Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,411
- 79,662
Wakae tu kimya maana haisaidii kama hakuna katazo linaloeleweka, mashoga wanajionyesha wazi wazi hakuna hatua inayochukuliwa.WAnaogopa vikwazo lakini wanajali pia maadili.
Ulitaka wafanyaje?
Wapinge mashoga hadharani nchi iwe kama Zimbabwe?
Hawana tofauti na papa Francis aliyesema ushoga sio kosa bali ni dhambi. Ieleweke hivyo na watu waachwe wafanye watakavyo na miili yao.
Maadili wawaachie watu wa dini wao ni wanafiki tu.