Serikali Sasa Irekebishe Ushuru Wa Magari

Serikali Sasa Irekebishe Ushuru Wa Magari

Kama sikosei serikali iliamua kupandisha kodi za magari used, (yaliuotumika) kama njia ya kujikinga kuwa dampo la kutupiwa magari na kipunguza athari za uchafuzi wa hali ya hewa.

Ila kwa magari mapya sijajua, wajuvi wa haya watusaidie hili. Tulielewe.
Kuna maana gani ya kuogopa si kufanywa dampo ilhali wengi wetu hatuna uwezo wa kununua magari mapya na bado tunatumia magari mabovu pia
Nafikiri tungeacha ku kopi kila sheria za ulaya , wao wameadvance sana
 
Hayo magari yakipungua Kodi Sana kwa hizo asilimia unazotaka mtaziendeshea kwenye barabara zipi?
Bado tuna shida kubwa sana ya usafiri , na bado tuna eneo kubwa sana hatujaliendeleza ,
Unapandisha kodi za magari ili yapungue wakati kuna sehemu hapa bado watu wanasafiri kwa punda
 
Huenda kukatokea hata kiongozi mmoja aliyeko bungeni,wizarani na hata mamlaka za juu zaidi atakayeiona post hii basi lipewe uzito na ikibidi liangaliwe upya.

Ushuru wa gari pale bandarini ni mkubwa mno tofauti hata na nchi nyingi tu hata hapa Afrika,hili kwa kweli linatuumiza sana na kuzidisha ugumu wa majukumu yetu

Hebu fikiria kuna mtu alileta nchini Toyota Hilux lililotumika toka south Africa alilouziwa na mzawa kule kwa thamani sawa na Tshs milioni nne,alipofika tz akatakiwa alipe ushuru- kodi ya tshs 18 m,Hili linawezekana vipi?
Ukiachilia mbali hilo,hizi gari toka Japan mtu unafikisha Tanzania kwa milioni saba unakuja ambiwa ulipie ushuru almost sawa na bei ya manunuzi! hili ni tatizo japo inaonekana kama kawaida,
Tunaomba gharama zishuke sasa,sijui katika sheria za kodi kuna pahali pamehalalisha makato hayo makubwa kwa bidhaa ya gari?ni formula au sheria gani inatumiwa na TRA?kuingiza gari nchini ni dhambi?
Kwanini TRA wasikate hata 08% ya bei ya manunuzi?
kwanini gari tu iwekewe kodi ya ajabu? na cha kuvunja moyo nilisikia wabunge mbali ya mishahara mikubwa ya 12 M@mwezi,mbali ya posho za vikao wao wana msamaha wa ushuru wa gari!pengine ndio kisa utetezi haupo kwenye hili hata bungeni.

Tuombe serikali ilitazame upya jambo hili ili nasi watu wenye vipato vya chini tuagize ka usafiri
Maisha yenyewe mafupi.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mishahara itatoka wapi mkuu?
Unataka kumfanya mama ashindwe kulipa mishahara
 
Hivi Mimi sielewi naona kama serikali rais na makamu wake wanapishana

Makamu anataka makusanyo ya tr 2 kwa mwezi lakini hakumbuki makusanyo ya tr 1.5 chini ya hayati magufuli ilivotuhenyesha watanzania pamoja na bidhaa nyingi kupanda bei

makusanyo yalipatikana sio kwa njia halali inawezekana bado hatukuwa na uwezo huo wakukusanya pesa hizo hivyo ata hiyo miradi ya kimkakati hatukupaswa kuifanya
Tax structure ikibadilika , wanaweza kukusanya zaidi ya hiyo pesa
Kodi kubwa siku zote huleta mianya ya watu kuzikimbia ,
Angalia items ndogo tu kama ukiagiza simu inavyotolewa macho na TRA, mtu yoyote anaweza agiza simu hii ina maana kuwa serikali ingeweka sawa hili , ingekusanya pesa nyingi tu kutoka kwa unregistered tax payers . Sasa simu laki tati( 300000 )mtandaoni kodi ni karibu 70000
Kama kodi hii ingekuwa let's say 25000, flat rate . watu wengi wangeagiza simu na serikali ingepata mapato ya kutosha.
 
