Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Tatizo la wahamiaji haramu lipo sehemu nyingi isipokuwa uwepo wake unatofautina.
Nimesoma mchangiaji mmoja akisema kuna wahindi, wasomali na wazungu na kama serikali itawashugulikia! Mchangiaji huyu ameshindwa kuliangalia tatizo la uhamiaji haramau kwa jicho pana.

Kama kuna wahamiaji haramu 10 kutoka Srilanka hao si tishio kwa kulinganisha na wahamiaji 10,000 kutoka Rwanda.

Pili, hatutegemei wahindi au wasomali walete madhara makubwa kama Wanyarwanda.
Hapa sina maana kuwa mhamiaji haramu kutoka India ni bora au aachwe, hapana! Nina maana kuwa tatizo la Wanyarwanda waliohamia DRC miaka mingi ndilo linaitesa DRC

Imefikia mahali ambapo Wanyarwanda haowakiungwa mkono na Kagame wanataka kuimega DRC ili iwepo nchi ya Kivu yenye makao makuu Goma.

Sasa utakapowaacha Kagera kwa idadi ya 10,000 au zaidi baada ya miaka 2 au 3 watasaidiwa na Kagame ili kuwepo kura ya maoni ya kujitenga kwa Kagera.
Nadhani hadi hapo tunaona ukubwa wa tatizo na wala hatuhitaji DRC nyingine

Naona waziri wa mambo ya nje anasema Rwanda haitawafukuza Watanzania.
Huku ni kuomba msamaha kwa lugha laini sana. Hao Watanzania wanaingia na kutoka kwa uhalali kama Wanyarwanda wanaoingia na kutoka Tanzania kwa uhalali.

Kagame akumbuke kuwa Tanzania imeshwahi kubeba Wanyarwanda milioni 2 wakati aliposhiriki mauaji ya kimbari.Tanzania imewahi kutoa uraia kwa wakimbizi 30,000 kwa mpigo halafu 160,000 kwa wakati mmoja ikiwa ni rekodi ya dunia kwa taifa lolote kufanya hivyo.

Kama wapo Watanzani haramu basi wafukuzwe kwasababu Wanyarwanda haramu wanafukuzwa kwa sababu hizi
1. Kukiuka taratibu za nchi za uhamiaji
2. Kuwa chini ya Kagame Wanyarwanda ni viumbe hatari sana katika dunia hii kama tunavyoona DRC.
3. Kuchafua hali ya usalama wa nchi hasa mikoa ya Kagera
4. Kuwasumbua na kuhamisha wananchi wa Kagera kwa mitutu kama walivyofanya DRC
Mimi namshangaa sana rais JK kwa kutoa amri ya wahamiaji haramu warudi. Hawa wamevunja sheria za kusihi nchini ikiwa ni pamoja na kuleta matatizo makubwa sana ya uhalifu.
Rais anaposema waondoke ana maana hata kama wameua adhabu yao ni kuondoka, please!

Halafu wanalalamika kutengwa na wake zao! stupid!
Hawa ni wahamiaji haramu wana haki gani ya binadamu wanayodai zaidi ya kurudi kwao. Kwani Tanzania iliwafungisha ndoa au kuwaomba wafunge ndoa, hilo ni tatizo lao.

Kagame anafahamu kuwa kurudi kwao ni tatizo kwake na sasa anataka kujificha nyuma ya EAC.
Kama anatambua EAC basi asingekuwa anatoa kauli za hovyo anaposhauriwa na mwenzake wa EAC kama mhuni mwingine wa Kigali. Ameanza kutia akili sasa .

Hawa hawafai kuambiwa kwa maneno...



