Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Hahaha
Kumbe hawa jamaa wanajua kuongea Ki-diplomasia..
Yani walivyokuwa wanamtukana kikwete na sasa ni tofauti...
Fukuza wote hadi balozi wao...
Huwezi kutangaza utampiga raisi wetu halafu tuwachekee tu kenge nyinyi...
Baada ya hapa kinachofata tunajenga fensi ya zege hapo mpakani na ole wenu mruke
 
Amesema wahamiaji haramu wote , hajataja nchi. Hata hivyo muheshimiwa raisi amechelewa ilibidi waondoke tangu mwaka 1961. Pia iwe funzo kwa watendaji wa mipakani na uhamiaji watimize wajibu wao sio mpaka raisi aseme.
 
Waziri wa Rwanda amedai hawezi kuwafukuza watanzania kwa sababu wamefuata taratibu na sheria za kuish Rwanda, sasa wao wanaish kinyemela na wameachwa, halaf raisi wao anaanza kuongea utumbo, sasa nyie mnafikiri kamanda wetu jk afanyeje? Wafuate sheria ili waendelee kuish, mbona wengine tumemaliza nao form six muleba na likizo walikuwa wanaenda kwao Rwanda? Wafuate sheria ama nini vijana.
 
Unatakiwa ICC ukajibu mashtaka ya mauaji wewe,and stop fooling people wewe ni Mtanzania you are not,you are nothing but interahamwe uliyekimbilia TZ,soon or later they will catch up with you.

Na wewe m23 unayeua wakongo huko kwao unasubiri nini kujisalimisha ICC? Mtaimba sana mwaka huu. Mnang'ang'ania nini hapa Tanzania? Kwann hamtaki kurudi kwenu?
 
Mimi ni sina kibali cha kuishi huku USA.Nashukuru ninaweza kufanya kazi huu ni mwaka wa 14 tangu nitoke Tanzania na nimetuma pesa nyingi sana huko nyumbani kwa kutmia western union na kuiwezesha serikali kuwa na pesa nyingi hapa kwenye account yao ya pesa za kigeni.Wamexico wanachangia kila miezi kadhaa serikali yao billion za dollas[ni mpango maalum.Na ndio maana serikali ya marekani ikitaka kuwaondoa naye rais wa mexico anakuja hapa kuongea na Obama.Kuhusu wa south america,sio wamexico peke yao.Wengi wao wanakuja kutafuta maisha.Lakini kuna wengine wapo kwenye biashara hiyo ya madawa.Kuna maandaki yamechibwa chini ya ardhi wanatumia kuvushia watu na pia madawa.hilo andaki linatokezea uwani kwa mtu upande wa USA.Yapo mengi sana.Lakini wamarekani wanasema kuwa mtu hasie fanya kosa hawamgusi hata kama unaishi kinyume na sheria hapo.Ndio maana sasa hivi ukifanya kosa na liwe kosa haswa kubwa .watapeleka information zako ice[Uhamiaji].Na utafuatiliwa.Lakini naweza kukuambia kuwa sasa hivi ni Watanzania wachache sana wanaishi kinyume na sheria nafikiri hatufiki 30 kwenye state yangu hii.
 
C'mon give me a break. That is a lot of bullshit. If your president wants wahamiaji haramu, hapo magogoni kwenye hizo flats kumejaa wahamiaji haramu wengi tu of which he has no balls to kick them out. Double standards. Wasomali kariakoo wamejaa tele but you have no balls to kick them out. Lakini amepanda ndege akaenda 1,300km ndiko ameona na wahamiaji haramu ambao wanafaa kufukuzwa unyang'anywa mali zao. You know even if you seize all the cows and property it will not make you rich. Unajua utajiri sio mali za wizi utajiri is all in your head. You can steal from these naturalized tanzanians but wherever they will go they will be Ok.


I didn't heard about that one, Nakumbuka alisema watahamishwa kwa utaratibu maalumu na hata mpakani rusumo kwa upande wa Rwanda wamesema waende na mifugo yao lakini wakifika huko wakubali kuiuza na wabaki na wachache na fedha watakazopata wazitumie kujenga makazi bora. Hili la kunyang'anywa mifugo yao ndiyo nalisikia kutoka kwako na kama ni hivyo hata mimi huo utaratibu siuungi mkono.Waondolewe wao pamoja na mifugo yao hata panya waliokuwepo kwenye makazi yao waondoke nao.
 
Ukwaju
Kikwete mweupe mkuu na pale kwa kagame janja yake ya kuishi kwa propaganda imegonga ukuta na nyinyi wapiga debe wake hamtafanikiwa

naamini umelewa kimpumu au ututsi unakukandamiza, unadhubutu kutuita Watanzania tunajipigia debe kwa Kikwete? Nimekwambia kagame ameweza kupenya mpaka kwa Ptof Mwaikusa unataka ushahidi
sasa ameweza kupenya na kila siku yupo
Jamii Forum wewe ndio mpiga debe wake kamwambie sasa
hapa alikuwa akimjibu Mch Mtikila na hii imo humuhumu JF
Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s.
He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling Tutisi snakes, that they don't deserve to live, and showed great hate!
It should be recalled that Mtikila used Jamii Forum and wavuti to dehumanize tutsis as a tribe, while commenting on eviction of Wasukuma from forests in Kagera. The article breached one of the rules of Jamii Forums that is against use of hate speech, bigotry and promoting hatred and racism on the forums. But since those who were attacked were Tutisis, then it was allowe to go.
Mtikila appealed to his readers that Bantu were one against non-bantu Tutsis!

ii) kama ndivyo bado unaamini kuwa na kiongozi bora na jasiri?
Kwa jibu hili naomba uingie Google na u-search KIKWETE Dictator au search Kagame Dictator uje na majibu
Ni nani jasiri kwa udikteta PK au JK ndio tuendelee maana wewe sasa utoto au ututsi unakusumbua umeibadilisha mada mpaka tumehama
. KESHO MWISHO MUHAME
a) Kagame na jehi lake

http://rwandinfo.com/eng/the-untold-stories-of-kagame-a-man-of-two-faces/

The list of the people who were murdered by IdI Amin include the Archbishop Janani Luwum of the Church of Uganda in the same way Kagame ordered the brutal murder of the Rwandan Bishops who had sought sanctuary in Kabgayi during the war in 1994, they have not been given a decent burial they deserve. Murdered along with the archbishop was Internal Affairs Minister, Charles Oboth Ofumbi and Lands Minister, Lt. Col Erinayo Oryema. These were just a few of the prominent ones. The list of the murders and disappearances of many Rwandans on the orders of Kagame is endless, friends, comrades and political opponents have been killed yet the international community is silent and instead they talk about good roads and clean City, [/QUOTE]
iii) Nani anawahamisha wamasai kwa nguvu Arusha-Loliondo kwa kuchoma nyumaba na kuangamiza mifugo?
Hapa ni Siasa za ndani wewe kama ni Mtustsi unahusikaje na Wamaasai tunachotaka muondoke hayo mambo ya kina mwangosi Mahakama ya The hague itaamua

b) kikwete na jeshi lake ili auze nchi na kuendeleza ufisadi
d) vyama vya siasa kwasababu wanataka kutawala wanyama?
Mtikila wakati mwingi ni mpiga debe anayeangalia kulisha tumbo lake na nikigeugeu hivyo taarifa zake nauchunguzi wake huwa namwachia yeye na watu kama wewe.[/SIZE][/FONT]
Hueleweki naomba ya Watanzania waachie wenyewe na Watutsi warudi makwao

The Untold Stories of Kagame: A Man of Two Faces
by Mireille Mutima
Idi Amin
Will Kagame be the next Idi Amin that led the collapse of the East African Community in the 1970s?
President Kagame has not only mastered the language of the West of divide and rule but has further gone another step of lying in all his political life. Kagame has turned everything in Rwanda to be seen through the prism of the genocide, a hundred apocalyptic days that wiped out 800,000 men, women, children and babies and left no family unscarred. As a guerrilla commander who led his former RPA to the capital, Kigali,
Paul-Kagame-2.jpg

The Untold Stories of Kagame: A Man of Two Faces - Rwandinfo_ENG
 
I didn't heard about that one, Nakumbuka alisema watahamishwa kwa utaratibu maalumu na hata mpakani rusumo kwa upande wa Rwanda wamesema waende na mifugo yao lakini wakifika huko wakubali kuiuza na wabaki na wachache na fedha watakazopata wazitumie kujenga makazi bora. Hili la kunyang'anywa mifugo yao ndiyo nalisikia kutoka kwako na kama ni hivyo hata mimi huo utaratibu siuungi mkono.Waondolewe wao pamoja na mifugo yao hata oanya waliokuwepo kwenye makazi yao waondoke nao.

Bado nadhani unajaribu kutetea zoezi ambalo linakiuka sheria za kimataifa. zoezi ambalo is more political than anything. I am telling you all this is being done because ya majibizano between Rwanda and Tanzania. Kuna msemo usemao "mafahari wawili wakipigana..... " but we don't feel scared my friend. We have faced worse persecution than this...hii ni cha mtoto. What we want to show the world is that JK acts on his emotions rather than his intellect. Leaders can't be emotional. You have to be strong. Sio shemeji yako mndengeleko akikutukana basi unamfukuza mfanyakazi wako wa ndani because na yeye ni mndengeleko.
 
no matter how long they have stayed here....kama ni haramu ni lazma waondoke

Ila sheria zinasemaje kuhusu uraia?Vipi kijana aliyezaliwa nchini sasa na miaka zaidi ya 18?Atanyimwa uraia wakati ahta kusoma alisomewa Body ya mikopo, na ana passport tayari?Je harushusiwi wakaribisha wazazi ambao ndio waliingia kiharamu na kumzaa?Hawezi kwenda oa Mnyarwanda mwenzie halfu amtaliki baadae, ahalfu akaoe mwingine halafu mtaliki huku akimwacha raia?

Nasikitika sana wakati hawa jamaa wakiaua watu na kupora mali za watanzania, wengi etulipiga sana kelele ,hawa magamba wakasema wakatengeneza kikosi kilichokuw akikiongozwa na yule kamanda wa polisi kipindi kile...sijui waliishia wapi.Sasa CCM wanakuja na approach mbaya tena inayoweza kuwa aborted na UN.CCM walitakiwa kuwa smarter kidogo.Hiliz oezi lifanyike kwa stail ambayo km watabaki wanayarwanda basi ni wale wanaoweza kuwa raia kwa vigezo fulani au ugumu fulani.
 
Bado nadhani unajaribu kutetea zoezi ambalo linakiuka sheria za kimataifa. zoezi ambalo is more political than anything. I am telling you all this is being done because ya majibizano between Rwanda and Tanzania. Kuna msemo usemao "mafahari wawili wakipigana..... " but we don't feel scared my friend. We have faced worse persecution than this...hii ni cha mtoto. What we want to show the world is that JK acts on his emotions rather than his intellect. Leaders can't be emotional. You have to be strong. Sio shemeji yako mndengeleko akikutukana basi unamfukuza mfanyakazi wako wa ndani because na yeye ni mndengeleko.


All these are Blah blah blah!! You all can't convince us why should illegal immigrants not evacuated from our territory. Kwanini tusiwe na maamuzi ya kufanya katika maeneo yetu hata kama mnahatarisha usalama wetu? Tutawaamini vipi watu hawa kama wana lengo zuri na nchi yetu ilhali tumeshajifunza kilichotokea Congo na kibaya zaidi rais wao ameshasema anatulia timing atutandike??
 
