Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Status
Not open for further replies.

Sideeq

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
2,422
Reaction score
435
Sasa hivi inatosha tu kwa Waislamu kutangaza kuandamana na serikali itatuma Polisi, FFU, Mgambo au hata JWTZ! kwa wasioona mbali wanaona kuwa hili ni suluhisho sahihi.

Wasichokijua hapa ni kuwa kama Waislamu wataamua kucheza gemu la kutangaza maandamano kila ijumaa na serikali kupeleka vyombo vya usalama misikitini kila ijumaa ukijumlisha na upelekaji wa hivi vyombo kwenye kesi za kina Sheikh Ponda basi ni gharama kubwa sana kiuchumi ambayo serikali inaingia kila Ijumaa.
Vilevile bajeti ya ulinzi nayo inaongezeka, kwa nchi changa kama Tanzania serikali haitaweza kufanya hivi kila ijumaa bila ya nchi kuyumba kiuchumi.

Tathmini yangu inanionyesha na nadhani kuna watakaokubaliana nami kuwa Waislamu wa Tanzania sasa wana uwezo wa kuifyonza nchi kiuchumi! matokeao yake ni kuwa kama yale ya baada ya vita na Uganda, hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.

Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.
 
wakati unadai so called haki at the same unawanyanganya wengine haki yao ya kuswali kwa kuwachomea motto makanisa yao. sasa sijui unafanya nini wakati ukidai haki huku unawanyanga wengine haki ya kuabudu kwa amani.secondly, ukishaua uchumi utakuwa
unawasaidiaje hao unaodai wananyanganywa haki zao ??
 
Ninali ignore swali la kwanza na kwenda kwenye la pili moja kwa moja.

Kwanza anayebebe responsibility ya kuua uchumi hapa atakuwa si Muislamu bali ni serikali kushindwa kwake kuyatatua matatizo ya Waislamu.
Pili, kama itatokea Waislamu kuisimamisha nchi kiuchumi itakuwa ni fursa nzuri ya kuanza upya ambayo ni advantage kwa Waislamu.
 
Kwani uchumi wa Comoros (hawana hata mkristo mmoja kwenye baraza lao la mawaziri - na naamini hakuna decision maker yeyote Mkristo) ukoje?

Well, na hili utali-ignore bila shaka which means you either know the truth lakini hutaki tu kuukubali ukweli au huna mental capacity ya kuuona huo ukweli!
 
WHY WAISLAMU SI WATANZANIA......... Nyie mmerogwa au????????????
Au ni special group hapa tanzania....

SENSA MLIKIMBIA LEO MNATAKA HAKI, itoke wapi wakati hamkuhesabiwa
 
Sasa hivi inatosha tu kwa Waislamu kutangaza kuandamana na serikali itatuma Polisi, FFU, Mgambo au hata JWTZ! kwa wasioona mbali wanaona kuwa hili ni suluhisho sahihi.

Wasichokijua hapa ni kuwa kama Waislamu wataamua kucheza gemu la kutangaza maandamano kila ijumaa na serikali kupeleka vyombo vya usalama misikitini kila ijumaa ukijumlisha na upelekaji wa hivi vyombo kwenye kesi za kina Sheikh Ponda basi ni gharama kubwa sana kiuchumi ambayo serikali inaingia kila Ijumaa.
Vilevile bajeti ya ulinzi nayo inaongezeka, kwa nchi changa kama Tanzania serikali haitaweza kufanya hivi kila ijumaa bila ya nchi kuyumba kiuchumi.

Tathmini yangu inanionyesha na nadhani kuna watakaokubaliana nami kuwa Waislamu wa Tanzania sasa wana uwezo wa kuifyonza nchi kiuchumi! matokeao yake ni kuwa kama yale ya baada ya vita na Uganda, hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.

Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.

:clap2:
 
WHY WAISLAMU SI WATANZANIA......... Nyie mmerogwa au????????????
Au ni special group hapa tanzania....

SENSA MLIKIMBIA LEO MNATAKA HAKI, itoke wapi wakati hamkuhesabiwa

Walikimbia kuhesabiwa ili waanzishe vurugu.. Hawapendi amani hawa
 
teh mleta uzi nasikitika kukuambia kuwa serikali hii haiwezi kukaa na waislamu na kujadiliana nao kwani mambo yao hayajaanza leo. Na cha ajabu awamu yoyote ya uongozi ambayo ilijaribu kukaa nao na kujaribu kutafuta suluhu nao ilissshia kuwa awamu iliyotikiswa sana na hawa waislamu. Kinyume chake awamu iliyo wapa kichapo ilipewa heshima na waislamu na walitulia kimyaa.
Next time kama yule jamaa wa ma-mvi kichwani akifanikiwa kuingia pale magogoni basi mjue mtakua na nidhamu sana kwani ni mzee wa discpline hanaga maskhara ya kucheka cheka na mtu. na watu kama Saint PONDA hutawasikia tena
 
Mi nilidhani your godly deity ndio mpaji? kwanini msimfanyie maandamano yeye ? iweje muidai hela za bia serikali? aah nyie kweli kuna mnalolitafuta..
 
WHY WAISLAMU SI WATANZANIA......... Nyie mmerogwa au????????????
Au ni special group hapa tanzania....