Lipumbavu lingine hili hapa, na unaweza kukuta limesoma mpaka chuo kikuu but halijui kwamba asilimia 90 ya watanzania wanaishi vijijini. Kwa akili yake iliyojaa funza anadhani wanaoishi vijijini, kwenye kata huko mikoani wao hawana haki ya kumiliki magari ili yaweze kuwasaidia kurahisisha maisha yao huko vijijini. Anaona wenye haki ya kumiliki magari ni watu wa mijini tuu kwenye barabara za lami. Huko vijijini watu wanahitaji pick ups, Kenta/fuso, matrekta, Hiace etc hata kama hakuna lami (barabara za vumbi) ili waweze kuendesha kilimo, ufugaji na biashara mbalimbali.
Watu hadi wanatia hasira, Tanga , kilindi tu hapo , kuna sehemu usafiri ni baiskeli , halafu mtu anakuja na swaga magari mapya.
 
Uwezo wa kukusanya hivyo upo,ila TRA hawataki kufikiri.

Binafsi nimeshawapa chanzo kimojawapo ambacho hakita muumiza mtu yeyote,lakini hawajakifanyia kazi.

Hivi Mimi sielewi naona kama serikali rais na makamu wake wanapishana

Makamu anataka makusanyo ya tr 2 kwa mwezi lakini hakumbuki makusanyo ya tr 1.5 chini ya hayati magufuli ilivotuhenyesha watanzania pamoja na bidhaa nyingi kupanda bei

makusanyo yalipatikana sio kwa njia halali inawezekana bado hatukuwa na uwezo huo wakukusanya pesa hizo hivyo ata hiyo miradi ya kimkakati hatukupaswa kuifanya
 
Aisee washushe tuanze kupishana na BMW F30 2017-2020 tushachoka gari za 2001.
 
Ushuru upunguzwe kwa ma landcruiser ford ranger na magari mengine ya juu.ila kwa hivi vi passo,ist na vibugs vingine uongezwe maradufu,wanaoendesha hivi vidubwana sijui huwa wanajionaje barabarani,wanaendesha wanavyojisikia wenyewe,mpo highway mtu anaendesha speed 30kmh!!mpaka mtu unaweza kujikuta unafanya overtaking eneo la hatari kwa upuuzi wa kiji IST kimoja.NASEMAA USHURU UONGEZWE😂😂😂😂
 
Kama sikosei serikali iliamua kupandisha kodi za magari used, (yaliuotumika) kama njia ya kujikinga kuwa dampo la kutupiwa magari na kipunguza athari za uchafuzi wa hali ya hewa.

Ila kwa magari mapya sijajua, wajuvi wa haya watusaidie hili.(sio kweli magaq Tulielewe.
 
Kama ishu ni kodi, watapata kwenye ongezeko la matumizi ya mafuta na vipuri. Pia wenhi wakiagiza kodi inaweza hata isiathirike. Kodi za magari nchi hii ni kandamizi na kijinga.
 
Ikiwezekana magari ya kazi kama mabus, malori na pickup yasiwe na kodi kabisa.
 
Kuna maana gani ya kuogopa si kufanywa dampo ilhali wengi wetu hatuna uwezo wa kununua magari mapya na bado tunatumia magari mabovu pia
Nafikiri tungeacha ku kopi kila sheria za ulaya , wao wameadvance sana
muongo uyo jana nimekwenda kuagiza ist pale sbt kadri mwaka unavopanda na bei inapanda so ka tunakwepa kua dampo magar mapya yangekua bei nafuu kuliko ya zaman...(ist 2002 ushuru 4m ya 2004 6m 2006 7m ivo ivo zinapanda so kwa kipato cha weng dampo halikwepek
 
Hivi Mimi sielewi naona kama serikali rais na makamu wake wanapishana

Makamu anataka makusanyo ya tr 2 kwa mwezi lakini hakumbuki makusanyo ya tr 1.5 chini ya hayati magufuli ilivotuhenyesha watanzania pamoja na bidhaa nyingi kupanda bei

makusanyo yalipatikana sio kwa njia halali inawezekana bado hatukuwa na uwezo huo wakukusanya pesa hizo hivyo ata hiyo miradi ya kimkakati hatukupaswa kuifanya
Shida ya Mpango hajabadili dancing tune,
Bado anahangaika na dancibg tune ya Magufuli wakati huu wa Samia. Atafaili!!!
 