Mkuu naomba ni kuulize kitu kimoja, haya maneno na kauli unayo itumia unaelewa maana yake lakini? Wewe sio mtu mishi wa CCM au serikali ambayo inongozwa na CCM? Huoni ahibu kwa matamshi yako machafu haya kudumisha amani katika East Africa na Afrika nzima? Unajua historia ya Kagera na Mlima Kilimanjaro au wakazi wa ziwa Nyasa? Naomba usitufanye sisi wapumbavu tukaacha hasa kupigania haki zetu halisi na kuona kuwa ukimbizi ni issue kubwa. Kama wanaingia na kutoka isivyo kihalili mbona watanzania nao wanafaya hivyo katika mipaka kati ya Msumbiji na Tanzania, Malawi na Tanzania na Zambia na Tanzania? Aacheni kuwaonea watu watafutao riziki za maisha. Sisi wote tumeumbwa na Mungu na kila mmoja anastahili kwa nguvu zake kuzafuta riziki yake popote pale anapotaka. Kuvuka mipaka bila idhini ni mambo ya karne 18 na 19. Mimi naishi Ulaya na naweza kwenda nchi yoyote ile Ulaya bila kujitambulisha wala kutoa ripoti. Kitu cha umuhimu ni kwamba mimi nimejiorodhesha wapi. Narudia tena, nimejiorodhesha wapi na sio ni raia wa wapi. Kama mswiden naweza kwenda Norway au Finland wakati wowote ninao taka bila kipingamizi. Kwa hiyo hao watu msiwasakame ni binadam wenzetu wanao tafuta riziki zao. Kwa hiyo kinacho takiwa tu ni kujua wapi wamejiorodhesha au nyie mnatumia neno raia wa wapi?

Mkuu utakumbuka Mwalimu katika speech yake Bungeni Dodoma mwaka 1995 alisema kuwa Watanzania tunazungumzia Ukabila wa vi inchi vidogo vidogo wakati wenzetu wazungu na mataifa yao makubwa wanaungana na kuwa kitu kimoja! Tusiwe masikini wa mawazo ya kikoloni, mipaka waliweka wao let us go back to the roots. Tunachohitaji ni amani na upendo na maendeleo na haki kwa kila mtu. Don´t make life so difficult. Be cool! Wakimbizi hawamzuru mtu wanatafuta riziki ya kujilisha na ku reproduce. Hayo mengine yote waachie wenyewe wakoloni hayana maana yoyote katika ulimwengu wa leo. Elewa pia kuja kwao kwetu wanajifunza lugha yetu na wakienda kwao wanazungumza kiswahili na kufanya lugha yetu kuwa popular.

Kwa hiyo unapozungumza kitu zingatia nature ya binadam. Matatizo yetu ya kiuchumi hapa nchini chanzo chake sio ukimbizi wala warwanda. Ni upofu na uoga wetu kuwatamkia watu wanao tuongoza ukweli na wajibu wao wa kuongoza Taifa. Hiyo yote ni njama zao kutupumbaza sisi tuone kama swala la ukimbizi ni issue kubwa. Mtu anayeona ukimbizi ni problem kwake huyo mtu hajiamini na elimu yake haimsaidii. Ana elimu au upeo mdogo wa kuelewa the whole context. Kuingia kwa wakimbizi ni kupanuka kwa Taifa na maendele kwa society.

Sisi watanzania tunachotakiwa ni kujifunza kutoka kwa wenzetu mambo ambayo yatatusaidia kuleta maendeleo ya nchi yetu na vile vile kuwakumbusha viongozi wetu kutekeleza wajibu wao wa kuleta maendeleo ya wananchi kwa uongozi bora. Tutumie mali asili ambazo Mwenyeezi Mungu katujalia kwa manufaa ya jamii nzima na sio kwa watu wachache wanaofikiria kuwa wao ndiyo malaika.
 
Sitaki kuamini Dr.Slaa alisema hivi tunavyo aminishwa kasema.
Ni wakati sasa aje humu aseme ni Nini msimamo wake amasivyo NAOGOPA Tena NAOGOPA sana. Na Hasa nikisoma historia ya Watusi na ...., Hapana Sisemi naogopa, Ngoja nikae kimya.

Hata mi niliposikia nilishangaa sana.
 
Last edited by a moderator:
adolay; Doubtless You misunderstood my point, Even Tanzanians knows that there are fellow citizens in foreign land lives illegally but time and situation is for Rwandans now.What I tried to comment is for President Kagame not to hesitate about the situation.He should show up gently to welcome his people and telling them that they have no inheritance outside their land.That is what he can do just now!
 
Last edited by a moderator:
Akili yako ya kawaida sana na warwanda wengi ndivyo mlivyo ngoja tukuache uendelee kuoga tope ukidhani unajisafisha.

may be.. or may be somebody is not thinking clearly here!

Wakati mimi nimesema tuache kuingilia yasiyotuhusu wakati kuna ya kwetu kibao na hatuyashughulikii kabisa, wewe unakuja na pumba nyepesi ya wanyarwanda na tope. Just ongea point. Was there any immorality kwenye kujidai ya watu tunayaona saaana wakati na kwetu kubovu tu ila hatujioni? Njoo na majibu, and next time pinga na hoja don't just.......!
 
Tanzania haijawafukuza wahamiaji halali wa Rwanda, hao wanaoondoka waliingia kwa njia za panya, tena washukuru tumewa-sustain kwa muda mrefu wao na mifugo yao.
 
Uncle Deo; Upuuzi wako usiulete kwenye mada hii na kama utakuwa umefuatilia vijana wenzango wa Lumumba hawajahusika sana na hii thread na hata waliohusika hawajaleta ushabiki wa kipuuzi kama wako. Hapa tunajadili habari ya kitaifa kama watoto wa Mama mmoja ambaye ni Tanzania hivyo ushabiki wako wa kichama nenda nao kwenye mada ya HAMY-D usituharibie mada.
 
Last edited by a moderator:
masopakyindi; Mkuu suala la Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa halihitaji emotions but tolerance, kama tunasema hatukubali Rais wetu Mhe.Kikwete na Gen.Kagame kwa kuwa tu eti Kagame alimtukana na kumtishia, basi mbele tumemuunga mkono Rais Kikwete kwa kushauri Gen.Kagame akutane na waasi wa FDRL wakati tunajua si tu kwamba waasi hao walimtukana na kumtishia Kagame bali pia waliweteka,walitesa na kuwaua marafiki,ndugu na jamaa wa Kagame?
Usidanganyike mkuu, diplomasia is nothing but a tool to ensure ones state achieves its domestic goals, softly softly.
Na hilo likishindikana kuna kitu real politik, ubavu wako ndo unauonyesha.

kagama kajaribu kuonyesha vimbavu vyake na sisi inabidi kutunisha msuli.
Hata Marekani ina ule kitu inaitwa Gun Boat Diplomacy-usipokubaliana naye unapata The Noriega Treatment.

Diplomasia au hakuna Diplomasia dhatrau ya nchi moja kwa nyingine huleta vita.
Kuna nchi huko South America zilienda vita kwa sababu za rafu za kwenye soccer!!!

Heshima ya utaifa huwa inatetewa kwa damu, na hilo inabidi Kagame ajifunze, siku nyingine akiamua kuongea na waTanzania.
 
Hata kama kuna
Mtanzania anaishi Rwanda kinyume na sheria afukuzwe tu kwani hapa
Tanzania kuna mnyarwanda anayeishi kihalali amefukuzwa?
mkuu nakuunga mkono warudishwe ni kwa nini wakaishi kinyume na taratibu wakati taratibu wanazijua? kila mtu kwao tuwapeleke wa kwao na wa kwetu warudishwe.
 
MWILI NYUMBA

Hayo uliyoyataja juu pia ni moja ya changamoto pia ambazo nchi inazipitia lakini na hili la uhalifu eneo la mipakani ni moja wapo

Changamoto hutatuliwa.

1. Je wale wasafirishaaji na wauza dawa za kulevya ambao kikwete alikiri kuwafahamu zaid ya miaka miwili sasa amechukuwa hatuagani?

2. Kila mkowa unamateja na waathilika wa madawa ya kulevya kwa maelefu nchin kote, huoni kwamba hili nijanga baya kabisa? Kikwete aanawafahamu wachuuzi amekaa kimya.......kwanini anyamazie watoto wakitanzania wakiteketea nchi nzima? hili janga linaletwa na wanyarwanda au nani na kwanini..............

.
Hivyo sidhani kama ni kosa kwa serikali kutatua changamoto hii lakini pia bila kuzisahau hizo nyingine ulizozitaja
.

Lini itatatua wakati ndege zinaendelea kutua na kuchukuwa wanyama na raslimali zetu kila siku mkuu

1. Wagonjwa wangapi wangepona kwa matibabu bora kama tungedhibiti na kufaidi upatikanaji wa madawa na vifaa tiba bora kutoka mapato ya madini na wanyama pori? Hospitali zote za erikali huduma nimbovu kupita kiasi wewe huoni hawa maelfu wanaoteketea na huoni kama hili ni tatizo?

Mimi Kagera ni ujombani kwetu na adha wanayoipata wajomba zangu naifahamu kupita kiasi ndiyo maana naliunga mkono hili kwa nguvu zote
.

Sijasema kagera pasiwekewe ulinzi na hoja kwamba ni ujombani kwenu hii ni sera mfu ya ukabila tunaongele utanzania hapa.

