Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Mbinu ya CCM miaka yote ni ileile, kuwalisha Chambo watu wote wanaweza kua kikwazo kwao, ili inturn alokula Chambo awe Hana namna nyingine !!.
CCM wamefanya hivo, ili Jeshi lione linajaliwa, na matokeo yake ni Jeshi nalo baadae kulipa Fadhila.
Ni Baada ya Hotuba ya Mzee Warioba, kua Taasisi pekee inayofanya kazi Kwa weledi ni JWTZ .
Serikali ya CCM imeona ije na Mbinu ya kuanza Kuwalipa Mishahara Wanajeshi mapema mapema, zoezi hili ni endelevu ,litaendelea mpaka mwaka huu uishe, na mwaka ukishaisha, Wanajeshi watarudi Kulipwa Mishahara yao tarehe waloizoea.
WITO wangu Kwa JWTZ !! Msikubali kutumika kama Jeshi la Polisi linavyotumika !!. Nchi hii hatimiliki yake ni ya watanzania wote, Kwa Sasa Tunapambania HAKI , HAKI HAKI, tunahitaji kupata Viongozi tulowachagua wenyewe kupitia Mfumo huru wa Uchaguzi wenye Haki na Ukweli.