Lipumbavu lingine hili hapa, na unaweza kukuta limesoma mpaka chuo kikuu but halijui kwamba asilimia 90 ya watanzania wanaishi vijijini. Kwa akili yake iliyojaa funza anadhani wanaoishi vijijini, kwenye kata huko mikoani wao hawana haki ya kumiliki magari ili yaweze kuwasaidia kurahisisha maisha yao huko vijijini. Anaona wenye haki ya kumiliki magari ni watu wa mijini tuu kwenye barabara za lami. Huko vijijini watu wanahitaji pick ups, Kenta/fuso, matrekta, Hiace etc hata kama hakuna lami (barabara za vumbi) ili waweze kuendesha kilimo, ufugaji na biashara mbalimbali.
Uko na chick vision chief, samahani kwa hilo. Unaona usawa wa pua yako tu. Huko vijijini kwenu kuna barabara nzuri za kufanya hayo magari yaweze kupita huko kwa muda wote wa mwaka? Kuna uhakika wa huduma nyinginezo jumuishi za kusaidia huo usafiri kuwa madhubuti na kupunguza mzigo badala ya kuongeza mzigo?

Nguvu kubwa ya manunuzi iko vijijini au mjini? Hizo IST unataka zishuke bei ili zikafanyie nini huko vijijini? Gari zikishuka bei automatically mjini kutajaa misongamano maana ndio kwenye purchasing power kubwa than vijijini. Halafu hizo fuso, pick ups, tractors zina utaratibu wake na kodi rafiki tu.. Usafiri binafsi bado kwa nchi yetu ni anasa. Na ni kwasababu usafiri wa umma haujakaa vizuri namiundombinu nayo sio rafiki sana haijaendelea kiwango chakuridhisha. Ili tupate miundombinu bora na usafiri bora, salama na wa uhakika ni lazima watu walipe kodi tu hakuna namna nyingine.
Bado tuna shida kubwa sana ya usafiri , na bado tuna eneo kubwa sana hatujaliendeleza ,
Unapandisha kodi za magari ili yapungue wakati kuna sehemu hapa bado watu wanasafiri kwa punda
Ndio nashangaa jamaa anakuja na hoja nyepesi hapa eti kodi za magari zishuke ili vijijini wanunue magari. Vijiji gani hivyo ambavyo hata maji ya bomba ni shida, vituo vya afya, barabara na madaraja hakuna.. Umeme etc sasa hao ndio anatetea washushiwe kodi ili wanunue magari.. Kula yenyewe tabu hayo magari wataweka maji humo? Kujua vipaumbele vya nchi ni muhimu. Sio matakwa binafsi ya mtu yanachukuliwa kama ndio mahitaji ya jamii nzima.
 
Kama ishu ni kodi, watapata kwenye ongezeko la matumizi ya mafuta na vipuri. Pia wenhi wakiagiza kodi inaweza hata isiathirike. Kodi za magari nchi hii ni kandamizi na kijinga.
Yan ist kuagiza imefika mpk 13m nimechukia sana miaka miwil nikua nakusanya nitembelee matako af unakuta mambo yamepanda ivo
 
Uko na chick vision chief, samahani kwa hilo. Unaona usawa wa pua yako tu. Huko vijijini kwenu kuna barabara nzuri za kufanya hayo magari yaweze kupita huko kwa muda wote wa mwaka? Kuna uhakika wa huduma nyinginezo jumuishi za kusaidia huo usafiri kuwa madhubuti na kupunguza mzigo badala ya kuongeza mzigo?

Nguvu kubwa ya manunuzi iko vijijini au mjini? Hizo IST unataka zishuke bei ili zikafanyie nini huko vijijini? Gari zikishuka bei automatically mjini kutajaa misongamano maana ndio kwenye purchasing power kubwa than vijijini. Halafu hizo fuso, pick ups, tractors zina utaratibu wake na kodi rafiki tu.. Usafiri binafsi bado kwa nchi yetu ni anasa. Na ni kwasababu usafiri wa umma haujakaa vizuri namiundombinu nayo sio rafiki sana haijaendelea kiwango chakuridhisha. Ili tupate miundombinu bora na usafiri bora, salama na wa uhakika ni lazima watu walipe kodi tu hakuna namna nyingine. Ndio nashangaa jamaa anakuja na hoja nyepesi hapa eti kodi za magari zishuke ili vijijini wanunue magari. Vijiji gani hivyo ambavyo hata maji ya bomba ni shida, vituo vya afya, barabara na madaraja hakuna.. Umeme etc sasa hao ndio anatetea washushiwe kodi ili wanunue magari.. Kula yenyewe tabu hayo magari wataweka maji humo? Kujua vipaumbele vya nchi ni muhimu. Sio matakwa binafsi ya mtu yanachukuliwa kama ndio mahitaji ya jamii nzima.
Nyie nao hoja nyepes sana uko vijijn hakuna watumish tunaojiweza kutaka ist hakuna wakulima hakuna wafanyabiashara ?Yan vijijin hakuna uhitaj wa magar sio
 
Back
Top Bottom