Serikali ya kaskazini halafu imetawaliwa na mfumo kristo, naomba kuwe na tume ya mabadiliko ya katiba nitoe maoni yangu
Mawaziri wote wanaotaka kuleta uasi wote wafutwe kazi mara moja! Kauli ya rais ni AMRI.
Hiyo nchi ya Chit Chat rais ataipeleka kubaya, ukifanyika uchanguzi mwingine ni lazima apinduliwe.
hahaaaaaa afu arusha ndo makao makuu ya chitcha.
nawe Nyakwaratony subiria uteuzi wa wakuu wa mikoa sawa!
Maadam hili baraza la mawaziri halijawahusisha wake zangu cacico, BADILI TABIA, Yummy na asali Kongosho. Na maadam pia mchumba Zion Daughter hajapewa wizara ya maadili...... Na maadam hili baraza limekaa kikandakanda kama CDM na kidinidini kama CCM.....
Mie ODM kwa heshima najitoa kwenye baraza hili la tukutu.
CC: Prominent members ( Kaizer, Fidel80 tafazali wafahamisheni)
Madame B naomba mwongozo, jumamosi kuna surprise toka kwa prominent Dar Members.
Hiyo nchi itakuwa ya kifisadi tu