Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Status
Not open for further replies.
Ninali ignore swali la kwanza na kwenda kwenye la pili moja kwa moja.

Kwanza anayebebe responsibility ya kuua uchumi hapa atakuwa si Muislamu bali ni serikali kushindwa kwake kuyatatua matatizo ya Waislamu.
Pili, kama itatokea Waislamu kuisimamisha nchi kiuchumi itakuwa ni fursa nzuri ya kuanza upya ambayo ni advantage kwa Waislamu.
duh! mkuu naomba unieleze, kuna uhusiano gani kati ya serikali na uislamu?
 
Walikimbia kuhesabiwa ili waanzishe vurugu.. Hawapendi amani hawa
statistics hizo za kusema waislamu wako asilimia ngapi na wakristo wako asilimia ngapi serikali ilizipata wapi ikiwa haikufanya sensa ya kidini miaka mingi iliyo pita?
hiyo ndio sababu kuu iliyofanya waislamu wagomee sensa
serikali inashindwa kujibu hoja za waislamu na kuomba radhi hii inaonesha kuwa serikali inakurupuka ktk kutoa taarifa.

kama inchi haina dini je ni MUNGU yupi na wa dini gani anaeimbwa kuwa atubariki Tanzania?
kuhusu MoU inaonekana kuwa serikali inapendelea upande mmoja iache mashirika na taasisi za kidini zijitegemee kimapato sio pesa za walipa kodi ziende kwa dini fulani na dini nyingine zikose.

yakifanyika hayo kila upande utaona unatendewa haki na hata wale wenye akili mbovu hawatachoma makanisa tena
 
ebu tuweke utanzania mbele na masilai kwa familia zetu
hizi ni imani tu na MUNGU wetu ni mmoja
siku ya mwisho tusije tukashindwa kujibu swali moja MUNGU wetu akituuliza
kuna miungu wangapi nasi tutasema mmoja atatuuliza tena
nini lilichofanya myumbe kiimani wakati mimi MUNGU wenu ni mmoja?

Sensa lilikuwa changa la macho tuu wala msituzuge, mbona hata 2002 tulihesabiwa halafu ilipokuja MOU mkapeana nyie tuu watu wa kanisa pekee yenu??? Hivi nyie wakristo kwa sababu mna shule nyingi, hospitali nyingi, vyuo vikuu vingi ndo mnadhani na akili mnazo nyingi saaana kutuzidi??? Haya bhana nyie twendeni tuu mdogo mdogo, tutafika tuu, inaonekana mmeshaota mapembe. Kitaeleweka tuu.

mbona na nyie mna madrasa nyingi hatusemi ?
 
Wapenda ubwabwa ni wanafiki wakubwa. Tumeshachoka na hizi nyimbo
 
Kwani nyie madai yenu ni yapi ?
Kama mnategemea kuifilisi serikali kwa maandamano endeleni ?
Ila kaa ukijua mkulima japo huchoka lakini anapokalibia kulimaliza shamba ndipo huongeza juhudi.
 
Sasa hivi inatosha tu kwa Waislamu kutangaza kuandamana na serikali itatuma Polisi, FFU, Mgambo au hata JWTZ! kwa wasioona mbali wanaona kuwa hili ni suluhisho sahihi.

Wasichokijua hapa ni kuwa kama Waislamu wataamua kucheza gemu la kutangaza maandamano kila ijumaa na serikali kupeleka vyombo vya usalama misikitini kila ijumaa ukijumlisha na upelekaji wa hivi vyombo kwenye kesi za kina Sheikh Ponda basi ni gharama kubwa sana kiuchumi ambayo serikali inaingia kila Ijumaa.
Vilevile bajeti ya ulinzi nayo inaongezeka, kwa nchi changa kama Tanzania serikali haitaweza kufanya hivi kila ijumaa bila ya nchi kuyumba kiuchumi.

Tathmini yangu inanionyesha na nadhani kuna watakaokubaliana nami kuwa Waislamu wa Tanzania sasa wana uwezo wa kuifyonza nchi kiuchumi! matokeao yake ni kuwa kama yale ya baada ya vita na Uganda, hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.

Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.

Mkuu ni binadamu gani mwenye akili timamu anaweza kuchekelea wakati mwenzie anasulubiwa? HAKUNA.Nakubaliana na wewe 100% kwamba madai ya haki na yakimsingi ya Waislaam yanazotekelezeka yapatiwe ufumbuzi, hisipo kuwa njia inayo tumika kudai haki hizo iwe ya kistaarabu/diplomasia zaidi kuliko SHARI. Mkifanikisha hilo hata Serikali itakuwa na moyo wa kuwasikilizeni.
 