1. Je hiyo ndiyo njia pakee na sahihi ya kulinda mali na usalama wa raia hususani mipakani? kufukuza wasio na vibali vya kuishi nchini? Nasisi wakwetu wafukuzwe huko kenya, malawi, kongo nk? Unauhakika hao ndio wahalifu ? kivipi mkuu

2. Tanzania imeshakaa na viongozi wa rwanda mara ngapi, kujadili hali tete ya maisha ya watanzania/wanyarwanda na jinsi ya kulitatua tatizo hukompakani unavielelezovyovyote mkuu.

Ni upungufu wa kufikiri kusema eti tuache huu upuuzi uendelee kisa twiga wanapandishwa QATAR AIRWAYS na tembo wanauawa kila siku
.

Upuuzi ni upi

1. Kuacha mamilioni ya watanzania wakifa kwa kukosa tiba na elimu bora kwa kisingizio cha umasikini walowezi wakituibia raslima na utajiri wetu? au

2. Kushupalia kabila la wanyarwanda ambao idadi yao nadhani haifikii hata wale wa Dar es salaam, na kwa ujinga na ulimbukeni tunashupalia propaganda za kisiasa kwamba Rwanda ni tishio kwa usalama wa Tanzania. Tunauwezo, Jeshi kubwa na bora, tunaraslimali watu nk isitoshe wanyarandwa hatuna uadui nao ni papara tu za kiongozi wako kikwete.

Pili uache unafiki mkuu, hakuna kipindi Tanzania ilikuwa na maadau wengi kama Kipindi Nyerere ni Rais, sera ya Tanzania kuwakomboa majirani zake kupata uhuru tulichukiwa kila kona
.

1. Hapa ndipo unapooneha uwezo kufikiri unapwaya.

-Nyerere hakupigana dhidi ya waafrika wenzie, alisadia nchi hususani kusini mwa afrika Msubiji, Angola, Zimbabwe, Afrika ya kusini nk dhidi ya wareno, wadachi, makaburu nk kupigana kudai na kupata uhuru wakujitawala unamaana kikwete naye anafanya hivyo?

-Kikwete hapigani vita ila anawachimba viongozi na majirani zake (waafrika wenzake kwenye himaya zao) lengo lake moja tu kujipalilia njia ajulikane kimataifa lakini sio kihalali ila kwa hila, nahapa ndipo mtafaruku na malumbano yanapoanza.


Wakati tunapigana vita na Uganda hatukuwa in good terms na Kenya,South Africa,Zimbabwe etc ambazo zote zilikuwa chini ya wakoloni na hata Hawa Wamalawi unaowataja pia mgogoro wao juu ya Ziwa Nyasa ulikuwepo palepale.

-Nyerere hakupenda ukoloni, lakini Mwalimu aliingia vitani akiungwa mkono na watanzania wote wazee, vijana wake kwa waume kumtwanga IDD AMIN DADA kwasababu hakukurupuka, na watanzania tulivamiwa hatukuvamia wala hatukuwafukuza waganda.

-Nyerere hakujishebedua eti autafute umaarufu kimataifa ili akistaafu aitwe UN akapewe madaraka. Mwalimu alijitoshereleza alikuwa na hekima na aliona mbali. huwezi mlinganisha mwalimu na mtu kama kikwete ambaye ameshindwa kila kitu.


Hebu fuatilia historia ya nchi yako (kama wewe ni Mtanzania) maana sina uhakika kama ni Mtanzania.

Historia ya nchi yangu kifupi

1. Tumekuwa tukijulikana kimataifa popote dunia kama kisiwa cha amani na kila mtanzania alipokutana na mwenzake tuliitana ndugu.

SWALI
Je hii falsafa bado inaendelea? kama ndiyo jadili kivipi nakama haipo jadili kwanini imetoweka na nani alaumumiwe wanyarwanda au kikwete na mawaziri wake?

 
Last edited by a moderator:
MWILI NYUMBA; Jibu ni ndiyo, wahamiaji haramu wanaruhusiwa kuishi Marekani na wapo hawapigwi risasi wala kupelekwa magerezani.Na hata sisi Tanzania wahamiaji haramu wanaruhusiwa kuishi ndiyo maana tunashuhudia sehemu ya Wahamiaji haramu wakirudishwa makwao lakini si wameishi muda mrefu? Au walihamia wiki moja kabla ya ziara ya Rais Kikwete? Hatutakiwi kuwa dogma, dunia nzima wahamiaji haramu wanaishi.Kinachofanyika ni unalindaje maslahi ya taifa lako dhidi ya wahamiaji haramu wenye nia mbaya. Ndiyo maana nimekupa maelezo ya kile kinachofanyika Marekani, kwahiyo usisahau kwamba unaweza kuwa na wahamiaji haramu wanaoweza kugeuzwa kuwa wahamiaji halali kwa vigezo tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Uncle Deo; Upuuzi wako usiulete kwenye mada hii na kama utakuwa umefuatilia vijana wenzango wa Lumumba hawajahusika sana na hii thread na hata waliohusika hawajaleta ushabiki wa kipuuzi kama wako. Hapa tunajadili habari ya kitaifa kama watoto wa Mama mmoja ambaye ni Tanzania hivyo ushabiki wako wa kichama nenda nao kwenye mada ya HAMY-D usituharibie mada.
Kwa tarifa yako usinitishe wala nini huwezi kuleta mambo yako ya kihuni halafu tukuache tu haiwezekani na haitawezekana wewe ndiye uliyeleta ushabiki baada ya kukwambia ukweli unajifanya eti umechanganyikiwa acha utoto wako,
unasema tuache kuingilia mambo ya watu yepi ambayo tumeingilia na nani kaingilia kwa akili yako unataka utulazimishe tuamini kuwa jk kaingilia maswara ya watu kitu ambacho ni uongo na upotoshaji jk aliongea kwenye kikao halali na hili swala ilikuwa ni mada mojawapo na alitoa ushauri kwa marais wote wanaohusika why kagame awe mbogo kwa ushauri wa wote,
halafu unapandisha pua eti niache upuuzi upuuzi unajua wewe au unaongea hata usiyoyajua ukome kusapoti kagame anapotukana tanzania na rais wetu,nenda rwanda basi kama umechoka kufadhiliwa na watanzani.
 
MWILI NYUMBA; Jibu ni ndiyo, wahamiaji haramu wanaruhusiwa kuishi Marekani na wapo hawapigwi risasi wala kupelekwa magerezani.Na hata sisi Tanzania wahamiaji haramu wanaruhusiwa kuishi ndiyo maana tunashuhudia sehemu ya Wahamiaji haramu wakirudishwa makwao lakini si wameishi muda mrefu? Au walihamia wiki moja kabla ya ziara ya Rais Kikwete? Hatutakiwi kuwa dogma, dunia nzima wahamiaji haramu wanaishi.Kinachofanyika ni unalindaje maslahi ya taifa lako dhidi ya wahamiaji haramu wenye nia mbaya. Ndiyo maana nimekupa maelezo ya kile kinachofanyika Marekani, kwahiyo usisahau kwamba unaweza kuwa na wahamiaji haramu wanaoweza kugeuzwa kuwa wahamiaji halali kwa vigezo tofauti.


Basi sina haja kuendelea kupoteza muda kujibizana na wewe kama umekosa haya kuongea uongo mbele ya watu wenye akili zao. Haya sasa Kauli imeshatoka kuwa wahamiaji haramu warudi kwao wakitaka kuendelea kuwepo nchini wafuate utaratibu, full stop hutaki utaondolewa kwa nguvu.
 
Kwa hili bandiko la Maneno Meier nimefarijika sana na huu ndiyo hasa utanzania na ndugu maneno ametafsiri utanzania na

history ya mwandamu kwa kina na weledi wa hali ya juu.

Mkuu naomba ni kuulize kitu kimoja, haya maneno na kauli unayo itumia unaelewa maana yake lakini? Wewe sio mtu mishi wa CCM au serikali ambayo inongozwa na CCM? Huoni ahibu kwa matamshi yako machafu haya kudumisha amani katika East Africa na Afrika nzima? Unajua historia ya Kagera na Mlima Kilimanjaro au wakazi wa ziwa Nyasa? Naomba usitufanye sisi wapumbavu tukaacha hasa kupigania haki zetu halisi na kuona kuwa ukimbizi ni issue kubwa. Kama wanaingia na kutoka isivyo kihalili mbona watanzania nao wanafaya hivyo katika mipaka kati ya Msumbiji na Tanzania, Malawi na Tanzania na Zambia na Tanzania? Aacheni kuwaonea watu watafutao riziki za maisha. Sisi wote tumeumbwa na Mungu na kila mmoja anastahili kwa nguvu zake kuzafuta riziki yake popote pale anapotaka. Kuvuka mipaka bila idhini ni mambo ya karne 18 na 19. Mimi naishi Ulaya na naweza kwenda nchi yoyote ile Ulaya bila kujitambulisha wala kutoa ripoti. Kitu cha umuhimu ni kwamba mimi nimejiorodhesha wapi. Narudia tena, nimejiorodhesha wapi na sio ni raia wa wapi. Kama mswiden naweza kwenda Norway au Finland wakati wowote ninao taka bila kipingamizi. Kwa hiyo hao watu msiwasakame ni binadam wenzetu wanao tafuta riziki zao. Kwa hiyo kinacho takiwa tu ni kujua wapi wamejiorodhesha au nyie mnatumia neno raia wa wapi?

Mkuu utakumbuka Mwalimu katika speech yake Bungeni Dodoma mwaka 1995 alisema kuwa Watanzania tunazungumzia Ukabila wa vi inchi vidogo vidogo wakati wenzetu wazungu na mataifa yao makubwa wanaungana na kuwa kitu kimoja! Tusiwe masikini wa mawazo ya kikoloni, mipaka waliweka wao let us go back to the roots. Tunachohitaji ni amani na upendo na maendeleo na haki kwa kila mtu. Don´t make life so difficult. Be cool! Wakimbizi hawamzuru mtu wanatafuta riziki ya kujilisha na ku reproduce. Hayo mengine yote waachie wenyewe wakoloni hayana maana yoyote katika ulimwengu wa leo. Elewa pia kuja kwao kwetu wanajifunza lugha yetu na wakienda kwao wanazungumza kiswahili na kufanya lugha yetu kuwa popular.

Kwa hiyo unapozungumza kitu zingatia nature ya binadam. Matatizo yetu ya kiuchumi hapa nchini chanzo chake sio ukimbizi wala warwanda. Ni upofu na uoga wetu kuwatamkia watu wanao tuongoza ukweli na wajibu wao wa kuongoza Taifa. Hiyo yote ni njama zao kutupumbaza sisi tuone kama swala la ukimbizi ni issue kubwa. Mtu anayeona ukimbizi ni problem kwake huyo mtu hajiamini na elimu yake haimsaidii. Ana elimu au upeo mdogo wa kuelewa the whole context. Kuingia kwa wakimbizi ni kupanuka kwa Taifa na maendele kwa society.

Sisi watanzania tunachotakiwa ni kujifunza kutoka kwa wenzetu mambo ambayo yatatusaidia kuleta maendeleo ya nchi yetu na vile vile kuwakumbusha viongozi wetu kutekeleza wajibu wao wa kuleta maendeleo ya wananchi kwa uongozi bora. Tutumie mali asili ambazo Mwenyeezi Mungu katujalia kwa manufaa ya jamii nzima na sio kwa watu wachache wanaofikiria kuwa wao ndiyo malaika.
 
Last edited by a moderator:
MWILI NYUMBA; Jibu ni ndiyo, wahamiaji haramu wanaruhusiwa kuishi Marekani na wapo hawapigwi risasi wala kupelekwa magerezani.Na hata sisi Tanzania wahamiaji haramu wanaruhusiwa kuishi ndiyo maana tunashuhudia sehemu ya Wahamiaji haramu wakirudishwa makwao lakini si wameishi muda mrefu? Au walihamia wiki moja kabla ya ziara ya Rais Kikwete? Hatutakiwi kuwa dogma, dunia nzima wahamiaji haramu wanaishi.Kinachofanyika ni unalindaje maslahi ya taifa lako dhidi ya wahamiaji haramu wenye nia mbaya. Ndiyo maana nimekupa maelezo ya kile kinachofanyika Marekani, kwahiyo usisahau kwamba unaweza kuwa na wahamiaji haramu wanaoweza kugeuzwa kuwa wahamiaji halali kwa vigezo tofauti.
Twambie ni katiba ipi na kifungu gani cha katiba ya ambacho kinaruhusu wahamiaji haramu waje na waishi bila kufuata taratibu?
nimeshakwamnia kuwa hunauchungu na tanzania hii ni uthibitisho tosha kuwa wewe ni mrwanda unatetea warwanda wenzako wanaishi kinyume cha sheria na kufanya uharifu mkubwa kwa wazawa.
 
MWILI NYUMBA



Changamoto hutatuliwa.

1. Je wale wasafirishaaji na wauza dawa za kulevya ambao kikwete alikiri kuwafahamu zaid ya miaka miwili sasa amechukuwa hatuagani?

2. Kila mkowa unamateja na waathilika wa madawa ya kulevya kwa maelefu nchin kote, huoni kwamba hili nijanga baya kabisa? Kikwete aanawafahamu wachuuzi amekaa kimya.......kwanini anyamazie watoto wakitanzania wakiteketea nchi nzima? hili janga linaletwa na wanyarwanda au nani na kwanini..............

..

Lini itatatua wakati ndege zinaendelea kutua na kuchukuwa wanyama na raslimali zetu kila siku mkuu

1. Wagonjwa wangapi wangepona kwa matibabu bora kama tungedhibiti na kufaidi upatikanaji wa madawa na vifaa tiba bora kutoka mapato ya madini na wanyama pori? Hospitali zote za erikali huduma nimbovu kupita kiasi wewe huoni hawa maelfu wanaoteketea na huoni kama hili ni tatizo?

.

Sijasema kagera pasiwekewe ulinzi na hoja kwamba ni ujombani kwenu hii ni sera mfu ya ukabila tunaongele utanzania hapa.

1. Je hiyo ndiyo njia pakee na sahihi ya kulinda mali na usalama wa raia hususani mipakani? kufukuza wasio na vibali vya kuishi nchini? Nasisi wakwetu wafukuzwe huko kenya, malawi, kongo nk? Unauhakika hao ndio wahalifu ? kivipi mkuu

2. Tanzania imeshakaa na viongozi wa rwanda mara ngapi, kujadili hali tete ya maisha ya watanzania/wanyarwanda na jinsi ya kulitatua tatizo hukompakani unavielelezovyovyote mkuu.

.

Upuuzi ni upi

1. Kuacha mamilioni ya watanzania wakifa kwa kukosa tiba na elimu bora kwa kisingizio cha umasikini walowezi wakituibia raslima na utajiri wetu? au

2. Kushupalia kabila la wanyarwanda ambao idadi yao nadhani haifikii hata wale wa Dar es salaam, na kwa ujinga na ulimbukeni tunashupalia propaganda za kisiasa kwamba Rwanda ni tishio kwa usalama wa Tanzania. Tunauwezo, Jeshi kubwa na bora, tunaraslimali watu nk isitoshe wanyarandwa hatuna uadui nao ni papara tu za kiongozi wako kikwete.

.

1. Hapa ndipo unapooneha uwezo kufikiri unapwaya.

-Nyerere hakupigana dhidi ya waafrika wenzie, alisadia nchi hususani kusini mwa afrika Msubiji, Angola, Zimbabwe, Afrika ya kusini nk dhidi ya wareno, wadachi, makaburu nk kupigana kudai na kupata uhuru wakujitawala unamaana kikwete naye anafanya hivyo?

-Kikwete hapigani vita ila anawachimba viongozi na majirani zake (waafrika wenzake kwenye himaya zao) lengo lake moja tu kujipalilia njia ajulikane kimataifa lakini sio kihalali ila kwa hila, nahapa ndipo mtafaruku na malumbano yanapoanza.




-Nyerere hakupenda ukoloni, lakini Mwalimu aliingia vitani akiungwa mkono na watanzania wote wazee, vijana wake kwa waume kumtwanga IDD AMIN DADA kwasababu hakukurupuka, na watanzania tulivamiwa hatukuvamia wala hatukuwafukuza waganda.

-Nyerere hakujishebedua eti autafute umaarufu kimataifa ili akistaafu aitwe UN akapewe madaraka. Mwalimu alijitoshereleza alikuwa na hekima na aliona mbali. huwezi mlinganisha mwalimu na mtu kama kikwete ambaye ameshindwa kila kitu.




Historia ya nchi yangu kifupi

1. Tumekuwa tukijulikana kimataifa popote dunia kama kisiwa cha amani na kila mtanzania alipokutana na mwenzake tuliitana ndugu.

SWALI
Je hii falsafa bado inaendelea? kama ndiyo jadili kivipi nakama haipo jadili kwanini imetoweka na nani alaumumiwe wanyarwanda au kikwete na mawaziri wake?




Hivi mkuu mbona sikuelewi? Unataka kusema kwamba changamoto ya wahamiaji haramu isishughulikiwe kwasababu kuna changamoto nyingine zinatukabili hivi hizi ni akili kweli??

Kuhusu wahamiaji haramu kujishughulisha na ujambazi na kupora watu huko Kigoma na Kagera ninao maana nimesikia ushuhuda wa waathirika mara nyingi wakisema kuwa muonekano na rafudhi za majambazi hao si za kitanzania more over wanatumia silaha kali za kivita ambazo it is very difficult kwa raia wa kawaida wa kijijini Nyakahanga kuipata hivyo kwa namna yoyote ile inatokea nchi jirani kwa kuwa wenzetu wamekuwa kwenye vita kwa muda mrefu na silaha zimezagaa kila kona. Pia kuna ushahidi hadi wa baadhi ya majambazi yaliyowahi kukamatwa maeneo hayo kuthibitika kuwa ni raia wa kigeni.

