Matumizi mazuri ya pesa ,sio unaamka tu unagawa ela kama pedeshee ndama unasahau kua ww ni uchwara(bajeti ifuatwe)
2.kuacha kuwakurupukia wawekezaji,tuwe na sera nzuri
3.kutoa ajira kwa watu ,hii itabust individual economy and hence national economy
4.kuacha kufukuza watu kazi hovyoo
5.kuacha mambo ya one man show,hii inasababisha kazi zifanywe ili kum plesease mtu mmja tu
6.kuruhusu uhuru wa maoni,au kupokea ushauri
Nchi ile ya mashariki ya mbali ni bora ingeongozwa na mtu wa elimu ya std 7 angeifikisha mbali kuliko yule dk