An enemy of Islam are the muslims themselves. JK is not a mormon. Said Mwema is not RC. Dr Shein is not SDA. Muslims in Tanzania and the rest of the world must educate their people with quality education, and get rid of the useless madrasat education.
 
Mkuu ni binadamu gani mwenye akili timamu anaweza kuchekelea wakati mwenzie anasulubiwa? HAKUNA.Nakubaliana na wewe 100% kwamba madai ya haki na yakimsingi ya Waislaam yanazotekelezeka yapatiwe ufumbuzi, hisipo kuwa njia inayo tumika kudai haki hizo iwe ya kistaarabu/diplomasia zaidi kuliko SHARI. Mkifanikisha hilo hata Serikali itakuwa na moyo wa kuwasikilizeni.
Mkuu hebu tusaidie na sisi tuyajue hayo madai ya haki tuyajue.
 
Hivi vyombo vipo sijui kwanini maaskofu hawavitumii.Wakifinywa kidogo wanaita jeshi ambako ndiko iliko tume yao ya majeshi.Dini ya kweli huwa haienezwi kwa kutumia jeshi.

Kama hii ina ukweli wowote, basi uislamu itakuwa dini ya uongo.
 
Teh teh teh teh...!!! Am proud to be christian.!
 
Hivi dai kubwa na la msingi kwetu nini?atlst muwe na say moja, siyo tu 'tunataka haki yetu ukiulizwa hata definition ya HAKI hujui.
Maana wengi siku izi hata akicheuliwa na mtoto nyumbani suluhisho Kuandamana! Tunataka,haki zeetu?! Tufike mahali tujaribu kutumia busara japo kiduuchi tuepushe kupoteza muda kwa kufanya mambo ya upuuz n kuonekana majuha kumbe maskini tunajambo la msingi tunalolihitaji na tungeweza kutumia busara na akili kulipata.
 
sasa hii tabia ya kuanza kuudhalilisha uislam inanichukiza sana kwakweli,
madai yetu waislam kwa serikali ni yapi?
mimi kama muislam uislam wangu ni kusali na kuwapenda wengine, sijafundishwa kufanya fujo.
mbona nikiugua napata matibabu sawa na wakristo?
mbona miundo mbinu kama barabara na umeme haziwanufaishi wakristo peke yao?
mbona elimu tunapata sawa?
mtu aje anifumbue macho, ni madai gani tunaidai serikali ambayo wakristo wao hawana haki ya kudai?
hivi kweli adui wa waislam anaweza akawa binadam kweli? nani atamhubiria dini huyu binadam (mkristo) ambaye tayari tunamuita adui???
amka muislam usidanganywe na genge la wahuni.

1. Ijumaa iwe siku ya Mapumziko
2. Ndalichako atolewe necta
3. MoU ifutwe
4. Alama ya kujumlisha itolewe kwenye operations za hesabu iwe replaced na nyota au mwezi au vyote nyota na mwezi
5. Sheria ya ugaidi ifutwe
6. Uvaaji wa hijab uwe ni sheria
7. Mahakama ya kadhi huru sio hii ya Bakwata
8. Seminari za kikristo zifelishwe na NECTA
9. Kila ofisi ya serikali kuwepo na wafanyakazi nusu kwa nusu baina ya wakristo na waislam
10. Serikali iharamishe nguruwe kama ilivyoharamisha gongo
11. Kigoma Malima(Rip) nae aitwe baba wa taifa.
Hayo ni kwa uchache tu mkuu wangu
 
MoU ndiyo tatizo au Ukristu ndio tatizo?Maana matatizo yamekuwa mengi mara wakristu,mara Mou,Mara serikali ya CCM sasa tatizo lenu ni nini?Hivi ukienda Bugando au KCMC wanaotibiwa ni wakristu tu?Waislamu wafikirieni waislamu na watanzania wenzenu wenye maisha duni, hospitali hizi hazisaidii wakristu peke yake,bali ni jamii nzima ya watanznia na ndio maana kuna madaktari na manesi ambao ni waajiriwa wa serikali.Hospitali hizi zikiendeshwa kama Aghakhan sidhani kama mimi na wewe tunaweza kupata haki ya msingi ya afya.
Kinachotakiwa waislamu kwa umoja wenu anzisheni hospitali kubwa ya kuhudumia jumuia yote bila kujali dini au itikadi wala mfanyakazi asiwe wa tabaka hili au lile halafu muombe hiyo Mou muone kama mtanyimwa.
Msiwe wavivu kufikiri kuweni wachapakazi na kujitolea.
Tuandamane kupinga rushwa na ufisadi uliokithiri ambao unaorudisha nyuma maendeleo yetu na siyo kuchoma nyumba za ibada.Fikiria ingekuwa wakristu wamevunja au kuchoma misikiti ingekuwaje leo?Fikirieni kabla ya kusema jambo.
Ila hata sisi wenzenu tunakerwa na tabia zenu.
 