Tatu si kweli kwamba kipindi cha Nyerere tulikuwa na ugomvi na wakoloni tu hata Kenyatta hakuwa kuwa swahiba wa mwalimu kutokana na kupishana kwa ideologies zao ambapo Kenyatta alikuwa ni bepari mwenye kuwalea wazungu huku Nyerere ni Mjamaa asiyepikika na wazungu mpaka alifikia hatua ya kuufungia ubalozi wa Uingereza nchini. Iddi Amin hakuwa mkoloni wala Kamuzu Banda hakuwa Mzungu hivyo acha kuupotosha ukweli. Halafu kuonyesha ulivyomburula unasema kuwa wakati wa Vita ya Uganda Nyerere hakuwafukuza waganda wanaoishi kinyume na sheria nchini, awafukuze vipi ilhali hawakuwa kikwazo kwa usalama wa watanzania waishio mipakani na kwa namna nyingine walikuwa wapo naye pamoja kuhakikisha utawala wa Idd Amin unang'oka Uganda.

Hivi unasema haya ukiwa upo mzima haujaonja hata kidogo kweli? Maana hizi sikukuu may be najibizana na wewe kumbe umelewa.
 
artorius; Hiyo siyo sinema mkuu kwani hapo maisha ya watu yanahusika, nimemsikiliza Mtanzania aliyeko Rwanda anasema wanaishi vema na Wanyarwanda na kufanya nao biashara bila kubaguana na wanawapenda sana Watanzania kwani wanawaona ni watu wema.Je, mapendekezo ya Rais wa Rwanda Gen.Paul Kagame kukutana na Rais wa Tanzania Mhe.Dr.Kikwete hayana mashiko kwa ustawi wa nchi mbili na watu wake?

tusipotoshe umma, wanaofukuzwa n wahamiaji haramu na si wanyarwanda peke yao, warundi, waganda na kadhalika!! huwezi kuishi nchi yeyote hapa duniani bila kufata sheria husika
 
==>>☆★☆★☆ Excellent JK.... well done...!!!

==>> FUKUZAAAA WOTEEE.....I would like even their embassy to be shut down....!!!

==>> HATUDEKEZI WALA KUHITAJI MTU KAMA KAGAME WHO INSULTED & KUTISHIA MAISHA YA JK....who is he...?? who the hell is he..??

==>> Sio kufukuza tu tulishawabeba sana hawa...SHUKRANI ZERO KABISA MAPIMBI HAYA...FROM WAKIWA WAKIMBIZI...tena wengine majambazi mabaya wanaua raia wetu....tukaruhusu mahaka ya kimbari ya Rwanda iwe Arusha wamalize their problems...instead Kagame akamwua Prof Mwakyusa mtetezi wa watuhumiwa....!!! imagine..

===>> Hawafai hawa ngedere...sio WATU HAWA...HAWABEBEKI...HAWAKUMBUKI...HAWANA SHUKRANI....DEAD SPIRITS.... tumewafanyia mengi mengi.... the late President Habryamana wamefanya usuluhishi hapa PK kamuua....!!! PK kajifunza Jeshi bure hapa Tz leo anatutukana na kututishia maisha....
Museveni kasoma, kakulia hapa...support zote kapata
hapa MNAFIKI MKUBWA YULE.....Uhuru b4 election juzi tu Feb.2013...kaja kama mbwa koko kuomba support ya JK na mapicha kibaooo...anakenua..

...LEO WOTE WANATUONA SIE WAPUUZI.....WEMA WETU MWISHO, we are tired of them....na tuanze everywhere ktk serikali na private sectors...WAGENI WOTE TIMUA TIMUA...WANAOKAA ILLEGALLY HAPA KWETU....KUNA WAHINDI..WAKENYA...UGANDA...RWANDA...FUKUZA WAPO KIBAO WANAFANYA KAZI BILA VIBALI NA HAWAFAI....

....JK tuanze nchi nzima....plz I beg Mheshimiwa Rais...all over our country...illegal Immigrants fukuza...wapo kibao wanafanya kazi hapa Tz....

===>> TUMEWACHOKA SIO WATU HAWA....☆☆★★
 
Back
Top Bottom