The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,110
- 21,980
Mahakama?Wewe ulisoma hukumu ya mahakama??
Manake hivyo vipengele vyote vimejibiwa na mahakama
Mahakama?Wewe ulisoma hukumu ya mahakama??
Manake hivyo vipengele vyote vimejibiwa na mahakama
Tec watawaambia waumini wao waachane na ccmWe mtoto mdogo sana fitina za kisiasa nchi hii zimeasisiwa na CCM sasa hao TEC kama wao wanajifanya wanajua sana basi wasubiri majibu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Serikali inawaumiza waumini kwa hiyo wakae kimya kama kondoo anayekwenda kuchinjwa?Serikali haina dini na taasisi za kidini zijitenge kabisa na siasa. Vyama vya siasa vifanye kazi yao na makanisa yafanye kazi zao. Kuruhusu dini kuingilia ingilia mipango ya serikali ni utovu wa nidhamu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Karekebisheni kwanza mkataba wa gas ya Mtwara, ndio muaminike kwenye mkataba wa huu wa bandari. Mikataba ya madini Magufuli aliivaa kichwa kichwa, leo hii kesi kibao ziko mahakamani na zote tunashindwa.Yes vinarekebishika kwenye HGA...
Sasa wale Maaskofu na usomi wao wameshindwa kuelewa nini??
Kama hujui kuwa suala la bandari sio siasa, kuna kitu chochote utakijua?Serikali haina dini na taasisi za kidini zijitenge kabisa na siasa. Vyama vya siasa vifanye kazi yao na makanisa yafanye kazi zao. Kuruhusu dini kuingilia ingilia mipango ya serikali ni utovu wa nidhamu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Uliona wapi Mahakama ya paka, panya akapata haki?Wewe ulisoma hukumu ya mahakama??
Manake hivyo vipengele vyote vimejibiwa na mahakama
Wwe ni mlamba mat.ako tu ya viongozi huna lolote unalolijua!.
Mahakama haiwezi ikasema inapinga, Mahakama imeumia lugha ya Mwamuzi aliyepelekewa shauri alitolee maamuzi. Pi, Mahakama imekanganya, ndiyo maana walalamikaji hawajaridhishwa na hukumu hiyo na hivyo wamelipeleka mbel zaidi.Yes vinarekebishika kwenye HGA...
Sasa wale Maaskofu na usomi wao wameshindwa kuelewa nini??
Nahisi nabishana na mtoto.
Bado mchanga kisiasaHuyo Nungunungu anadhani yupo kwenye vikai vya kahawa
Mahakama hizi za simu ya Rostam Aziz.Wewe ulisoma hukumu ya mahakama??
Manake hivyo vipengele vyote vimejibiwa na mahakama
Nje kidogo ya mada, tutaludi. Kuna fujo fulani zinazoendana na barehe katika umri wa kijana.Hahahaha! Chongolo kasitisha kuitetea DP Tulia anasema na yeye ni mwanasheria na kasoma sana dhidi ya wale wengine Sasa naloona hapa ni kama Kuna mikataba miwili yenye vipengele tofauti.
Yaani mkataba uliopitishwa bungeni sio ule unaodadavuliwa na akina Shivji, madeleka, Lisu, Nshala, Mwambukusi na wengineo ikiwamo TEC.
CCM ndio inakufanya upate usingizi bwanamdogo hebu tulia.nyie mnaweza kupambana zaidi ya matusi? mfupa uliomshinda fisi wewe paka utaweza?
CCM haijawahi kuachwa na watanzania tangu tupate uhuru wewe umezaliwa mwaka gani?Tec watawaambia waumini wao waachane na ccm
Haya matusi yenu kwa wananchi huwa yana wacost sana chadema ila hamjifunzi. Unawaita wananchi kondoo halafu hapo hapo unaomba kura? Ikulu nyie mtaisikilizia kwenye radio tu.CCM wenyewe mnategemea mbeleko ya vyombo vya dola, sasa sijui ni TEC gani mtapambana nayo. Kwa taarifa yako nchi hii ni masikini hivi kwa kuendelea kuwa chini ya CCM. Wala nyie kukaa muda wote huo madarakani sio kwa sababu ya ubora, bali ni kwakuwa wananchi wengi ni makondoo.
Mahakama hii inayoteuliwa viongozi na washika madaraka wa kisiasa. Mahakama hii inayosita kuroa hukumu kupisha ujio wa rais Mbeya. Hii hii...... !!!!! iliotaka kumtundika Mbowe na tuhuma za ugaidi na kumwachia pale rais alipotaka. Endelea wewe kuiamini mimi binafsi naiona kama tawi la ccm nuktaWewe ulisoma hukumu ya mahakama??
Manake hivyo vipengele vyote vimejibiwa na mahakama