Ndugu yangu naona kuna mahali umesoma hukunielewa au kama umenielewa basi maneno yangu yamekuchoma sana na sina jinsi ya kukusaidia kwa hilo.

Kwanza kama kila raia anaruhusiwa kwenda anakotaka hovyo, hatuna sababu za kuwa na sheria za nchi. Kila mtu aachwe tu aende atakako.

Pili, unataka kusema Kagare ni ya Rwanda ? hapa ndipo naliona tatizo sana na nazidi kusisitiza kuwa wanyarwanda kama wewe wakishazaliana watarudi kwa Kagame na kuomba mabomu ili Kagera iwe Rwanda nyingine. Ni hii ni hatari na huu mfano wako ni mzuri sana. Sasa unadai Kagare je mkiwa 200,000?

Tatu, sijui ulaya ipi unazungumzia, kama ingekuwa ni rahisi hivyo basi Shengen isingekuwape.
Hapa EAC kila mtu anaruhusiwa kwenda kuishi popote lakini iwe kwa utaratibu siyo huu wa Wanyarwanda kuvuka mipaka na silaha za Kagame kuanza kuwachapa risasi wakazi wa Kagera.

Hivi leo watu wa Kagera wamenyang'anywa maeneo yao sijui huo ndio utaratibu wa Sweden na Norway unakoishi. Ninashawishika kukuambia ulaya unakoishi basi hukufahamu au hakuja kukusaidia.

Leo huwezi kwenda kuishi Kisii au Entebe bila utaratibu. Ndio maana nimesema Watanzania wanaoishi bila kufuata utaratibu nao wafukuzwe kama wanyarwanda.

Mwisho nimekupa sababu za kwanini wanyarwanda ni hatari na wanapswa kufukuzwa haraka sana hukuzijibu.

Nimekueleza kuwa hakuna shida wanyarwanda kuingia na kufanya shughuli zao, tatizo ni jinsi wanavyoingia tena wakiteka maeneo. Walianza hivyo kule DRC sasa tunaona matokeo.

Mbona kuna raia wa nchi nyingine wapo na wanafahamika? Tatizo ni kuwa Wanyarwanda chini ya PK ni viumbe hatari sana katika uso wa dunia.

Nyerere alisema mataifa makubwa yanungana na tuache ukabila.
Mwambie PK kuwa ukabila wake na hilo ndilo tatizo na wala si watu wake kuvuka mipaka na kuua raia wetu kwa kigezo cha kipuuzi cha EAC.

Hawa wakimbizi unaosema wanatafuta riziki wakipewa silaha na PK tatizo la DRC linaanzia kwetu. Walipokwenda DRC kama Banyamulenge watu walidhani wanatafuta riziki.

Angalia sasa wanavyoua, baka wanawake, peleka watoto vitani n.k. Hawa si binadamu unaosema unaweza kudharau uwepo wao mahali, ni hatari kama unavyomuona PK.

Ningekuwa rais nisingetoa hata siku moja ya wahamiaji HARAM kutoka rwanda walioua na kufanya uhalaifu warejee. Hawa wangekutana na kitu ambacho wasingetamani tena kuvunja sheria.

Hili somo zuri sana. Watanzania wafunguke macho wawajue vizuri watutsi....hao sio watu hata kidogo! tuSubiri matusi toka kwa koba, murutongere na rusiziba maana wao ukisema tu ukweli ukawagusa, usubiri mvua ya matusi..
 
Nadhani hujanielewa. Tanzania tuna Wanyarwanda wengi wanaoishi hapa kihalali, nenda arusha utawakuta wengi wanafanya kazi ICTR, EAC pamoja na mashirika mengine ya nenda Dar nenda Mwanza utakuta wapo wengi na wameingia kihalali na wanafanya shughuli zao bila bughudha. Utakuwa ni uenda wazimu kama Rwanda itachukulia sisi kuwafukuza watu wamekuja na mifugo wanafuga, wengine wamepita maporini wanakaa na kufanya kazi ya vibarua kwenye mashamba, wengine wamekuja kama wakimbizi wasijiandikishe kama wakimbizi, wengine wamekuja kama majambazi wanavamia mabasi na magari na kuteka na kua watu eti kisa tunakuza mahusiano. Walipewa muda waondoke na wengi kweli wameondoka, je wasioondoka unataka serikali ifanye nini Nicolas?
Hapa hatuongelei chama sijui CCM au Chadema kwa sababu wanaohadhirika ni wanachama wa vyama vyote si CCM wala Chadema na huna haja kuingiza swala ili kiitikadi bali nchi na madhira inayopata kutokana na watu hawa. Haijalishi umewekeza kiasi gani, umeoa sijui nani, hiyo haiwezi kuwa kinga kuhalalisha kwako kuishi hapa nchini kama hujataka kuchukua njia ya halali.
Ndugu Nicolas huo ndio uhalisia kama unataka kuangalia hivyo. Labda hujawahi kukaa maeneo hayo yaliyoadhiriwa na watu hawa, huwezi kupita pori la Kimisi na Biharamulo bila kusindikizwa na police na pengine pamoja na kisindikizwa bado mnatekwa, watu kila siku majumba ya watu yanavamiwa na watu kuibiwa na pengine kuuawa, angalia makundi ya mifugo uko Karagwe na Ngara utajua naongelea nini. Kuna Hifadhi ya taifa Burigi wanaua wanyama amabo ni nyara na utajiri wa taifa. Wewe Nicolas bado unawaona kukaa kwao ni sawa kisa kuogopa husilaumiwe kimataifa. ebu kuwa mkweli au labda utwambie una ndugu ambao wamehadhiriwa na kurudishwa makwao

Ndugu yangu hadi wana CCM wengi tuu ni wageni ukanda huo, inauma kwani wengi wamesoma kwa hela yetu,ktk vyuo vyetu na sasa wapo kwaow anajenga taifa lao.Wapo waliosoma ktk shule zetu za serikali wakai wakiwa askari watoto huko kwao, wengine wakajiunga na jeshi letu,wapo uhamiaji, na inauma bado wanaingia sana.

Hayo maeneo unayosema miaka mingi san animekuwa nikitoka machozi kwa jinsi mambo yamekuwa hatari hata kwa wataalamu wetu wa miundo mbinu,bahati mbaya sana kipindi tunapigia kelele haya nyie hamkuwa nasi.Leo its much kinawauma wengi kuwaambia hata njia ya kuwatoa si sahihi.kwani inaweza pata vikwazo mapema sana kwa kiasi cha kuleta upinzani na mgawanyiko wa mataifa na watanzania wenyewe.

Hiyo si mwisho,kuna wakenya wengi sana,waganda, wamalawi, wakongo, wapakistani, wahindi, wa yemeni, wachina ,wasomali, wahindi etc.Wapo nchini kila mahali, na wana passports zetu..wanaish ktk magodown ,wanafanya kazi za watanzania...sijui kwanini hamuoni shida hapa.

Na hawa wengine wamekuwa walindwa kwa misingi ya kidini na rangi...tatizo ni kubwa sana na linahitaji fanywa kwa mikakati km ya putin.
 
murutongore,

..WOW, after throwing so much INSULTS to Tanzanians now u come back with sweet diplomatic language!?

..First, it is not the case that the government has revoked the citizenship of Tanzanians who happen to be of Rwandan origin.

..If that was the case those wananchis have all the rights to sue their government, and we know in such cases our system works.