Madai ya waislamu ni
1. Mahakama ya kadhi ( serikali ishughulikie uendeshaji wake pamoja na kugharamia expendetures mbalimbali ikiwa na kuwalipa wafanyakazi wa mahakama ya kadhi eg: Mashehk, Pamoja serkali kugharamia majengo na facilities za uendeshaji wa mahakama ya kadhi.
2. Tanzania ijiunge na OIC ambayo lengo lake ni kueneza uislamu na kuislimisha Dunia ikiwemo Tz, Pia lengo la OIC ni kuipoteza Israel( Taifa teule la Mungu Mkuu ambalo wakristo ktk biblia takatifu wameamliwa kulibariki na kulipenda kwani kwenda kinyume ni laana) ambapo lengo la OIC ni kuikomboa mji wa Jerusalem.

3. Katibu wa baraza la mitihani awe muislamu.

4. Mgawanyo wa ajira uwe sawa kwa kufata dini.

5. Ijumaa iwe siku ya mapumziko kama jumapili.
 
Sasa hivi inatosha tu kwa Waislamu kutangaza kuandamana na serikali itatuma Polisi, FFU, Mgambo au hata JWTZ! kwa wasioona mbali wanaona kuwa hili ni suluhisho sahihi.

Wasichokijua hapa ni kuwa kama Waislamu wataamua kucheza gemu la kutangaza maandamano kila ijumaa na serikali kupeleka vyombo vya usalama misikitini kila ijumaa ukijumlisha na upelekaji wa hivi vyombo kwenye kesi za kina Sheikh Ponda basi ni gharama kubwa sana kiuchumi ambayo serikali inaingia kila Ijumaa.
Vilevile bajeti ya ulinzi nayo inaongezeka, kwa nchi changa kama Tanzania serikali haitaweza kufanya hivi kila ijumaa bila ya nchi kuyumba kiuchumi.

Tathmini yangu inanionyesha na nadhani kuna watakaokubaliana nami kuwa Waislamu wa Tanzania sasa wana uwezo wa kuifyonza nchi kiuchumi! matokeao yake ni kuwa kama yale ya baada ya vita na Uganda, hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.

Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.
Madai YENYEWE Ni yapi hayo. Hebu tujuze.
Madai si lazima ukubaliwe ndo maana yakaitwa madai. Labda yamekataliwa kwa sababu za Msingi.
 
Madai ya waislamu ni
1. Mahakama ya kadhi ( serikali ishughulikie uendeshaji wake pamoja na kugharamia expendetures mbalimbali ikiwa na kuwalipa wafanyakazi wa mahakama ya kadhi eg: Mashehk, Pamoja serkali kugharamia majengo na facilities za uendeshaji wa mahakama ya kadhi.
2. Tanzania ijiunge na OIC ambayo lengo lake ni kueneza uislamu na kuislimisha Dunia ikiwemo Tz, Pia lengo la OIC ni kuipoteza Israel( Taifa teule la Mungu Mkuu ambalo wakristo ktk biblia takatifu wameamliwa kulibariki na kulipenda kwani kwenda kinyume ni laana) ambapo lengo la OIC ni kuikomboa mji wa Jerusalem.

3. Katibu wa baraza la mitihani awe muislamu.

4. Mgawanyo wa ajira uwe sawa kwa kufata dini.

5. Ijumaa iwe siku ya mapumziko kama jumapili.

Selling Samosas must be banned
Movie theaters, radio and tv stations must be closed down
Airing football games (esp. EPL) on tv must be banned
All bars and night clubs must be closed down or demolished
All women must wear bukra/burka/hijab
..........................just like what Al shabab jihadists are doing in Somalia.
 
Sasa mbona mnatuchanganya mara wanaoandamana ni wahuni.. Mara mnaondamana ni waislam, tuelewe lipi sasa?? Au ni waislam wa dhehebu la wahuni???

Hakuna tofauti kati ya waislam na wahuni.Wamedhìhirisha hilo mara elfu moja na moja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom