heri kujenga daraja kuliko ukuta huyo Erickb52 ni mara mia apewe Bishanga hiyo sector wallah tena atapitisha sheria ya ubakaji halafu watoto wa kwake tu katelekeza
Atteeeeeeeeeention:
Serikali ya Mungy imepinduliwa,kuanzia sasa Rais mpya ni koplo bishanga,aide de camp wangu nimemteua Nyani Ngabu,bodegadi wa mke wangu mama The secretary bishanga atakuwa ni phina.
Umetoroka hospitali wewe.
Umejuaje,na wewe ulikuwa umelazwa huko?
Hahahaaaaa
aruuuuuuuuuuuu
Mawaziri wote wanaotaka kuleta uasi wote wafutwe kazi mara moja! Kauli ya rais ni AMRI.
Mbona mimi sipo?? Acha mambo yako weweee mi nakata rufaaa!!