Serikali ya nchi ya chitchat

Serikali ya nchi ya chitchat

mie nahamia upinzani hii serikali inaonekana imeundwa kimagamba.jamani wenye uchungu na nchi ya cc njooni tuungane huku

we ukipewa u DC utakaa kimya tunajua
 
Hiyo nafasi ya IGP aliyowekwa Preta si ndio tunarudisha enzi za Mahita?
 
Last edited by a moderator:
My fellow teacher, I miss you!
me too mwl vipi leo mnafunga shule ama??
me bana huku hakuna likizo yaani nachukia kama nataka kupasuka form six hawfungi, sijui aliyeletaga hli wazo la kuwa na term tofauti aliwaza nini. imagine zamani ilivyokuwa raha sasa hivi kuwa mwl wa A level ni mzigo kama wa kuua vile.
 
pepo yupi?? wa kurusha maji au?? kijana kwa nyendo zako tu taa nyekundu inakuwakia uwe makini shauriloooo! utajibeba!

Taratibu jamani. Mbona mnampa mke wangu mpendwa marejesho wakati mgumu hivyo!?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi hebu nipatie Ugavana wa BoT ukiota tena..

Usijali mkuu.................. uteuzi unaendelea leo................ lakini unaonekana una element ya kinyalalinyalali........... mi nadhani mimi mwenyewe naweza kuteuliwa kuwa Gavana wa Sentro Benk
 
Ulaji nabadilisha katiba fasta rais aongoze miaka kumi kumi kwa vipindi viwili so atakuwa madarakani miaka ishirini
Mungi hapo unaonaje
Halafu naomba naibu wangu awe Dena Amsi
 
Last edited by a moderator:
Babu DC bado yupo
Ana stress na bp ndo maana haonekani ila yupo sana Babu
 
Hiyo nafasi ya IGP aliyowekwa Preta si ndio tunarudisha enzi za Mahita?
Preta ni IGP kulinda usalama wa uncle.................... atakayekiuka kanuni there is no room for diskasheni
 
Last edited by a moderator:
Yeah kuna apointment bab kubwa.
Afu Asprin naomba siku ya Jumamosi nikukalie pajani kama nilivyokukalia siku ile pale Brajec.
Uko tayari?
naomba Mwongozo.
Omba kingine chochote utakacho kwa jina la Kaizer, nawe utapewa.

CC: Fidel80 , kwa taarifa na utekelezaji
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom