Serikali ya nchi ya chitchat

Serikali ya nchi ya chitchat

Serikali ni ya ukanda aisee, topnleadres wote ni wa kutoka kasikazini.
 
Hizi lawama sina kikapu cha kubebea yaani twiga wakae mbali na mimi no no no.................. mie nauza mechi, kwa mtu yeyote anayetaka pozisheni yangu tuwasiliane kwa njia yeyote ile.

Afu ukileta mchezo nakurudisha kwenu Rwanda........................... fanya kazi ukishindwa utateuliwa kuwa house girl wa waziri wa nishati na madini sawa bibie?
 
Afu ukileta mchezo nakurudisha kwenu Rwanda........................... fanya kazi ukishindwa utateuliwa kuwa house girl wa waziri wa nishati na madini sawa bibie?

Mie nishauza pozisheni bhana hili balaa siliwezi.
 
Endelea kufungasha BAGS, maofisa wa TISS wanakuja kukupeleka airport kwenda KIGALI kwenu na pale RWANDA utapokelewa na mwambata wa jeshi.

Safi sana mnikatie tiketi za fastjet kama hawaendi huko kwetu Rwanda am here to stay.

 
mbona haujitetei kuwa una ndoa na mmoja wa mawaziri wake?

Nimefanya hayo yote mnibadilishe wizara lakini hakuna anayeshtuka hata huyo rahisi wenu anependa kwenda kubembea nchi za nje, kauchuna.

BTW ndoa inaweza kuwa treated hata kwa mbali.

 
Bora nijirudie zangu chit chat nilikuwa jukwaa la siasa nikaona kuna watiu wako hai sababu ni dhambi kuwaua,na ningeendelea kubaki huko nilngekuwa nakaribisha BAN ambayo sijawahi kuipata...
 
Back
Top Bottom