Serikali: Ndoa za jinsia moja hata wanyama hawana

WAnaogopa vikwazo lakini wanajali pia maadili.
Ulitaka wafanyaje?
Wapinge mashoga hadharani nchi iwe kama Zimbabwe?
Wakae tu kimya maana haisaidii kama hakuna katazo linaloeleweka, mashoga wanajionyesha wazi wazi hakuna hatua inayochukuliwa.
Hawana tofauti na papa Francis aliyesema ushoga sio kosa bali ni dhambi. Ieleweke hivyo na watu waachwe wafanye watakavyo na miili yao.
Maadili wawaachie watu wa dini wao ni wanafiki tu.
 
Hawa nao waongee live kama Museveni sio kuongelea kwenye vibanda na kuvizia matukio.

Watoke hadharani na kauli thabiti kama wanavyofanya matukio ya Kujaza maji bwabwa la Nyerere au kupokea ndege,Yaani wajikusanye wote kama wanavyojikusanya(ga) halafu watoe tamko moja ili tuanzie hapo.
Hawawezi.
 
So wakae tu kimya?
 
.
Screenshot_20230322-152811.jpg
 
Samahani mkuu, hivi watu wakipakuana wao kwenye faragha zao wewe inakuathiri nini?
Usijibu kwa mihemko tafadhali.

Wanaanza kupakuana kimya kimya then baadae wataanza movement ya kutambulika na kulazimisha ndoa za jinsia moja kama ilivyo katika nchi za magharibi.

Ni bora kuwadhibiti mapema kabla hawajawa wengi na kuanza movement za kulazimisha haki zao
 
Yaan unakunjwa mbuzi kagoma na mwanaume mwenzio? Aisee,mna moyo kweli! Yaan unamwagiwa manii huku unaona hivihivi😳 aiseee....am speechless 😶
😭😭😭mwanaume anaemuinamisha mwanaume mwenzie uyo ndio gaidi,nguruwe na shetani number 1 hawa mashoga ni victim tu..ila iyo mijanaume inayowainamisha wanaume wenzao LAANA TULLAH ALEYKH
 
Wanaanza kupakuana kimya kimya then baadae wataanza movement ya kutambulika na kulazimisha ndoa za jinsia moja kama ilivyo katika nchi za magharibi.

Ni bora kuwadhibiti mapema kabla hawajawa wengi na kuanza movement za kulazimisha haki zao
📌📌📌
 
Inaumiza sana jamani
 
Na je, hawa watu wakiachwa na kupewa haki yao ya kuoa au kuolewa na wanaowapenda, wale ambao sio LGBT community wanaathirika na chochote?

Yani tuseme watu wakipewa haki ya kufanya mapenzi ya jinsia moja, wewe ambae hufanyi mapenzi ya jinsia kuna athari utaipata?
 
Wanaume kila napowatafakari siwapatii majibu inakuaje MWANAUME mzima unamuinamisha MWANAUME mwenzio??????

WANAUME MNA MLAANA ZA AINA YENU
 
Yaan unakunjwa mbuzi kagoma na mwanaume mwenzio? Aisee,mna moyo kweli! Yaan unamwagiwa manii huku unaona hivihivi aiseee....am speechless
Jirani umeongea maneno magumu sana mpaka nimejisikia hovyo kama mwanaume

Hivi unafikiri wale jamaa wa Isyonje na Galijembe wana muda wa haya mambo yanayoendelea?
 
Back
Top Bottom