Serikali Sasa Irekebishe Ushuru Wa Magari

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Huenda kukatokea hata kiongozi mmoja aliyeko bungeni,wizarani na hata mamlaka za juu zaidi atakayeiona post hii basi lipewe uzito na ikibidi liangaliwe upya.

Ushuru wa gari pale bandarini ni mkubwa mno tofauti hata na nchi nyingi tu hata hapa Afrika,hili kwa kweli linatuumiza sana na kuzidisha ugumu wa majukumu yetu

Hebu fikiria kuna mtu alileta nchini Toyota Hilux lililotumika toka south Africa alilouziwa na mzawa kule kwa thamani sawa na Tshs milioni nne,alipofika tz akatakiwa alipe ushuru- kodi ya tshs 18 m,Hili linawezekana vipi?
Ukiachilia mbali hilo,hizi gari toka Japan mtu unafikisha Tanzania kwa milioni saba unakuja ambiwa ulipie ushuru almost sawa na bei ya manunuzi! hili ni tatizo japo inaonekana kama kawaida,
Tunaomba gharama zishuke sasa,sijui katika sheria za kodi kuna pahali pamehalalisha makato hayo makubwa kwa bidhaa ya gari?ni formula au sheria gani inatumiwa na TRA?kuingiza gari nchini ni dhambi?
Kwanini TRA wasikate hata 08% ya bei ya manunuzi?
kwanini gari tu iwekewe kodi ya ajabu? na cha kuvunja moyo nilisikia wabunge mbali ya mishahara mikubwa ya 12 M@mwezi,mbali ya posho za vikao wao wana msamaha wa ushuru wa gari!pengine ndio kisa utetezi haupo kwenye hili hata bungeni.

Tuombe serikali ilitazame upya jambo hili ili nasi watu wenye vipato vya chini tuagize ka usafiri
Maisha yenyewe mafupi.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kama sikosei serikali iliamua kupandisha kodi za magari used, (yaliuotumika) kama njia ya kujikinga kuwa dampo la kutupiwa magari na kipunguza athari za uchafuzi wa hali ya hewa.

Ila kwa magari mapya sijajua, wajuvi wa haya watusaidie hili. Tulielewe.
 
RAIS watu kipenzi Mama samia angalia hii kero.Tunaumia sana.Gari si anasa
 
Hivi Mimi sielewi naona kama serikali rais na makamu wake wanapishana

Makamu anataka makusanyo ya tr 2 kwa mwezi lakini hakumbuki makusanyo ya tr 1.5 chini ya hayati magufuli ilivotuhenyesha watanzania pamoja na bidhaa nyingi kupanda bei

makusanyo yalipatikana sio kwa njia halali inawezekana bado hatukuwa na uwezo huo wakukusanya pesa hizo hivyo ata hiyo miradi ya kimkakati hatukupaswa kuifanya
 
Kama sikosei serikali iliamua kupandisha kodi za magari used, (yaliuotumika) kama njia ya kujikinga kuwa dampo la kutupiwa magari na kipunguza athari za uchafuzi wa hali ya hewa.

Ila kwa magari mapya sijajua, wajuvi wa haya watusaidie hili. Tulielewe.
Sawa lakini hiyo ni janja tuu ili kuvuna kodi kubwa, mbona mitumba ya nguo haiwi bei mara 5? Pili niambie ni Mtanzania gani mwenye uwezo wa kununua gari mpya? Hii nchi kuna mambo ya kipuuzi mengi sana, yaani gari ya milioni 4, bandarini utalipishwa milioni 6 as if na wao ni wabia kwenye kuunda hiyo gari. Majuzi hapa Ndugulile anakuja na kioja kingine eti kulipisha simu za WhatsApp as if wana ubia na mwenye WhatsApp yake. Mijitu imekaa kwenye higher offices lakini haina ubunifu wowote wa kodi mpya simply because wao wanaiba fedha za umma na pale wanapotaka kuagiza magari wanaendeleana. Hii nchi huko vijijini watu wengi tuu wanatumia baiskeli kwa usafiri, yaani they still can't afford pikipiki za milioni mbili. Je huyu mtu ataweza kweli kununua gari la miaka ya hivi karibuni??
 
Hayo magari yakipungua Kodi Sana kwa hizo asilimia unazotaka mtaziendeshea kwenye barabara zipi?
Lipumbavu lingine hili hapa, na unaweza kukuta limesoma mpaka chuo kikuu but halijui kwamba asilimia 90 ya watanzania wanaishi vijijini. Kwa akili yake iliyojaa funza anadhani wanaoishi vijijini, kwenye kata huko mikoani wao hawana haki ya kumiliki magari ili yaweze kuwasaidia kurahisisha maisha yao huko vijijini. Anaona wenye haki ya kumiliki magari ni watu wa mijini tuu kwenye barabara za lami. Huko vijijini watu wanahitaji pick ups, Kenta/fuso, matrekta, Hiace etc hata kama hakuna lami (barabara za vumbi) ili waweze kuendesha kilimo, ufugaji na biashara mbalimbali.
 
