Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

Daa hapo dingi alicheza, ni mtego mkali sana kwa wanao mfuata.
 
Katika hiyohiyo unodai propaganda walimu na watumishi walilipwa mishahara kwa wakati tarehe 22.

Wanafunzi wote si waliendelea na masomo kwa mpango wa elimu bure?

Hizi fedha si zilitokana ni hiyohiyo kodi?
ELEWA WANAFUNZI KUSOMA BURE ILIKUWA NI FICTIONS TU,UKINIAMBIA MIMI NILISOMA BURE SAWA MAANA HATA MADAFTARI TULIPATIWA SHULENI,LINASAINIWA MWISHONI UNAENDA STOO UNAONYESHA UNAPATIWA JIPYA,
SALARY:-SHERIA INASEMA MTU ATALIPWA NSHAHARA KILA BAADA YA SIKU 28,NINYI MMEBADILISHIWA TAREHE ETI MNASHANGILIA KAMA MAZUZU.
 
Reactions: BAK

true
 
Ule ulikuwa ni uongo wa dhalimu mwendazake. Ukusanye pesa yote hiyo halafu kwa miaka mitano ushindwe kuongeza mishahara ya Wafanyakazi? 😳

 
Mkuu huyu jamaa haelewi kabisa kuhusu hali mbaya ya Elimu yetu Tanzania yeye kulipwa mishahara tarehe 22 kila mwezi kaona ni mafanikio makubwa sana bila ya kuangalia udogo wa mishahara husika na gharama kubwa sana za maisha kila kona nchini.

 
Tulidanganya mno miradi yote ni mikopo ambayo haikutangazwa mfano sgr yote ni mkopo ingia Wikipedia wameelezea kwa kina pesa zilipotoka na benki zilizokopesha tz. Tanzania Standard Gauge Railway - Wikipedia
 
Utamusa ya kodi kutoka kwenye biashara zipi?
 
What are you trying to justify?
 
Ilikuwa propaganda, waulize watu wa TRA. Mbilikimo alikuwa anakusanya nusu ya hayo mapato

Mbilikimo alipika takwimu nyingi to compensate for his inferiority complex baada ya kuharibu uchumi imara ulioachwa na Mkwere.
We kweli utopologist..kwamba haiwezekani? Utasema hata ile bajeti ya kenya ambayo zaidi ya 80% ni pato lao uongo.

Nyie mtakopa na mtaweka hadi tozo za kufungulia akaunti ila hamtaweza kufanya hata nusu ya miradi ya jpm hata tukiwapa miaka 20 na mikopo kila wiki.

JPM sio mkwere wala hangaya
 
Hiyo miradi yote ni mikopo 100%

Hata mzee mpili kama raisi anaweza kufanya hayo aliyofanya mshamba wenu
 
Magufuli alitudanganya sana,na tukaamini uongo huo wa propaganda za kurudia kitu kile kile mara kwa mara tukaamini.Pia hakutaka mtu yeyote kuhoji hatua zake,hata takwimi zilitolewa anazotaka yeye.
Watalii hawakuja sababu ya Covid-19, bado mjomba Magu alutuhakishia watalii wanakuja which was complete nonsense kwani majority walikuwa katika lockdown.
Sasa hayupo,ila ukweli ndio huo alikopa over 31 Trillion shillings kwa muda wa miaka mitano kuliko Raisi yeyote alietawa nchi hii.
 
Hiyo miradi yote ni mikopo 100%

Hata mzee mpili kama raisi anaweza kufanya hayo aliyofanya mshamba wenu
Upo sahihi kabisa. Wikipedia wameelezea miradi yote. Mfano sgr yote ni mikopo Tanzania Standard Gauge Railway - Wikipedia
Ukweli ni
Dar- Moro ni mkopo wa benki fulani ya Uturuki
Moro- Makutopora ni mkopo wa Standard Chartered Bank
Isaka-Mwanza ni mkopo toka China
Pia kuna Mikopo bado inatafutwa toka Benki mbalimbali mpaka reli ifike Rwanda na Congo. Huu ndio ukweli kwa mujibu wa Wikipedia.
 
Only illiterate fools waliamini propaganda zake, aliligeuza taifa kuwa kituko na kichekesho ulimwenguni kwa policy zake za kupambana na covid.

Eti virusi vya corona haviwezi kuishi ndani ya mwili unaoamini Yesu Kristo 🤣🤣
 
Wakati huo mwendakuzimu si bado alikuwa hai au?

Chukua hii fact, Mbilikimo alikuwa anakusanya mapato kidogo kuliko Mkwere baada ya kuvuruga uchumi.

TRA katika historia yake haijawahi kukusanya 2 trillion au karibia na hicho kiasi.
Mbona mama ajasema hivyo, kama mapato yakikuwa chini na elimu ilikuwa bure miradi ilikuwa inaendelea ,hakukuwa na tozo wala kodi ya uzarendo hiyo ni ushaidi kuwa magufuli ni genius
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…