ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,042
- 49,727
Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 126 au Dola Milioni 50 eti za Kuimarisha Makusanyo na mfumo wa Manunuzi wa Umma.
==
Katika taarifa hii, Benki ya Dunia imeidhinisha Dola za Marekani milioni 50 kwa ajili ya kusaidia Tanzania kuimarisha usimamizi wa mapato yake, kufanya taratibu za ununuzi wa umma kuwa za kisasa, na kuboresha ugawaji wa rasilimali pamoja na ufanisi wa ukaguzi. Kiasi hicho cha fedha, ambacho ni sawa na Sh bilioni 126.9 za Kitanzania, kinalenga kuendeleza mfumo mpya wa Usimamizi wa Fedha za Umma na Mifumo ya Ununuzi kwa Utoaji wa Huduma.
Programu hiyo inalenga kuongeza uwezo wa Tanzania Bara na Zanzibar katika kusimamia rasilimali za umma kwa kuzingatia uwazi, uwajibikaji, na ufanisi. Kwa kufanya hivyo, inatarajiwa kwamba huduma bora zaidi zitatolewa kwa wananchi wa Tanzania. Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Nathan Belete, ameeleza kuwa operesheni hiyo imeundwa kama programu ya matokeo (PforR) ambayo inahusisha malipo yanayotegemea utoaji wa matokeo mahususi ya programu.
My Take
Rais akinukuliwa akisema Serikali yake imekopa sana kwa.huduma za jamii Kwa kipindi Cha miaka 3 hii ila Sasa wanaenda kupunguza.
Swali.
1.Mbona Serikali inaendelea kukopa Kwa Ajili ya Huduma za jamii tena kulipana posho za training?
Ushauri:
-Tunaomba Serikali iache kukopa Kwa Ajili ya miradi isiyo na maana ya kulipana posho kama huu Mkopo wa Sasa.
-Pili Serikali ikipata Mkopo wa miradi wapunguze semina na mafunzo yasiyo na Tija.Mfano Kwa Sasa Kuna mradi wa Tactic na Rise lakini Kila mwezi ni semina na vikap visivyoisha Kwa miaka 2 Sasa.
Wanajifunza nini ambacho hakimalizikagi? Yaani 40% ya Mkopo inaishia kulipana posho.Hii sio sawa ,hakuna kitu kipya kinachofundishwa maana kama ni Barabara zitakojengwa ni zile zile za miaka yote.
Serikali itambue kwamba hatupendenzwi na swala hili Kwa sababu Mkopo tutalipa wote ila kula wanafaidi wachache.
Mwisho Serikali iendelee kukopa ila strictly Kwa Ajili ya miradi ya uchumi tuu.