SENSA MLIKIMBIA LEO MNATAKA HAKI, itoke wapi wakati hamkuhesabiwa

Sensa lilikuwa changa la macho tuu wala msituzuge, mbona hata 2002 tulihesabiwa halafu ilipokuja MOU mkapeana nyie tuu watu wa kanisa pekee yenu??? Hivi nyie wakristo kwa sababu mna shule nyingi, hospitali nyingi, vyuo vikuu vingi ndo mnadhani na akili mnazo nyingi saaana kutuzidi??? Haya bhana nyie twendeni tuu mdogo mdogo, tutafika tuu, inaonekana mmeshaota mapembe. Kitaeleweka tuu.

sijui itakuaje kwa kweli...lowassa akishika nchi...via ccm nadhani mtatamani dr slaa awepo pale badala yake... maana itakuwa ni action bila wasiwasi.. dr slaa ataeshimu kidogo matakwa yenu ili awe fair na kujiondoa katika malalamishi yenu..ila lowassa hajui ilo...jwtz ndo watakao wapiga next tym
 
Mi nilidhani your godly deity ndio mpaji? kwanini msimfanyie maandamano yeye ? iweje muidai hela za bia serikali? aah nyie kweli kuna mnalolitafuta..

Usiwe zuzu wewe, kwa akili yako wewe umeona hela ni ya bia tuu sio. Sasa sie tunajua kuna hela zingine na sio za bia peke yake. Na tutaendelea kudai hata kama mtaleta maneno yenu ya shombo humu.

Hakuna muislam mwenye jeuri ya kuandamana kila ijumaa! Eti bajeti ya Polisi na JWTZ ita burst! We ulidhan wanapopitisha budget ya polisi huwa hawajui kuna machizi husumbua kipindi cha mwezi mchanga kama Ponda?
 
NI MADAI GANI ya WAISLAMU yashughulikiwe?

Baada ya VITA vya UGANDA ni Wakristo GANI walichekelea kupigwa kwa WAISLAMU?

Sasa mbona mnatuchanganya mara wanaoandamana ni wahuni.. Mara mnaondamana ni waislam, tuelewe lipi sasa?? Au ni waislam wa dhehebu la wahuni???

Na mtachanganyikiwa saaana. Iteni mnavyotaka, wahuni na matusi mengine yooote mnayoyajua. But rest assured waislamu tupo na tutaendelea kuwepo. Ipo siku tutaheshimiana tu, maana dharau imezidi kupindukia.
 
Sensa lilikuwa changa la macho tuu wala msituzuge, mbona hata 2002 tulihesabiwa halafu ilipokuja MOU mkapeana nyie tuu watu wa kanisa pekee yenu??? Hivi nyie wakristo kwa sababu mna shule nyingi, hospitali nyingi, vyuo vikuu vingi ndo mnadhani na akili mnazo nyingi saaana kutuzidi??? Haya bhana nyie twendeni tuu mdogo mdogo, tutafika tuu, inaonekana mmeshaota mapembe. Kitaeleweka tuu.

KAMUULIZE MWINYI MAANA ILIANZISHWA MOU MIKONONI MWAKE 1992.......... Si shekhe anakuambia mou unameza bila kuuliza ilikuwa ni utawala wa nani...

Na kikwete ameiongezea bilioni 72 kwa mwaka..... Hao wote ni wa kwenu ila wana akili za kufikiria mjukuu wako atasoma wapi baadae ci we maneno ya akili za mashekhe kama Ponda unazileta JF
 
Na mtachanganyikiwa saaana. Iteni mnavyotaka, wahuni na matusi mengine yooote mnayoyajua. But rest assured waislamu tupo na tutaendelea kuwepo. Ipo siku tutaheshimiana tu, maana dharau imezidi kupindukia.

KALE MAHARAGE BASI NA PONDA KAMA UNATAKA HESHIMA ALIYOKUWA ANAITAFUTA SHEKHE PONDA....NAONA UMECOPY TU MANENO YAKE KWENYE CD ZENU ZA CHUKI..... Wewe upo kwenye keyboard yeye lumande, yupi anataka heshima? Mfuate tuone kweli unatak wale mabikira 72, mana bila hao cidhani kama ponda angekuwa lumande,... Sema ahadi ya allah inawatesa
 
Sensa lilikuwa changa la macho tuu wala msituzuge, mbona hata 2002 tulihesabiwa halafu ilipokuja MOU mkapeana nyie tuu watu wa kanisa pekee yenu??? Hivi nyie wakristo kwa sababu mna shule nyingi, hospitali nyingi, vyuo vikuu vingi ndo mnadhani na akili mnazo nyingi saaana kutuzidi??? Haya bhana nyie twendeni tuu mdogo mdogo, tutafika tuu, inaonekana mmeshaota mapembe. Kitaeleweka tuu.

Si mliambiwa na nyie muombe hiyo MoU? Nini kimekwamisha? Kama hamna shule na Hospital ombeni hata kwa kuendeshea Annuur mtapewa
 
Usiwe zuzu wewe, kwa akili yako wewe umeona hela ni ya bia tuu sio. Sasa sie tunajua kuna hela zingine na sio za bia peke yake. Na tutaendelea kudai hata kama mtaleta maneno yenu ya shombo humu.

NENDA BARABARANI KADAI UNAYOTAKA...., siyo kwenye keyboard.. WAISLAM WENGN WA JF BHANA,..... Wanaangalia cd za Ponda wanajifanya nao wanamsimamo mkali.... Nenda kamsaidie ponda kupata mdhamana kama kweli unauchungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom