Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Kutukanwa kwa jk yeye mwenyewe ndiye kaanzisha matusi,kwambia pk kuongea na wauaji hilo nitusi tosha kwa wanyarwanda,na ukifuatilia vizuri jibu la pk kwa jk nikumtahadhalisha asiendelee ku support hao wauaji akiendelea kuna mstari hawezi vuka,ina maana akivuka ata mu hit,msitari ni mpaka wa rwanda,akijaribu kuingia rwanda kwa nia mbaya ata mu hit kweli.

Interahamwe ni wauaji na nyie rpa na m23 ni wauaji pia! Tena nyie mmeua watu wengi zaidi. Alafu Mh Kikwete hana haja ya kuvuka mpaka kwenda rwanda...akafanye nini? Sasa you show yr true color, sasa km kagame ana nia ya kum hit Mh Kikwete, ni kwanini sasa mnang'ang'ania nchini kwetu na wakati mshaonyesha chuki ya waziwazi? Kweli nyie ni kizazi cha shetani ibilisi kabisa
 
mchango mzuri sana , lakini lakufa halisikii dawa!
 
Haki gani unayozungumzia hapa? Mtu unaambiwa urudi kwenu unakataa kwa sababu unajua haki yako? Yes walipokewa vizuri walivokuja km wakimbizi! Kwa hiyo mpaka leo wanakimbia? Si watutsi ndo mnaongoza rwanda sasa kwann wasirudi?

kunakitu huelewi hapa hawajamaa hawakukataa kuondoka,ila muda wa siku 14 nimdogo kwamtu mwenye mifugo,mashamba,nyumba inabidi apewe muda wa kujiandaa sio kukurupushwa kama vile ndio marayakwanza wamewaona hapo,huu ni ujanja wa watu serikalini wanaotaka kula vyabure kutoka kwa hao wahamiaji.
 
Moody president is kagame who bcoz of his paranoid he threatened HE President Kikwete that he'll hit him! Sasa hivi Mh Kikwete yupo pale Ikulu, mwambieni huyo kagame wenu aende "kum hit" sasa! Afu because yr brain i3. Ni kwnn nchi yenu ilitutukana na huyo kagame wenu kumtishia Mh Rais Kikwete kuwa "I'll hit him"?

acha upuuzi wewe, kwani akitukanwa inakuhusu nini? Yaani watu walioishi nchini kabla hata ya uhuru wanafukuzwa sababu ya bifu la watu wawili? ni aibu hii!!
 
Kutukanwa kwa jk yeye mwenyewe ndiye kaanzisha matusi,kwambia pk kuongea na wauaji hilo nitusi tosha kwa wanyarwanda,na ukifuatilia vizuri jibu la pk kwa jk nikumtahadhalisha asiendelee ku support hao wauaji akiendelea kuna mstari hawezi vuka,ina maana akivuka ata mu hit,msitari ni mpaka wa rwanda,akijaribu kuingia rwanda kwa nia mbaya ata mu hit kweli.

Huyo jamaa wa hapo kuna tetesi kuwa ni rafiki ya mmoja wa wale majamaa waliotimkia South Africa. Na urafiki wao ni wa kwenye chupi manake nasikia huyo jamaa ni hatari. Sasa, ameleta uswahiba wake kwenye mambo ya siasa...hajui hao majamaa wanamtumia ili wa destabilize Rwanda. He doesn't know what he is getting into.
 
mtusi anaweza anapanga kukuua huku anacheka na kulia nawew kama rafiki mkubwa. these are people are cancer and should treated with caution.

Go back to school..your English is pathetic....hivi huko si bado mna elimu ya watu wazima?
 
Huyo jamaa wa hapo kuna tetesi kuwa ni rafiki ya mmoja wa wale majamaa waliotimkia South Africa. Na urafiki wao ni wa kwenye chupi manake nasikia huyo jamaa ni hatari. Sasa, ameleta uswahiba wake kwenye mambo ya siasa...hajui hao majamaa wanamtumia ili wa destabilize Rwanda. He doesn't know what he is getting into.
Hapo umenena ukweli,hiyo inajulikana sana akina kayumba,na kile kikundi chote cha upinzani wa rwanda ni washikaji wake,sasa tatizo hao jamaa wameshindwa kupindua serikali ya kigali sasa ndio kumtumia jk katika deal hilo,sasa jamaa wa kigali wamelishitukia hilo wanamsubili online yani akivuka ni kuhit tu.
 
Interahamwe ni wauaji na nyie rpa na m23 ni wauaji pia! Tena nyie mmeua watu wengi zaidi. Alafu Mh Kikwete hana haja ya kuvuka mpaka kwenda rwanda...akafanye nini? Sasa you show yr true color, sasa km kagame ana nia ya kum hit Mh Kikwete, ni kwanini sasa mnang'ang'ania nchini kwetu na wakati mshaonyesha chuki ya waziwazi? Kweli nyie ni kizazi cha shetani ibilisi kabisa

nafikiri hakuna anayen'gan'gania tanzania,kitu tunacho sema pawepo ustaarabu wa kuwaondosha hao sio siku 14,hizo hazitoshi,mmeishi nao miaka zaidi ya 50 hawakuwadhuru chochote,leo baada ya purukushani kati jk na pk ndio kuwapa saa 14,wala wao hawakushiriki katika hayo malumbano,yani nikama vile hasira za kitoto yani umekosana na jirani yako,badala ya kudeal na huyo jirani yako unaanza kuwanyima amani watoto wake,kama mwanaume inatakiwa kumu face direct mtu aliye kutukana badala ya kuingilia wasio kuwemo,yani hili linaonyesha kama tanzania ingekua rwanda chini ya uongozi wa jk basi hawa FDLR sijui kama ndugu zao wangekua wanaishi rwanda,kwani anahasira mbaya za kisasi za kiswahili sana.
 
