona miradi imeanza kwenda kwa kasi sn Kigoma?
Huu ulipaswa kuwepo, MCC walikuwa watoe pesa tangu awamu ya kwanza ya Kikwetelkn kukaonekana vyura adimu na mradi ukafa rasmi.

Nadhani JPM ndio aliushupalia hata kwa pesa za mkopo ujengwe, ndio maana AfDB wametoa huo mkopo.

Vv
 
Unajua dhambi hiyo? kumsingizia marehemu! labda hujui historia ya marehemu tukukumbushe,mwendazake aliwahi kushusha bei ya kujenga barabara za lami chipping kutoka bilioni 1.2 hadi moja kwa miaka mingi bei ikaendelea kuwa ileile aliokoa shilingi ngapi hadi leo kwa nini asingechukua hongo kama wenzake tukaendelea kupigwa.
Mwendazake aliwashusha waturuki kujenga reli mpaka wakenya wakataka kushikiana bunduki baada ya kupigwa na wachina kwa kujengewa reli SGR isiyotumia umeme kwa bei kubwa kuliko ya kwetu ya umeme lakini kwa bei ndogo kuliko wao, kuhusu upigaji mwendazake mtamuonea.
Wewe ni tumili wa ulaya tuu, hujui janja janja za jiwe wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom