MWILI NYUMBA
Hapa ndipo tunapotofautiana katika kujenga na kujadili hoja.
kwa ujumla wake tunajadili usalama wa watanzania na mstakabali wa amani kwa taifa letu.
-madawa ya kulevya yanatihia uhai, amani na usalama wa taifa letu
-Huduma duni za afya zinatishia uhai, amani na usalama wa taifa letu
-Siasa chafu za majungu na propaganda zinatishia uhai, amani na usalama wa taifa letu (mwigulu, kinana, nape, pinda nk
-Uhusiona na ushrikiano mbovu na mataifa jirani zetu unatishia amani ........(malawi, kenya, rwanda.......
-Wezi na matapeli wa raslimali zetu, wanyama, madini na ardhi ni tishio pia. (mikataba feki, tozo za ovyo za kodi kwenye vitalu na kampuni za madini nk
Sasa kwa mtazamo wako na kwa propaganda zenu kagame ndiyo tishio kubwa kabisa kwa uhai, amani na ustawi wa taifa letu kuliko
madawa ya kulevya, afya duni, siasa za visasi na unafiki, nk? hata siwaelewi mnajadili nini hasa maana hamjuwi lengo haswa la mnachokitetea
Sikujibu hayo kwasababu hayahusiani hata kwa mbali na operation ya kuimalisha usalama Kagera,Kigoma na Geita. Najibu yanayohusiana na mada tajwa hapo juu. Kama unataka tuongelee matatizo ua afya na madawa ya kulevya Tanzania fungua thread yake tujadili
Hapa ndipo tunapotofautiana katika kujenga na kujadili hoja.
kwa ujumla wake tunajadili usalama wa watanzania na mstakabali wa amani kwa taifa letu.
-madawa ya kulevya yanatihia uhai, amani na usalama wa taifa letu
-Huduma duni za afya zinatishia uhai, amani na usalama wa taifa letu
-Siasa chafu za majungu na propaganda zinatishia uhai, amani na usalama wa taifa letu (mwigulu, kinana, nape, pinda nk
-Uhusiona na ushrikiano mbovu na mataifa jirani zetu unatishia amani ........(malawi, kenya, rwanda.......
-Wezi na matapeli wa raslimali zetu, wanyama, madini na ardhi ni tishio pia. (mikataba feki, tozo za ovyo za kodi kwenye vitalu na kampuni za madini nk
Sasa kwa mtazamo wako na kwa propaganda zenu kagame ndiyo tishio kubwa kabisa kwa uhai, amani na ustawi wa taifa letu kuliko
madawa ya kulevya, afya duni, siasa za visasi na unafiki, nk? hata siwaelewi mnajadili nini hasa maana hamjuwi lengo haswa la mnachokitetea
Last edited by a moderator: