Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

wamepokea wakajenga shule wapi?
matumizi ya misaada kwa serikali inaonekana- miassada ya Ujerumani kwa CHADEMA inatumika kuleta machafuko
Kati ya misaada ya silaha na mdaada wa katiba upi msaada bora
 
Kwahiyo mataga wameandika huu uzi ili kujustify wale policcm waliomkamata Mbowe kuwa ni Gaidi baada ya kutaka katiba Mpya? Tanzania ya Viwonder loh , hakuna Taasisi ya kimarekani inayoweza kutaka kufanya lolote kwa vinchi vyetu hivi masikini ikashindwa wakitaka wanafanya lolote bila hata kutumia nguvu , sisi ni crap tu kwa mmarekani , hivi mmarekani ana interest gani na taifa la uchumi wa kitovuni kama letu?
Hawa jamaa wanashangaza sana. Wakati raisi anafanya mikutano ya wawekezaji kama kina tony blair na clinton( mabeberu) hawaongei. Ila lissu akisaidiwa na amsterdam kupata katiba mayowe kama yote.
 
wamepokea wakajenga shule wapi?
matumizi ya misaada kwa serikali inaonekana- miassada ya Ujerumani kwa CHADEMA inatumika kuleta machafuko

Mnajengewa uwezo - kumbe hamna uwezo- kweli unaweza kujengewa uwezo jinsi ya kuishi na mkeo

..serikali na CCM nao hupokea misaada ya mafunzo / kujengewa uwezo, kwa kizungu wanaita "capacity building."

..kwa upande wa Ujerumani kuna taasisi inasaidia CCM, na kuna taasisi nyingine inasaidia Chadema.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom