Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

wamepokea wakajenga shule wapi?
matumizi ya misaada kwa serikali inaonekana- miassada ya Ujerumani kwa CHADEMA inatumika kuleta machafuko
Kati ya misaada ya silaha na mdaada wa katiba upi msaada bora
 
Hawa jamaa wanashangaza sana. Wakati raisi anafanya mikutano ya wawekezaji kama kina tony blair na clinton( mabeberu) hawaongei. Ila lissu akisaidiwa na amsterdam kupata katiba mayowe kama yote.
 
wamepokea wakajenga shule wapi?
matumizi ya misaada kwa serikali inaonekana- miassada ya Ujerumani kwa CHADEMA inatumika kuleta machafuko

Mnajengewa uwezo - kumbe hamna uwezo- kweli unaweza kujengewa uwezo jinsi ya kuishi na mkeo

..serikali na CCM nao hupokea misaada ya mafunzo / kujengewa uwezo, kwa kizungu wanaita "capacity building."

..kwa upande wa Ujerumani kuna taasisi inasaidia CCM, na kuna taasisi nyingine inasaidia Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…