Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Yaani humu kuna majitu reasoning capacity ya yenyewe iko chini sana, haki ya nani mnatia kichefuchefu! Labda kama na nyie ni wahamiaji haramu! Hivi tunajua jinsi Wahima wanavyowafanya kitu mbaya ndugu zetu kule mipakani mwa TZ na RWND? Kule wamevamia mpaka kwenye hifadhi Wasukuma wakiingia na ng'ombe wao wanachezea kichapo! Kule Ngara walishawahi kuteka kijiji eti leo linakuja tilatila fulani kuwatetea Wahima, mamamake! JK hata kama ni dhaifu katika hili amedhihirisha aliyosema wakati anaingia ikulu kwa mara ya kwanza "I AM FIRM ON ISSUES" katika hili namwunga mkono! Mzee Slaa naye asitake kujitia aibu katika hili, Wallah ataikosa kura yangu akileta za kuletwa hapa! PAMBAFFF!! Tuache ushabiki wa kijinga na ki.pu.mba.vu! Eti kuna mengine yanakuja na maswali "KWANI WANAOFANYA UJAMBAWAZI DAR NI WATUTSI? WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI WATUTSI? N.K. N.K!" Huu si ni upotoshaji? Na ni maswali ya mtu aliyeshikiwa akili na hawara yake!
 
Wakuu kwahiyo unataka wavamizi na mifugo yao mnatakacwaishi bila vibali tanzanita?

Hawa siyo wahamiaji haramu, sheria za uhamiaji ndio haramu.Ndio maana tunajenga EA moja tuishi kama babu zetu kabla kuvurugwa na mipaka ya wakoloni.
 
Naomba niwaonye Watanzania ambao hawaishi mikoa ya mpakani na waha Watutsi. Hawa jamaa hawana utu wanaendesha vitendo viovu na mimi nampongeza JK ingawa amechelewa kuchukua hatua za kuwarudisha kwao.
Suala la kuishi nchi yoyote bila kufuata utaratibu halipo duniani kote. Hata US watu wanaomba uraia
 
Majuro mjukuu, wamekumbuka shuka kumekucha. Imewabidi kutumia lugha ya kupoza, ingawa mwishoni wamesiliba kuwa watawapinga FDRL na wanaowaunga mkono kwa nguvu zote. Nadhani wamemaanisha J.K

Too late, no retreat!
majuro=majuto.
 
Mbona hamuwafukuzi wahindi waliofungiwa kwenye viwanda vyao hasa pale arusha wanatokaga jumamosi tu au hao hamuwaoni

Operation hii inaenda vuzuri, tusubiri muda aliotoa Mh. halafu tuone hatua zitakazo chukuliwa dhidi ya wahamiaji hao haramu.
Tumeanza na mkoa wa Kagera kwa sababu ya matendo maovu yanayofanywa huko, lakini tutaendelae kuwaondoa wahamiaji haramu Popote watakapo kuwa.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
hapo bolded italic,iwasiliane sasa,jinsi ya kujua wataondokaje na kupokelewa vipi ,je walipoingia ninyi wanyarwanda mliwasiliana na Tanzania jinsi ya kuondoka rwanda na vile wangepokelewa hapa tanzania?/wote wanaoishi iligally they must go!!!!!!!!!

Wewe kamanda tuki ku trace unauhakika hatuta kukuta unaishi hapa pia iligally? Acha unafiki wa namna hiyo! Binadam anapaswa kuishi popote pale anapo ji feel comfortable. Mungu au nature haijaweka mipaka ni sisi binadam na akili zetu finyu tumebuni mipaka. Mipaka waliweka wakolini walio tutawala, wao wenyewe kwo Europe hawana mipaka. Kwa sababu waeona haina maana. Unaweza ukajiorodhesha Spain lakini ukaisha na kufanya kazi Ujerumani. So what! Unajua kwanini Amerika imeendelea sana? Kwa sababu ya different cultures. Society ya aina moja haiwezi endelea. Itakufa tu kwa sababu ya mawazo ya aina moja. In the long run mnazoea vitu vya aina moja. No! kama wanaishi kwa amani waacheni waishi. Ni baraka kwetu kwani kunakitu kipya wanakileta. Wewe sasa hivi hutakiona, lakini baadaye vizazi vyako vitaona. Tusiwe na akili za ki bush. Binadam wote tuko sawa na Tanzania ni nchi ya amani sana na tajiri sana. Tuendelee kudumisha amani yetu kwa manufaa ya Afrika nzima. Waafrika inabidi tuungane kama wenzetu wa europe, asia na wa ameraka. Makabila na u inchi yamepitwa na wakati. Tunaishi katika 21[SUP]st [/SUP]Century. The world is one village. Usije na ukabila wenu wa kutoka uko vijijini kwenu. Watu wanao toka vijijini ndiyo wana mawazo kama hayo ya umasikini. Wazee wako walijua kuwa kuna nyumba ya matofali na mabati? Si mpaka wakoloni walivyo kuja. Hilo gari unaloendesha au kusafiri nalo ametengeneza mtanzania? Jiulize vizuri badala ya kutumia maneno kama iligally sio vizuri. Huo ni umasikini na inaonyesha jinsi gani wewe hujapata experiance ya ulimwengu. Nenda oversees ukajifunze maisha na kuona jinsi gani uliwengu ume change. Matatizo tuliyo nayo hayajeletwa na wakimbizi au waingiaji katika nchi yameletwa na viongozi wetu. Kwa sababu wao wana mawazo finyu kama yako ya ubinafsi. Wa laum wao na sio watu wanao tafuta riziki zao kwetu. Naomba nikuulize kitu kimoja. Wewe ukipata nafasi ya kwenda ishi marekani hutafurahia? (Samahani kama utaona nakusakama. Lengo langu ni kujaribu kukufahamisha jinsi gani binadam tumeumbwa. Sisi naturally tuko DYNAMIC. Na ndiyo maana unaona tuko karibu kila sehemu duniani. Tumeanzia wapi? Kwenye steppes of Savanna Oldonyo Lengai sasa tumefika Alasca. Usiseme vitu kama hujaenda shule! Asante)
 
Wahamiaji haramu waondolewe tu na wakileta ukorofi wapigwe tu. Tumechoka!!!!
 
Hatutaki wahamiaji haramu wawe wanyarwanda, waganda, wakenya, wasomali Nk. eti shirikisho. Mlijiunga mkitegemea mhamie kiharam? Safi dk. Kikwete
 
Hatuhitaji itafsiriwe vizuri na rwanda, km ni wahamiaji haramu waondoke. Hata wale wanaoishi kihalali nao ni wakuangalia vizuri. Watutsi si watu, wanachofanya huko Kongo ndo wanachotaka waje kufanya huku TZ badae. So waondoke tu sasa na sio kesho. Ukitaka uelewe vizuri kuwa tutsi have ill motives tafuta waraka wa Mtikila

Leo Mtikila ana akili mnamsikiliza kweli CCM mmechanganyikiwa..
 
Nimemsikiliza Vizuri sana WASHA TUZIDI POINT MOJA AMBAYO WATANZANIA WENGI HAWATATAMBUA mwisho wa siku tutaonekana sisi ndo wajinga.

Hata mimi uncle wangu doctor huko Rwanda anasema hukuna tatizo wanaendelea na kazi kama kawaida.

Huyo uncle wako ni mhamiaji haramu huko Rwanda!?
 
Rwanda ijenge mazingira mazur ya kuzungumza na waasi. Eti wanaua watu. Wapi kwenye vuruguna uasi watu wakapona? Tatizo ukabila uko kwenye damu. Naisikitikia rwanda. Naisikitikia Africa.
 