Nadhani watu waliopewa mamlaka ya kukusanya kodi hawana ueledi wa kazi yao
Tukisema tunapanua wigo wa ukusanyaji kodi ni kwamba watu wengi walipe kodi tena bila ya shinikizo wafurahi kulipa kodi ukishusha kodi za magari kitakachotokea watu wengi wataagiza magari kodi nyingi itakusanywa,the same watalipa bima watanunua petrol kwa wingi wataagiza vipuri kwa wingi mapato yataongezeka maradufu sijui kwanini hawalioni hili.

Mfano tangu kodi ya magari iongezeke kwa mwaka huu uagizaji wa magari umepungua hivo ukusanyaji wa kodi unapungua serikali inapoteza mapato.
 
Kama sikosei serikali iliamua kupandisha kodi za magari used, (yaliuotumika) kama njia ya kujikinga kuwa dampo la kutupiwa magari na kipunguza athari za uchafuzi wa hali ya hewa.

Ila kwa magari mapya sijajua, wajuvi wa haya watusaidie hili. Tulielewe.
Hiyo ilikuwa sababu Tu ili wapige Kodi kubwa Vizuri....
Hata kama Leo tungetumia Magari Mapya bado wangetafuta sababu nyingine ya kupiga Kodi kubwa, kumbuka Leo hii viwanda ndiyo vinaongoza Kwa uchafuzi wa mazingira lkn hautasikia kelele
 
Kama sikosei serikali iliamua kupandisha kodi za magari used, (yaliuotumika) kama njia ya kujikinga kuwa dampo la kutupiwa magari na kipunguza athari za uchafuzi wa hali ya hewa.

Ila kwa magari mapya sijajua, wajuvi wa haya watusaidie hili. Tulielewe.
Hebu jaribu kuangalia Kodi ya gari ya 2006 halafu angalia Kodi ya gari hio hio 2010 uone kama kuna unafuu kwenye hio ya 2010.
 
Huenda kukatokea hata kiongozi mmoja aliyeko bungeni,wizarani na hata mamlaka za juu zaidi atakayeiona post hii basi lipewe uzito na ikibidi liangaliwe upya.

Ushuru wa gari pale bandarini ni mkubwa mno tofauti hata na nchi nyingi tu hata hapa Afrika,hili kwa kweli linatuumiza sana na kuzidisha ugumu wa majukumu yetu

Hebu fikiria kuna mtu alileta nchini Toyota Hilux lililotumika toka south Africa alilouziwa na mzawa kule kwa thamani sawa na Tshs milioni nne,alipofika tz akatakiwa alipe ushuru- kodi ya tshs 18 m,Hili linawezekana vipi?
Ukiachilia mbali hilo,hizi gari toka Japan mtu unafikisha Tanzania kwa milioni saba unakuja ambiwa ulipie ushuru almost sawa na bei ya manunuzi! hili ni tatizo japo inaonekana kama kawaida,
Tunaomba gharama zishuke sasa,sijui katika sheria za kodi kuna pahali pamehalalisha makato hayo makubwa kwa bidhaa ya gari?ni formula au sheria gani inatumiwa na TRA?kuingiza gari nchini ni dhambi?
Kwanini TRA wasikate hata 08% ya bei ya manunuzi?
kwanini gari tu iwekewe kodi ya ajabu? na cha kuvunja moyo nilisikia wabunge mbali ya mishahara mikubwa ya 12 M@mwezi,mbali ya posho za vikao wao wana msamaha wa ushuru wa gari!pengine ndio kisa utetezi haupo kwenye hili hata bungeni.

Tuombe serikali ilitazame upya jambo hili ili nasi watu wenye vipato vya chini tuagize ka usafiri
Maisha yenyewe mafupi.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sio tuu ushuru wa magari bali kuna haja ya Serikali kufanya mapitio ya kodi, ushuru na tozo mbalimbali ili kuondoa kero, usumbufu na duplication kwa walipa kodi/ushuru.
Hii ni pamoja na kuangalia uwezekano wa kupunguza viwango mbalimbali vya kodi, ushuru na tozo ili kuchochea mazingira ya ufanyaji biashara, kuongeza uwekezaji na hata kuchochea compliance kwa walipaji kodi na ukusanyaji kwa wakati.
 
5

Kwani hao IT ni serikali au ni kampuni binafsi
Yaani tafsiri yake (wazawa) Watanzania tunalipa kodi kubwa kuliko wageni (nchi jirani)

IT ni magari yanakwenda nchi jirani kupitia bandari yetu
 
Back
Top Bottom