Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,762
- 8,321
Niliwaona wale machizi hawafai kabisa kufundisha watoto... ndio maana nasema kuna siku watu watarusha mawe mawinguni wakiuona upinde wa Mvua
Umeona ile shule iliyofuta mchoro wa upinde wa mvua?