Wewe kamanda tuki ku trace unauhakika hatuta kukuta unaishi hapa pia iligally? Acha unafiki wa namna hiyo! Binadam anapaswa kuishi popote pale anapo ji feel comfortable. Mungu au nature haijaweka mipaka ni sisi binadam na akili zetu finyu tumebuni mipaka. Mipaka waliweka wakolini walio tutawala, wao wenyewe kwo Europe hawana mipaka. Kwa sababu waeona haina maana. Unaweza ukajiorodhesha Spain lakini ukaisha na kufanya kazi Ujerumani. So what! Unajua kwanini Amerika imeendelea sana? Kwa sababu ya different cultures. Society ya aina moja haiwezi endelea. Itakufa tu kwa sababu ya mawazo ya aina moja. In the long run mnazoea vitu vya aina moja. No! kama wanaishi kwa amani waacheni waishi. Ni baraka kwetu kwani kunakitu kipya wanakileta. Wewe sasa hivi hutakiona, lakini baadaye vizazi vyako vitaona. Tusiwe na akili za ki bush. Binadam wote tuko sawa na Tanzania ni nchi ya amani sana na tajiri sana. Tuendelee kudumisha amani yetu kwa manufaa ya Afrika nzima. Waafrika inabidi tuungane kama wenzetu wa europe, asia na wa ameraka. Makabila na u inchi yamepitwa na wakati. Tunaishi katika 21[SUP]st [/SUP]Century. The world is one village. Usije na ukabila wenu wa kutoka uko vijijini kwenu. Watu wanao toka vijijini ndiyo wana mawazo kama hayo ya umasikini. Wazee wako walijua kuwa kuna nyumba ya matofali na mabati? Si mpaka wakoloni walivyo kuja. Hilo gari unaloendesha au kusafiri nalo ametengeneza mtanzania? Jiulize vizuri badala ya kutumia maneno kama iligally sio vizuri. Huo ni umasikini na inaonyesha jinsi gani wewe hujapata experiance ya ulimwengu. Nenda oversees ukajifunze maisha na kuona jinsi gani uliwengu ume change. Matatizo tuliyo nayo hayajeletwa na wakimbizi au waingiaji katika nchi yameletwa na viongozi wetu. Kwa sababu wao wana mawazo finyu kama yako ya ubinafsi. Wa laum wao na sio watu wanao tafuta riziki zao kwetu. Naomba nikuulize kitu kimoja. Wewe ukipata nafasi ya kwenda ishi marekani hutafurahia? (Samahani kama utaona nakusakama. Lengo langu ni kujaribu kukufahamisha jinsi gani binadam tumeumbwa. Sisi naturally tuko DYNAMIC. Na ndiyo maana unaona tuko karibu kila sehemu duniani. Tumeanzia wapi? Kwenye steppes of Savanna Oldonyo Lengai sasa tumefika Alasca. Usiseme vitu kama hujaenda shule! Asante)

Somo zuri.
 
VITA VYA KAGERA; Hakuna sehemu nimewatetea wahamiaji haramu kwani nimeandika kile kilichosemwa na Watanzania wanaoishi Rwanda kwa kupendekeza PK na JK wakutane, hayo hayajapendekezwa na Wanyarwanda bali Watanzania. Tatizo la Wahamiaji haramu si la kwanza kutokea hapa kwetu hivyo strategies za kuwarudisha kwao zinajulikana.Kwa wale wanaodhani Watanzania waliopo Rwanda wote wanaishi kwa vibali ni waongo wakubwa kwani udhalimu katika upatikanaji wa passport unajulikana kitu kinachowafanya watu kuzamia kinyume cha sheria haswa South Africa,Msumbiji,Zambia n.k Tunapowafurusha Wanyarwanda pia tuandae mkakati wa namna ya kuwapokea Watanzania wanaoishi kinyume cha sheria nje ya nchi. Wanaodhani hakuna ulazima wa kuwasiliana kupanga mchakato wa urejeshwaji wa wahamiaji haramu ni wapotoshaji.Mbona Israel iliwasiliana na AU kuhusu wahamiaji Wafrika?
 
Last edited by a moderator:
! Mzee Slaa naye asitake kujitia aibu katika hili, Wallah ataikosa kura yangu akileta za kuletwa hapa! PAMBAFFF!! Tuache ushabiki wa kijinga na ki.pu.mba.vu! !

Sitaki kuamini Dr.Slaa alisema hivi tunavyo aminishwa kasema.
Ni wakati sasa aje humu aseme ni Nini msimamo wake amasivyo NAOGOPA Tena NAOGOPA sana. Na Hasa nikisoma historia ya Watusi na ...., Hapana Sisemi naogopa, Ngoja nikae kimya.
 
Last edited by a moderator:
Wewe kamanda tuki ku trace unauhakika hatuta kukuta unaishi hapa pia iligally? Acha unafiki wa namna hiyo! Binadam anapaswa kuishi popote pale anapo ji feel comfortable. Mungu au nature haijaweka mipaka ni sisi binadam na akili zetu finyu tumebuni mipaka. Mipaka waliweka wakolini walio tutawala, wao wenyewe kwo Europe hawana mipaka. Kwa sababu waeona haina maana. Unaweza ukajiorodhesha Spain lakini ukaisha na kufanya kazi Ujerumani. So what! Unajua kwanini Amerika imeendelea sana? Kwa sababu ya different cultures. Society ya aina moja haiwezi endelea. Itakufa tu kwa sababu ya mawazo ya aina moja. In the long run mnazoea vitu vya aina moja. No! kama wanaishi kwa amani waacheni waishi. Ni baraka kwetu kwani kunakitu kipya wanakileta. Wewe sasa hivi hutakiona, lakini baadaye vizazi vyako vitaona. Tusiwe na akili za ki bush. Binadam wote tuko sawa na Tanzania ni nchi ya amani sana na tajiri sana. Tuendelee kudumisha amani yetu kwa manufaa ya Afrika nzima. Waafrika inabidi tuungane kama wenzetu wa europe, asia na wa ameraka. Makabila na u inchi yamepitwa na wakati. Tunaishi katika 21[SUP]st [/SUP]Century. The world is one village. Usije na ukabila wenu wa kutoka uko vijijini kwenu. Watu wanao toka vijijini ndiyo wana mawazo kama hayo ya umasikini. Wazee wako walijua kuwa kuna nyumba ya matofali na mabati? Si mpaka wakoloni walivyo kuja. Hilo gari unaloendesha au kusafiri nalo ametengeneza mtanzania? Jiulize vizuri badala ya kutumia maneno kama iligally sio vizuri. Huo ni umasikini na inaonyesha jinsi gani wewe hujapata experiance ya ulimwengu. Nenda oversees ukajifunze maisha na kuona jinsi gani uliwengu ume change. Matatizo tuliyo nayo hayajeletwa na wakimbizi au waingiaji katika nchi yameletwa na viongozi wetu. Kwa sababu wao wana mawazo finyu kama yako ya ubinafsi. Wa laum wao na sio watu wanao tafuta riziki zao kwetu. Naomba nikuulize kitu kimoja. Wewe ukipata nafasi ya kwenda ishi marekani hutafurahia? (Samahani kama utaona nakusakama. Lengo langu ni kujaribu kukufahamisha jinsi gani binadam tumeumbwa. Sisi naturally tuko DYNAMIC. Na ndiyo maana unaona tuko karibu kila sehemu duniani. Tumeanzia wapi? Kwenye steppes of Savanna Oldonyo Lengai sasa tumefika Alasca. Usiseme vitu kama hujaenda shule! Asante)

Umeongea mengi mazuri ila hujatutendea haki sisi watu wa vijijini kwa jinsi ulívyotuponda, sio kweli kuwa kuishi kijijini ina maana tuna mawazo finyu, ni nafasi tu.Na sio kila aishie mjini ana busara sana. Ningekuwa karibu na wewe ningekuchapa japo makofi mawili akili ikukae sawa. Kwa sasa acha niende zangu shambani..
 
Hajataja rwanda mkuu,kiswahili kilieleweka vizuri sana,Rais alisema WAHAMIAJI HARAMU, kwahiyo ni nchi yoyote ile duniani
 
Hawa siyo wahamiaji haramu, sheria za uhamiaji ndio haramu.Ndio maana tunajenga EA moja tuishi kama babu zetu kabla kuvurugwa na mipaka ya wakoloni.

Toka enzi na enzi WaTUSI hawajawahi kuishi Kagera na maeneo jirani. WaTwaa waliwakaribisha Wahutu na WaTusi Rwanada na Burundi leo wanachopata ni MAuaji tu.
 
masopakyindi; Mkuu suala la Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa halihitaji emotions but tolerance, kama tunasema hatukubali Rais wetu Mhe.Kikwete na Gen.Kagame kwa kuwa tu eti Kagame alimtukana na kumtishia, basi mbele tumemuunga mkono Rais Kikwete kwa kushauri Gen.Kagame akutane na waasi wa FDRL wakati tunajua si tu kwamba waasi hao walimtukana na kumtishia Kagame bali pia waliweteka,walitesa na kuwaua marafiki,ndugu na jamaa wa Kagame?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom