Atoe msimamo kwa familia yake na imani yake lakini sio kudictate maisha ya watu ambayo hayamuhusu wala hawalishi na hajui wana misimamo gani na wana imani gani ni haki ya mtu kuishi kwa amani na haki zake zikopale pale awe shoga au la kwa hiyo tusileteane uhanithiDr. Mpango kama kiongozi wa nchi anapaswa kutoa tamko ambalo litataeleza msimamo wa nchi na siyo kuishia kutoa ushauri