nyinyi ni wangese, hicho kisasi cha kitusi kama dili mbona mliuwana kama mifugo.
huo uswahili unao uzarau ndio ulio walea nyinyi vikudo.
 
Wewe unaweza kuwa uko mtwara,watu huku wenye uraia wanachaniwa usoni vyeti vyao vya uraia na kufukuzwa,wewe bado uko ku vya haramu? Wanyarwanda wote hivi wamekua haramu,tamko linatofautiana na vitendo.
zungumzia mada iliyoletwa,tunazungumzia suala la kuwafukuza wahamiaji haramu!wangapi ni wanyarwanda tunawajua wapo na wanaishi kihalali bila kufukuzwa!mtaje anayeishi kihalali na aliyechaniwa vyeti hapa!siko mtwara na hata kama ningekuwa mtwara,ni sehemu ya tanzania pia!
 
Aisee hawa jamaa (WanyaRwanda) sio watu kabisa, nasikitika hata ni kwanini tuliwakubalia kujiunga na EAC, kifupi Raisi wao Kagame kashaiua EAC, kitendo cha kusema waziwazi kwamba unamvizia raisi mwenzako wa nchi ingine kwamba uta m hit!! ni dharau iliyopitiliza na sidhan kama wataweza hata shikana mikono!

Rai yangu Tanzania tujitoe EAC tubaki SADC tu, hakuna tunachopata EAC ni kuishi na manyang'au tu kama Kagame

Yes...tutsi, titsi because of yr evil behaviours. Mauaji mnayofanya huko Kongo ndo mnataka mlete huku TZ kwa kuendelea kujipenyeza ili mwisho muanze kuleta vurugu za kusema mnataka kujitenga. Another reason why you tutsis are not wanted is yr kagame's insults to H.E President Kikwete pamoja na vitisho eti "I will hit him"
 
Ni upunguani ukiona mtu analalamika eti kwa kurudi kwao. Wanatafuta kuifanya Kagera kama Goma, sii kihivyoo. Warudi tu walikotokea.
 
Miaka 50 wako Tz! Na bado serikali yao ilikuwa haijajipanga kuwapokea! Mawaziri na viongozi wanalalamika eti wamefukuzwa! Walitaka ifike miaka 100 ndiyo wawe wamejiandaa au waigeuze kuwa Nyamulenge.
 
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda amesema kamwe hawatawafukuza Watanzania wanaoingia na kutoka nchini Rwanda kwa shughuli mbalimbali kwani tupo ndani ya shirikisho la Afrika Mashariki na hata kihistoria Rwanda haijawahi kuwa na tatizo na Tanzania.

Akizungumzia sakata la wahamiaji haramu wa Kinyarwanda kufukuzwa na serikali ya Tanzania amesema, kila nchi inayo mamlaka ya kufanya vile inafaa lakini ingekuwa vizuri Tanzania ingewasiliana na Rwanda ili kujua wataondokaje na kupokelewa vipi.

Amesisitiza, "Kwa kuwa wenzetu wameamua kufanya hivyo, tupo tayari kuwapokea wananchi wetu" Lakini pia, Waziri huyo amesema waasi wa FDRL ni kikundi cha wauaji wanaojipanga kuangamiza watu fulani nchini Rwanda hivyo wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote badala ya kuwatambua na kuzungumza nao kama kundi halali na lenye nia njema.

Naye Mtanzania Mohammed, amependekeza Rais Kagame na Kikwete wakutane na kufikia suluhu.Pia baadhi ya Wanyarwanda wamelalamikia kutokutendewa haki kwa kutenganishwa na wake,waume, n.k

DW - Kiswahili
Wenzetu waliona mbali sana, kuwa hakuna rafiki au adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu pekee
 
C'mon give me a break. That is a lot of bullshit. If your president wants wahamiaji haramu, hapo magogoni kwenye hizo flats kumejaa wahamiaji haramu wengi tu of which he has no balls to kick them out. Double standards. Wasomali kariakoo wamejaa tele but you have no balls to kick them out. Lakini amepanda ndege akaenda 1,300km ndiko ameona wahamiaji haramu ambao wanafaa kufukuzwa na kunyang'anywa mali zao. You know even if you seize all the cows and property it will not make you rich. Unajua utajiri sio mali za wizi utajiri is all in your head. You can steal from these naturalized tanzanians but wherever they will go they will be Ok.
We jamaa karibu Dar, karibu magogoni tumechange position na sasa tunakubali kuwa genocide ilifanyika na wala sio ujanja wa Kagame kutumia genocide kupata sympathy atawale milele
 
Back
Top Bottom