Serikali Mpya iko Mlangoni, Hata wa kujiuzuru Hamna?

Alikuwa na hoja ya msingi sana. Lakini the moment alipoamua kuikana na kuikana nafsi yake aliharibu kila kitu.

Ndugai kaomba msamaha kiungwana yaishe bila shaka kuwa ujumbe umefika.

Walioombwa msamaha hawataki.

Anasema Mahatma Gandhi:

IMG_20220105_143355_470.jpg
 
Ndiyo na mimi nikakuuliza, unamaanisha Amiri Jeshi wetu mkuu ni dhaifu?

Ndiyo maana nikakujibu:

"mwuungwana ukiombwa msamaha ukakataa hata uswahilini watakushangaa."

Neno "samahani" kwa lugha ya kiswahili halikubakiza kitu!
 
Ndungai Hana tyme hyo...yeye ni mhimili unaojitegemea , aliomba msamaha kama uungwana wa kitanzania japo hakutakiwa kufanya hvyo mana hakuna kosa alilolifanya kikatiba , badala yake karudishiwa maneno ya dharau na kejeli , .....!! Kama vipi amfukuze kazi ndugai but kujiuzuru big nooo
Embu tuelezee amfukuze kazi kivipi? Je rais ana mamlaka ya kumfukuza speaker wa bunge?
 
Back
Top Bottom