..Second, the proper procedure was to arrest all illegal immigrants before they r sent to their respective countries, instead the government has given them a long enough notice for all "wahamiaji haramu" to leave our country VOLUNTARILY.

cc Kobello

Sasa hivi ndo wanatia akili. Wakati wanamtukana Mh Rais wetu walidhani they could just do away with it! You tested the depth of the river, now cross it!
 
Last edited by a moderator:
Utashangaa tunaanza kuuwawa Rwanda. Raia wa Rwanda kwa kisasi wapo vizuri.
 
C'mon give me a break. That is a lot of bullshit. If your president wants wahamiaji haramu, hapo magogoni kwenye hizo flats kumejaa wahamiaji haramu wengi tu of which he has no balls to kick them out. Double standards. Wasomali kariakoo wamejaa tele but you have no balls to kick them out. Lakini amepanda ndege akaenda 1,300km ndiko ameona wahamiaji haramu ambao wanafaa kufukuzwa na kunyang'anywa mali zao. You know even if you seize all the cows and property it will not make you rich. Unajua utajiri sio mali za wizi utajiri is all in your head. You can steal from these naturalized tanzanians but wherever they will go they will be Ok.

Let them go and be ok in rwanda then! Why are u crying now? Nani kawanyang'anya mali zao? Km hilo limefanyika IT IS NOT RIGHT! Waachwe waondoke na kila kitu chao wakajenge nchi yao. Sasa wewe u dont have any right to tell the URT Govt what to do and how to do it. Hata huko 1300 km alikokwenda ni ndani ya TZ so wewe huna haki ya kumpangia wapi aende. Hao wahamiaji wengine unaowasema hawajaonyesha tabia za ajabu kama nyie watutsi...they are good people who can live peaceful with others.
 
Asante sana ndugu yangu Nicolas. Nimekuelewa kilio chako pamoja na kiswahili chako kunielezea wewe ni nani na kwa nini unawatetea kwa mgongo wa chupa. Ila hakuna njia kama wameingia hisivyo halali watarudi kwa amri iliyo halali na sidhani kuna mtu wa kutulaum hapa.
Wape pole ila wambie siku nyingine wajifunze kuingia kihalali na hatutawasumbua

Ndugu yangu hadi wana CCM wengi tuu ni wageni ukanda huo, inauma kwani wengi wamesoma kwa hela yetu,ktk vyuo vyetu na sasa wapo kwaow anajenga taifa lao.Wapo waliosoma ktk shule zetu za serikali wakai wakiwa askari watoto huko kwao, wengine wakajiunga na jeshi letu,wapo uhamiaji, na inauma bado wanaingia sana.

Hayo maeneo unayosema miaka mingi san animekuwa nikitoka machozi kwa jinsi mambo yamekuwa hatari hata kwa wataalamu wetu wa miundo mbinu,bahati mbaya sana kipindi tunapigia kelele haya nyie hamkuwa nasi.Leo its much kinawauma wengi kuwaambia hata njia ya kuwatoa si sahihi.kwani inaweza pata vikwazo mapema sana kwa kiasi cha kuleta upinzani na mgawanyiko wa mataifa na watanzania wenyewe.

Hiyo si mwisho,kuna wakenya wengi sana,waganda, wamalawi, wakongo, wapakistani, wahindi, wa yemeni, wachina ,wasomali, wahindi etc.Wapo nchini kila mahali, na wana passports zetu..wanaish ktk magodown ,wanafanya kazi za watanzania...sijui kwanini hamuoni shida hapa.

Na hawa wengine wamekuwa walindwa kwa misingi ya kidini na rangi...tatizo ni kubwa sana na linahitaji fanywa kwa mikakati km ya putin.
 
It seems Kagame is going defensive. How many Tanzanians live in Rwanda compared to Rwandese living in Tz? Does Kagame think Tz loses markedly if Kigali kicks out Tanzanians? He must be poor in math.
 
Back
Top Bottom