Sio hivyo, umejisahaulisha mara hii tu juu ya marisasi aliyomiminiwa na hakuna uchunguzi wowote ule uliofanywa na jeshi la polisi ??Unamaanisha asijaribu kuonja sumu kwa ulimi, yani asithubutu kumchallenge mwenyekiti ili yasije mkuta ya Chacha Wangwe, Zito, Mwigamba, Kubenea nk?
Ukweli Lissu anakeraga ma CCM sema hawasemi,,yaani akija Hangaya kazi anayoHayo yamebainishwa leo baada ya Hotuba kabambe iliyotolewa na Mh Tundu Lissu kwa Taifa .
Inatarajiwa Lissu na Lema watawasili nchini Tanzania kati ya mwezi wa 3 na wa 4 2022 , huku Juhudi za kuhakikisha watu wote waliokimbilia Nje ya Tanzania kukwepa kutekwa ama kuuawa katika utawala wa awamu ya 5 wanarudi nyumbani
Ok mkuu, ila dereva akikubali kuhojiwa wauaji watapatikana tu.Sio hivyo, umejisahaulisha mara hii tu juu ya marisasi aliyomiminiwa na hakuna uchunguzi wowote ule uliofanywa na jeshi la polisi ??
Hii nchi Bado haiko salama kwake!!!
Unamsemea ile inayotoa sauti auHalafu Lema njoo na utabiri mwingine tena kuhusu mtu fulani hapa nchini. Hivi huyu mtu atafika 2025? Naomba utletee majibu mhe Lema.
Kuna shetani alikuwa na dola hv sasa anapata kibano jehanamuMioyo ya watu bila dola mapopoma bana
Vip Kama Dereva na Lissu wangeuawa, uchunguzi usingefanyika??Ok mkuu, ila dereva akikubali kuhojiwa wauaji watapatikana tu.
Mkuu ila ulinichekeshaga kipindi flani hapa Kati humu jamvini. Nilipokuambia uondoke kwa shemeji yako ukajitegemee. Yani ulivyonijbu eti shemeji yako Sasa hivi Ndo anang'ang'ania kwako. Eti ukadai hupo ofisini mbele yako kuna picha ya mama.Mioyo ya watu bila dola mapopoma bana
Kuna kitu kinakuja kabla hawajarudiLissu alisema hawezi kurudi mpaka ahakikishiwe ulinzi, vipi ulinzi umeshahakikishwa?
Au wameamua kurudi tu kwasababu wamechoka kuishi ughaibuni?
Vipi warudi wakati mazingira ya kisiasa bado hayaeleweki, Mbowe atakuwa ameshatoka gerezani? kwa msamaha au haki kutendeka mahakama ya rufani?
Sioni kwa namna gani wanaweza kurudi bila Chadema kukaa na either msajili wa vyama, Samia, au kiongozi mwingine mkubwa serikalini kwanza waweke sawa tofauti zao.
Wapi tena mzee wangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu ila ulinichekeshaga