Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Serikali inawaumiza waumini kwa hiyo wakae kimya kama kondoo anayekwenda kuchinjwa?
Vyama vya siasa si vipo si ndio kazi yao? Serikali haina dini huwezi kusema leo kanisa liiamrishe serikali hivi na waislamu nao wakaawambie waislamu hivi. Unategemea serikali itafanya kazi zake hapo? Hawa wahuni ni wanatakiwa kukutana na wahuni wenzao ili twende sawa.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hao ccm wenyewe kuna wa Katoliki watiifu kwa kanisa.

Somen waraka muelewe.

Bandari haiuzwi
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Aibu inakuja soon
 
Sheikh aitwe kwenye deal kama ya escrow anajua hata ni nini kimeandikwa? Waislamu nyie kaeni kimya tu, hata kuotesha miti kuzunguka misikiti kuna washinda, hayo mengine huoni yako nje ya uwezo wenu? Na kwa kukusaidia tu, dini ya kweli ni pesa, hayo ya kuvaa misalaba na masijida ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Unajivunia wizi? Safari hii mmeingia cha kike mwende mkashtaki Vatican kwa baba mtakatifu anaejfungia chumbani na kuchezea watoto nyeti zao.pumbavu . Kanisa limenajisiwa na maaskofu na mapadre.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Unajua mimi nilikua sijausoma huu mkataba..leo church walivyokua wanadadavua vipengele vyenye walakini kuna vipengele viwili vilinikera sana

**Eti kukitokea fursa yoyote wao ndio wawe wa kwanza kujuzwa...any way kama nimekosea ila ndivyo nilivyosikia...hii iliniboaa...kwahyo wao hawana mipaka utasema wapo bandarini pekee kumbe watapenetrate mpk nje ya bandari...

**Eti wapewe Ardhi bila masharti...who are they yani sisi wazawa tunalipa kodi na mlolongo kibao kumiliki ardhi halafu wao wapewe tuu...nonsense...
Bila.masharit maana yake pamoja na kuendesha bandari wanaweza kuanzisha matumizi mengine bila kuulizwa na mtu yeyote
 
Haya matusi yenu kwa wananchi huwa yana wacost sana chadema ila hamjifunzi. Unawaita wananchi kondoo halafu hapo hapo unaomba kura? Ikulu nyie mtaisikilizia kwenye radio tu.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wananchi wengi ni makondoo hilo halina mjadala. Hakuna mtu yoyote wa CDM anajivunia kupata kura kwa ajili ya ujinga wa mwananchi. Isingekuwa ukondoo wa wananchi wengi, leo hii CCM isingekuwa madarakani maana haiko madarakani kwa kura.
 
Wewe ulisoma hukumu ya mahakama??
Manake hivyo vipengele vyote vimejibiwa na mahakama
Ila mahakama imeonesha wasiwasi kwenye mambo mengi ya msingi Kama statehood ya Dubai na Mkataba kuaffect sheria za ndani.
 
Back
Top Bottom