Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,500
- Thread starter
- #221
Asante sana wananchi wamekusikia. Tukumbushane 2025 wakati mnaomba kura kwa makondoo.Wananchi wengi ni makondoo hilo halina mjadala. Hakuna mtu yoyote wa CDM anajivunia kupata kura kwa ajili ya ujinga wa mwananchi. Isingekuwa ukondoo wa wananchi wengi, leo hii CCM isingekuwa madarakani maana haiko madarakani kwa kura.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app