Unalipwa mshahara malalamiko ya nini?
Hakuna Bunge? Speaker ni nani?
Uteuzi unaendelea...................... afu we mikataba yote inapitia kwako unalalamika nini?
Nchi ya asali eh!!Ngoja ntulie!! Nitangulizieni mikataba ya madini ya aina zote kwanza nianze kazi!!20% zitapelekwa moja kwa moja kwenye account yangu ya Uswiss!!
figganigga ashapotea siku nyingi........... manake huyo FirstLady ni house girl wakofigganigga hujapotea thread wewe kweli?
Serikali ya kaskazini halafu imetawaliwa na mfumo kristo, naomba kuwe na tume ya mabadiliko ya katiba nitoe maoni yangu
CC kuna upendeleo sijawahi kuona yaani hata Unaibu sijapata saweni tu.
Nimewanunia woooote